Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nina mashaka makubwa sana kuhusu mstakabari wa Dunia endapo Tarehe 09/05/2022, Serikari ya Urusi ikitangaza Vita kamiri dhidi ya Taifa la Ukraine.

Namaanisha ruksa ya kutumia siraha yoyote na kuna msemo Vita haina macho. Tutashuhudia dhana za kisasa ZIKITUMILA Kama Ndege za kisasa, vifaru vya kisasa, mizinga ya kisasa, Ushiriki wa Jeshi la Urusi, siraha za sumu, nyambizi za kisasa.

Tunatakiwa kuomba Mungu atuepushie hili janga sababu litavuruga mara nyingi zaidi Uchumi wa Dunia na uenda Watu wakafa kwa njaa sio risasi.

Pia itavuruga Serikari za Mataifa mbalimbali mfano, Uchaguzi unaoendelea UK Chama tawala kimebwagwa vibaya ktk chaguzi za Serikari za Mitaa na Majimbo.

Huko USA, Rais Biden umaarufu unashuka kwa kasi, akituhumiwa kushindwa kuisaidia Ukraine dhidi ya Urusi. Wanajionea Propaganda sio vitendo ktk uwanja wa Vita. Kinachoongelewa ktk Media sio uhalisia Uwanja wa Vita maana Zelewinky anaupiga mwingi kuomba msaada KWINGINEKO.

Mungu atuepushie Vita ya Dunia itakayoleta MADHARA makubwa kitechnologia na KIUCHUMI.
 
Ngoja wafia dini wale akina libalikiwe taifa la Israel. lakini ukweli umeusema. Natamani ufungue topic ili watu wajue utapeli wa watu hawa wanaojidai wana wa Israel
Mkuu zipo mada nilishaleta hapa,nadhani wewe kukuziona,tena nilirudia,kwa kuwa nilitaka watu wajue wabaya wa Binadamu kimsingi.

Soma hii👇

 
Atalazimishwa kwa makonde
 
Yanachanganya mno tena mno...

Hii taarifa ya leo

Israel considers ‘nonlethal military aid’ to Ukraine amid soaring tensions with Russia...
Isikuchanganye mkuu,ngoja nikutegulie kitendawili.Kama ungekuwa mfutiliaji wa mada zangu,ungelielewa hili.

Ni hivii, Israelis sio Jews.Jews ni jina la kitapeli walilojipachika tu the evil Khazarian tribe ambao ndio akina Rothschild, Rockefeller na wengine.Hawa ndio wenye ideologies za Nazism na Zionism.Note that they are also called Ashke-Nazi Jews,from which they derived the ideology Nazism.Jews sio Wairaeli,ni wavamizi Israel,na ndio wanaoitesa Dunia kwa sasa na wanaoitawala Israel.Mind you,Waisrael wenyewe wametengwa kabisa Israel na hawana nafasi na usemi kabisa.

Sasa who is Zelensky,he is a Jew,ndugu na akina Rothschild na Jews wengine or if you wish Khazarians wanaoikalia Israel.Kwa misingi hii,Lavrov aliyosema ni kweli.Zelensky wamem-implant Ukraine ili atengeneze mazingira ya the so called Jews kuweza kurudi na kuikalia tena Ukraine,ambayo ni their original homeland.

Walifukuzwa huko miaka mingi sana iliyopita kwa sababu ya uovu wao,uovu ambao hawajaacha mpaka leo,na naweza kusema ndio chanzo cha ugomvi wao na Russia leo.Kwa misingi hiyo naweza kusema Israel pretending to be friendly with Russia is a lie,it is simply impossible.

Kwa taarifa zaidi soma hapa👇


Khazarian Mafia and its evil plan to infiltrate, tyrannize the whole World and eradicate all Abrahamic Religions and take over the World.​

 
MKUU mbona IRAN ikombali mnoooo
Jamaa wanatumia vyema bongo zao ZIMBABWE unaiona ilivyo!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Warusi kindakindaki wa JF wanaziruka tu nyuzi zako kimya kimya!endelea kutu-update mkuu!
 
Ni vyema ikaanzishwa mada juu ya ukombozi wa kifikra.
 
The US plans to increase by $3 million (up to almost $19 million) the budget of the program to “support” legal reforms in Uzbekistan.

RT got acquainted with the documents of the American Agency for International Development (USAID). The project was supposed to be completed in August 2023, but it was proposed to extend it until the end of November 2024.

The ministry explained that this would provide support, including for labor migrants returning from Russia. The program is aimed at creating tools for interaction between USAID and the authorities of Uzbekistan, the agency noted
 
Top news for the day:

- pensions will be automatically indexed by 8-9%, no action is required from the citizens themselves, said Svetlana Bessarab, a member of the State Duma Committee on Labor, Social Policy and Veterans Affairs;

- the seizure of Russian assets by the West is chaos and robbery in the best traditions of the Wild West, said Russia's permanent representative to the UN Vasily Nebenzya at a meeting of the organization's Security Council;

- The Russian Embassy in Washington called on the United States to destroy its chemical arsenal, following the example of Moscow.
 
"You know, I sleep with the teacher every night."

Biden at a public reception jokes about his wife, a teacher by profession.

The First Lady smiles awkwardly, but the President of the United States continues: "If I didn't like teachers, I would sleep alone."
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…