Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwank nimekueleza nini!? Hiyo taarifa ilitolewa tangu juzi kwenye tweeter na jamaa mmoka wa Ukraine. Na hayo magazeti yamechukuwa kutoka kwenye hiyo tweet.

You are outdated mzee.
 

Hapa ndio mataifa yalioko na kazi ya kufanya ma gwaride kuonyesha silaha ndio wajue kwamba kuna mataifa hawana tabia hio na wanasilaha bas ambazo hazijawah onekana kwenye uso wa dunia, ni nan leo alikua kitu kg 12 inasambaratisha vifaru namna ile
 
🇺🇦 Andriy Sadoviy, Mayor of Lvov, on Telegram:

"❗️❗️Explosions were heard in Lviv.
Everyone stay in the shelters❗️❗️"

.....,............

Flight of Russian missile over the Cherkasy region
Your browser is not able to display this video.
 
🇷🇺🚀🇺🇦⚠ — Reports of a massive wave of Missile Strikes in almost all Ukrainian Territories!

Reports from Ukrainian Media Channels say that almost every major provincial capital in Central and Western Ukraine is being hit by Cruise and Ballistic Missiles right now!
 
Ilivyo ndefu ikipostiwa kila mara itakuwa inakera.
 
Hivi hao kwanini wanawaita shemale na siyo shehe?
 
Guys Urusi wameamua kuishabulia Ukraine kila kona. Milio ya milipuko. Kila kona. Naona wanataka kuimaliza kazi mapema.
Siyo kwamba wameamua leo; waliamua tangu Febraury kuwa ni special military operation ya wiki moja. Kurusha makombora siyo umahiri wa vita.

Hiyo takataka hapa chini ni kitu gani




Unawajua jamaa hawa hapa chini? Wako wapi sasa?
 
U
Unasema transnitria ni sehemu ya Moldova ahaaaa ni state ambayo ni independent, special na ndomaana kwenye masuala ya uhamiaji wanajutegemea japo wote walikuwa USSR

So understand that

Most Transnistrians have Moldovan citizenship, but many also have Russian, Romanian, or Ukrainian citizenship. The main ethnic groups are Russians, Moldovans/Romanians, and Ukrainians.
 
Mzee unaanza kuniuliza maswali mimi!? Wewe leta update za leo. Mbona unakuwa king'ang'anizi hivyo!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…