Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

🇰🇵🇰🇷🇯🇵North Korea fired an unidentified projectile in the direction of the Sea of Japan, it is likely that it was an intercontinental ballistic missile (ICBM), the Yonhap news agency reported, citing the Joint Chiefs of Staff of South Korea.
 
Hivi uyu itakuwa analipwa kwa hizi porojo zake ee?
 
Mkuu nakuheshimu sana ila huku unakoelekea unapoteza kila kitu. Inamaana wewe huoni nini kinaendelea ukraine mpaka sasa umeshindwa juaa???.

Umeshapiga safari nini??
Champagnee tulia, kuna mtu mjuaji humu jana nilikuwa namvuta anijie na majibu yake ya matusi nina nyundo yake ya utosi. Naona ananikwepa.
 
Tulia mkuu
 


Ramzan Kadyrov:

We caught a big western fish trying to escape from the Azovstal factory and sent it to the great fisherman Vladimir Putin as a gift for Eid al-Fitr.

There are still a lot of western fish and with them 4 very large and very important "shark" class.
 
hio emp ikipigwa nimeelewa itazima mitamb yote na kufanya vita vya ardhin ana kwa ana kuanza
 
Wakati unakaza fuvu kuleta ndoto za kufikirika Russia anakusanya mapato makubwa ya mafuta na gas toka Nchi za Ulaya hasa Germany. Ungeelekeza nguvu zako kutathimini namna ya kuikomboa familia kutoka kwenye dimbwi la umaskini na kuongeza kipato chako.
 
sasa hii sinkama kuzuia kwa mbele kupokea kwa nyuma?
 
Wakati unakaza fuvu kuleta ndoto za kufikirika Russia anakusanya mapato makubwa ya mafuta na gas toka Nchi za Ulaya hasa Germany. Ungeelekeza nguvu zako kutathimini namna ya kuikomboa familia kutoka kwenye dimbwi la umaskini na kuongeza kipato chako.
 
Pamoja na vita inayoendelea nimepita sehemu moja jana usiku watu wanapiga ULABU kawaida !!

Japo wamekaa kimkao wa mbio kwamba kikinuka wasepe!!!!

Alafu mtu yuko Tandahimba anabishana na mimi.

View attachment 2208558
Wakati unakaza fuvu kuleta ndoto za kufikirika Russia anakusanya mapato makubwa ya mafuta na gas toka Nchi za Ulaya hasa Germany. Ungeelekeza nguvu zako kutathimini namna ya kuikomboa familia kutoka kwenye dimbwi la umaskini na kuongeza kipato chako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…