LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Mambo gani sasa haya kila mtu Ulaya anatuma silaha. Hawa Denmark wako serious kweli? Anti tank weapons 2,700 zote hizo kwa ajili ya invading forces. Ukraine walipofikia sasa hivi hata wanajeshi wa Russia wakienda na gari zisizo na armour kama Nissan au BMW watapigwa ATGM badala ya kurushiwa risasi.

Viktor Orban wa Hungary alikuwa amekubali kupeleka silaha ila ameghairi baadae sasa wanamshutumu. Haiwezekani sasa kila mtu atume silaha badala watafute suluhisho. Naanza kuona dalili hata Donetsk na Luhansk watalazimisha zirudi kwa Ukraine kwenye mazungumzo baadae. I bet zitatumika kwenye kuiondoa Russia kwenye vikwazo vya SWIFT. Ila Crimea ibaki Urusi, kwanza ni ya kwao na ni muhimu wawe nayo View attachment 2133343
Nchi takribani 28 zimeahidi hivi karibuni kupeleka silaha Ukraine. Mpaka sasa sidhani hata robo ya nchi hizo zimesema zitakachopeleka hasa.
 
Na bado mfungo wa kuiombea Ukraine ulioitishwa na Papa Francis kwa Wakatoliki wote haujafanyika. Ukifanyika hiyo tarehe 2 Machi, Urusi atapata tabu sana!

Nasema atapata tabu sana, people are not going to pray for nothing.

Kwa huyu papa anaeshabikia Ushoga haya kila la kheri
 
Wakuu.

Kama Taifa, tuna la kujifunza kutoka Ukraine.

Kuna tabia ya wanaJF humu kukosoa ule utaratibu wa kuwapeleka JKT vijana wanaohitimu kidato cha sita kila mwaka.

Kwa yaliyotokea Ukraine nadhani tutakuwa tumeona umuhimu wa kila raia kuwa na ujuzi wa kutumia silaha pamoja na kujengwa kikakamavu na kisaikolojia kuweza kukabiliana na maafa ya namna yake.

Sio kesho tunavamiwa na nchi nyingine, vijana wanaanza kugombania vivuko na wazee kwenda nchi jirani kutafuta hifadhi baada ya kubaki nyumbani na kuipambania nchi.

Palestine [emoji1137].
 
Belarus Katangaza kuingia Ukraine kumsapot Putini.

My opinion:, Putin kavuliwa nguo na Ukraine mbele ya wakwe zake.
ameanza kutag washirika wake.. soon tutasikia Rocket Man nae kaingia mzigoni.
Kwani unahisi hivyo vita Ukraine inapigana peke yake.. bila msaada wowote
 
Belarus Katangaza kuingia Ukraine kumsapot Putini.

My opinion:, Putin kavuliwa nguo na Ukraine mbele ya wakwe zake.
ameanza kutag washirika wake.. soon tutasikia Rocket Man nae kaingia mzigoni.
[emoji1370]
Screenshot_20220227-214250_Instagram.jpg
 
Msela mavi kiazi cha moto kimemkaba kooni kaomba poo kwa kumtumia Lukashenko aombe kikao...
Sasa kama mtoto mdogo anatishia kung'ata meno....
China hana time na unafiki wa viongozi wa russia tokea fundisho walilopata wakati Mao, Mchina yuko bize kukuuzuia tecno, hamna muda wa kipuuzi kama msela mavi
Ongeza propaganda na matusi, bado hayatoshi.
 
Kwasisi tusio fungamana na upande wowote, tunapenda kukwambia kua. Baada ya mazungumzo ya hao waheshimiwa wawili/wajumbe wao. Wasipo afikiana ni Ww3 ndicho kitu kinafuata. Maana ndio Vita rasmi itaanza Sasa.

NATO kusogeza vifaa, Russia kuvipiga alafu wanaingia na styre ya dog it another 🐕. North Korea anatuma wanajeshi 300,000 huku wengine laki 4 wakisogea mpakani na south. Ila south Korea anamuwahi mchinaamsihi kiduku wao hawafungamani na upande wowote. Kisha Iran inaanza kuzitarget base za NATO middle east. Israel anajiweka 100%military readiness. Hizbullah,Hamas nao wanakaa mguu nje mguu ndani Saudia anakataa kujiunga na Vita pamoja na Sunn country. Ila Egypt inaanza kumlia timing Uturuki Algeria inapewa jukumu la kuingia ulaya kutokea Mediterania akiwa na Tunisia na wanamgambo toka Libya, Mali, west Sahara na nchi za west africa wanaingia morroco mudahuo urusi yupo Berlin.
Finland, Switzerland,luxenburg,wao hawafungamani na yeyote hivyo watabakia Kama Tanzania tu. Wakati marekani inaamua kwenda kuisaidia ulaya China inaivamia Japan ikisaidiana na urusi na North korea. Marekani inakaribia kutia nanga inapewa Habari Saudia,Use,Qatar,Iraq, Afghanistan, Kuwait, Yemen, Lebanon na india, Jordan, Egypt, na Uturuki zimeigeuka na wanaipiga Israel kutokea kote kote, Israel inaona ngoja nife nao inaipiga mecca,tehlan na Cairo atomic bomb. Wakati huo huo manuali za North korea,China na Russia zinaichakaza america. Ndipo hapo unapitishwa uamuzi wa mwisho wa dunia awamu ya kwanza kwa kubofya vitufe vyekundu
Basi mchezo unaishia hapo dunia ikiwa imebaki na Super Powe south africa, Nigeria Tanzania alafu mpinzani Brazil.

Haya wakati yanatokea akina Thailand, south Korea na Australia mungu yupo pata jivujivu.
Easier said than done.
Labda kwenye movie ndio inawezekana hayo uliyoandika.
 
Wala usipate hofu,si ni majuzi tu hapa mlikuwa mnasema hii ni special operations itachukua chini ya masaa 24 tu na Ukraine atakuwa keshachakazwa.
Mkuu hapa hatuko kwenye mipasho bali tuko kwenye uhalisia.
Kwenye hivi vita Urusi hautumii nguvu nyingi na ndio maana unaona mauaji ya raia ni kidogo na uharibifu wa miundo mbinu sio mkubwa sana.

Hivi unaya kumbuka mashambulizi yaliyo fanywa na Urusi kwenye mji wa Allepo nchini Syria?

Hivi unadhani Urusi ingekuwa inatumia nguvu kubwa hayo majengo unayo ona kwenye miji ya Ukraine yange kuwepo ?

Hata Idadi ya walio uawa sasa hivi ingekuwa maelfu tofauti na sasa.


Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Wazungu akili hawana kwahiyo wanataka vita iendelee mana sio kwakutuma silaha hatar
 
ghahawa ya wapi hii uliokunywa maaalim 😂😂😂😂
Naona wananichanganyatu watu wapo bize kushabikia Vita Kama kitu kizuli vile.
Ukiweka mambo pembeni Ukraine asipo kubaliana na Putin nchi na wananchi wanaenda kuangamia kbsa. Na NATO ndio itambana zaiei Russia,kitu kinachoweza kusababisha Vita kuchukua sura mpya
Rubbish 🚮🚮
 
Back
Top Bottom