Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu kazi ipo na muonekano wa Bei haitashuka itazidi kupanda Kila nikiamka asubui jambo la Kwanza nawaza mafuta
 
Ni suala la muda itajulikana Ulaya ni wajinga au wewe ndo kilaza. Kwa sasa wote nawapa nafasi. Ngoja tuone.
Mimi kabla hata ya kushangaa Viongozi wa EU kuwa wajinga,niko na shangaa vile lugha ya Malikia na Kiswahili vinavyopigana katika hiyo comment ya anaewaona EU ni wajinga[emoji3]
 
Reactions: Tsh
Namuona General waliyesema ameuawa kwenye video.

Military parades on May 9 will be held in 28 Russian cities.

This was announced by Russian Defense Minister Sergei Shoigu.

Will be involved:

• about 65 thousand people.

• about 2,400 types of weapons and military equipment.

• over 460 aircraft.
Your browser is not able to display this video.
 
Mbona tupo chini ya hao na tuna amani......Wewe unafurahije kuona nchi ya mwenzako inavamiwa na kuamuliwa kufuata matakwa yake kwa lazma kisa nchi vamizi ina nguvu ?.......not fare aisee.....
Unaweza kupinga ushoga kama nchi?
Madini yako?
Haki za binadamu zipoje
 
Mbona tupo chini ya hao na tuna amani......Wewe unafurahije kuona nchi ya mwenzako inavamiwa na kuamuliwa kufuata matakwa yake kwa lazma kisa nchi vamizi ina nguvu ?.......not fare aisee.....
Duh...kwa hiyo wewe mwenzetu unadhani na kuamini kabisa kuwa Russia ameivamia Ukraine bill sababu?! Ndivyo unavyoamini??!!!
 
naomba kujua hiyo "Emp" mnayodai ikizimwa haya magari hayataenda. Ipoje na mmiliki ni nani?
Anha nimekupata sasa...

EMP ni short ya neno Elecro Magnetic Pulse, kwa wengine linajulikana kama TED, Transient Electromagnetic Disturbance, ni aina ya "bomb" lisilo la ki-Nuuclear ambalo liko designed kwa lengo la ku-destroy information system.

Sasa unapozungumzia Information system unazungumzia electronics kwa ujumla wake... So likiwa detonated linaharibu mifumo yote ya mawasiliano. Yani electronics zote zinageuka taka taka.

Wanadai hizi EMP generally attacks solid-state electronics, so kila kitu ambacho kina-functioning with an electronic circuit hakita weza fanya kazi.

Hadi ile electrical grid ambayo ilizungumzwa na aliyeleta hiyo taarifa kule juu would be directly affected na it could take months to repair and get back to normal.

Kuhusu nani anamiliki sijafatilia sana ila Russia analo. Na ndicho kilichokuwa kikielezwa kwenye ile post ya Mathanzua kua badala ya Russia kutumia Nuclear weapons kwa NATO anaweza tumia hilo dhidi yao.
 
Hii uliyomweleza ni NEMP sio EMP iliyokuwa imekusudiwa awali.

EMP ni non Nuclear,

NEMP ndio kama hivo ulivyotueleza...

Anyway shukran kwa kutuongezea maarifa mapya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…