Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ata mimi kwa ufatiliaji wangu mdogo uliyoandika ni sahihi
 
Kanyoosha maelezo. Haya sasa Bulgaria na poland washaanza kupata joto ya jiwe...
 
Caucasians don't do that sh*ts eti alee mtoto kazi afanye saa ngapi na hayo mambo ya uislamu ndio maana nikakwambia kaoea maarabu ya Yemen si yamejaa Kariakoo.

Kazi ya kulea mtoto/watoto sio ya mke kwa wazungu ni kazi ya kijakazi hadi hapa huwezi kuwa na Mzungu.
Unamjua muigizaji anaitwa Clouds 112 if I'm not mistaken, ni muislamu na amemuoa mzungu wa Scandinavia na anaishi naye kule hana hizo mambo zako zakitumwa
 
Nimeona sehemu imeandikwa

Vladimir Putin had surgery while battling cancer and Parkinson’s disease, source claims



Swala la afya ya Putin lilianza kuzua mzozo way back 2016. Kuna kipindi alidhoofu sana , lakini ghafla muonekano wake ndani ya siku 10 tu ukawa tifauti. Watu wakawa wanasema akifanyiwa syrgery ya uso iki aendelee kuonekanana mvuto.
Ukweli ni kuwa, kipindi kile hakufanyiwa surgery yoyote ile, ila alichofanyuwa ni procedure iitwayo filler wanaujaza uso wake na somevtussues kama vike wanawake wanavyojaziwa makalioni.
Filler ndiyo kitu Putin amekuwa akifanyiwa. Afya inainekana kuzidi kuzorota, hasa kipindi hiki kitu kilichopelekea safari hii kufanyiwa operation ambayo ina kila dalili ya kutoisha vizuri.

Kwa mtizamo wa kiundani navyoyaona mambo mimi Putin anaweza asitoboe miaka mingine miwili hafiki December 2024


Britanicca 03:05:2022β€”β€”β€”- 13:34
 
The Armed Forces of Ukraine have regained control over the settlements of Verkhnia Rohanka, Ruska Lozova, Slobidske, and Prylesne in Kharkiv region
 
Tuacheni Utani jamaa, urussi inaenda kua kama North Korea, kutengwa na dunia nzima.

Russian clubs have been banned by UEFA from participating in the Champions League and all other European competitions next season, European football's governing body announced on Monday.



"Russia will have no affiliated clubs participating in UEFA club competitions in the 2022/23 season," it said in a statement.



Russian clubs and national teams were suspended "until further notice" by UEFA in February in the wake of the country's invasion of Ukraine.



The Russian team's exclusion from the Women's European Championship to take place in England in July was also confirmed Monday.



Portugal, who had lost to Russia in a qualifying play-off, will take their place in Group C alongside 2019 World Cup runners-up Netherlands, Sweden and Switzerland.



In addition, UEFA declared Russia's bid to host either the 2028 or 2032 European Championship "not eligible".
 
⚑️Russia accuses Israel of supporting β€œneo-Nazis”.

In an ironic twist of propaganda, Russia’s Foreign Ministry accused Israel of supporting β€œneo-Nazis” in Ukraine a day after Russian Foreign Minister Sergey Lavrov claimed Adolf Hitler had Jewish descent.
 
⚑️Zelensky: 'Russia has forgotten all the lessons of World War II. Or maybe they never studied those lessons.'

Zelensky in his nightly address referenced Russian FM Sergiy Lavrov who alleged Hitler had β€œJewish blood” and that the β€œmost ardent anti-Semites are Jews themselves.”
 
Mafuta ya upako au ulijua mafuta ya nini
 
πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹UrusiπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…