LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Nchi takribani 28 zimeahidi hivi karibuni kupeleka silaha Ukraine. Mpaka sasa sidhani hata robo ya nchi hizo zimesema zitakachopeleka hasa.
 
Na bado mfungo wa kuiombea Ukraine ulioitishwa na Papa Francis kwa Wakatoliki wote haujafanyika. Ukifanyika hiyo tarehe 2 Machi, Urusi atapata tabu sana!

Nasema atapata tabu sana, people are not going to pray for nothing.

Kwa huyu papa anaeshabikia Ushoga haya kila la kheri
 
Wakuu.

Kama Taifa, tuna la kujifunza kutoka Ukraine.

Kuna tabia ya wanaJF humu kukosoa ule utaratibu wa kuwapeleka JKT vijana wanaohitimu kidato cha sita kila mwaka.

Kwa yaliyotokea Ukraine nadhani tutakuwa tumeona umuhimu wa kila raia kuwa na ujuzi wa kutumia silaha pamoja na kujengwa kikakamavu na kisaikolojia kuweza kukabiliana na maafa ya namna yake.

Sio kesho tunavamiwa na nchi nyingine, vijana wanaanza kugombania vivuko na wazee kwenda nchi jirani kutafuta hifadhi baada ya kubaki nyumbani na kuipambania nchi.

Palestine [emoji1137].
 
Belarus Katangaza kuingia Ukraine kumsapot Putini.

My opinion:, Putin kavuliwa nguo na Ukraine mbele ya wakwe zake.
ameanza kutag washirika wake.. soon tutasikia Rocket Man nae kaingia mzigoni.
Kwani unahisi hivyo vita Ukraine inapigana peke yake.. bila msaada wowote
 
Ongeza propaganda na matusi, bado hayatoshi.
 
Easier said than done.
Labda kwenye movie ndio inawezekana hayo uliyoandika.
 
Wala usipate hofu,si ni majuzi tu hapa mlikuwa mnasema hii ni special operations itachukua chini ya masaa 24 tu na Ukraine atakuwa keshachakazwa.
Mkuu hapa hatuko kwenye mipasho bali tuko kwenye uhalisia.
Kwenye hivi vita Urusi hautumii nguvu nyingi na ndio maana unaona mauaji ya raia ni kidogo na uharibifu wa miundo mbinu sio mkubwa sana.

Hivi unaya kumbuka mashambulizi yaliyo fanywa na Urusi kwenye mji wa Allepo nchini Syria?

Hivi unadhani Urusi ingekuwa inatumia nguvu kubwa hayo majengo unayo ona kwenye miji ya Ukraine yange kuwepo ?

Hata Idadi ya walio uawa sasa hivi ingekuwa maelfu tofauti na sasa.


Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Wazungu akili hawana kwahiyo wanataka vita iendelee mana sio kwakutuma silaha hatar
 
ghahawa ya wapi hii uliokunywa maaalim ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Naona wananichanganyatu watu wapo bize kushabikia Vita Kama kitu kizuli vile.
Ukiweka mambo pembeni Ukraine asipo kubaliana na Putin nchi na wananchi wanaenda kuangamia kbsa. Na NATO ndio itambana zaiei Russia,kitu kinachoweza kusababisha Vita kuchukua sura mpya
Rubbish ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ