Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

wewe sio wakuuliza maswali kama haya MKUU
malengko ya RUSSIA kama alivyotangaza mwenyewe kama yakibadilika yatatangazwa pia
labda awe nayo mengine ambayo hajayasema hadharani na hatuyajui ila kwa haya alioyatangaza hadharani tukayasikia nahisi kafanikiwa ama anaendelea kufanikiwa kwa 80 kama si 90 %
maana mpaka sasa sidhanii kama UKRAINE anawaza kabisa kujiunga na NATO maana hata kuliongelea ongelea kaliacha sana
kwenye demilitatization na nazi hili pia kafanikiwa pakubwa maana UKRAINE kwasasa ipo hovyo kwenye majeshi
hili lamajimbo kuwa nchi huru haya nayo anaendelea vyema maendelo yanapatikana haya zelensky alisema kwamba RUSSIA wamesogea mbele sana kwenye yale majimbo ila.watawarejesha nyuma
nk...nk...
 
Putin amegundua majasusi wa zamani wa FSB (KGB) wa Urusi wana Mpango wa Kumgeuka Putin na kumaliza vita Ukraine ,hii inatokana na makosa mbali mbali waliyofanya Urusi kwenye hatua za kijeshi dhidi ya Ukraine na hasara kubwa waliyopata.

Shinikizo hilo ni kutokana na warusi wenyewe hapa kuona wenzao nandugu zaidi ya 24,000 kufa vitani ,, hakuna vita ya karibuni imewahi uwa watu hivi




Britanicca
 
Hii sasa ina make sense zaidi, nilikua natafuta sana kiini cha hii vita nikawa sijakifahamu ila ndugu umenifungua macho. Marekani haanzishagi chokochoko mahala pasipo na maslahi!
 
Putin haungwi mkono na nchi yake , nimeshangaa sana Putin kushindwa kulijua hili mapema
 
Putin yupi aliyegundua na Putin yupi anayetaka kumalizwa? Uwezo wako mwisho ni kujua yanayoendelea Tanzania lakini ya huko Kremlin ni makubwa kwako. Yaani unamzungumzia Putin kama Unamzunguzia Mnangagwa. Ulianza na majasusi wa Marekani wapo Moscow haikutosha Ukasema afya ya Putin sio ridhiki leo unasema KGB wanapanga kummaliza...bado kusikia juu ya mpango wa mkewe na wanawe.

Cha kukusudia tu tunza nguvu yako mpaka 09 May mwaka huu maana inasemekana Russia itatangaza vita kamili kwa Ukraine. Hapo ndio utakapoona nguvu kamili ya Urusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…