Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tatizo ni lugha uliyotumia kwenye bandiko lako... Kumbuka unaongea na watanzania
 
Hao hao ndio walishindwa kunitofaitushia Economic growth vs economic development .... Wachumi wa mchongo....
 
Inawezekana ni warussia wanaopinga uvamizi wa kijeshi wa nchi yao dhidi ya Ukraine. Wananchi wengi wa Russia wamechoka na utawala wa kidikteta wa Putin.
 
Mnashangaa nn kuungua kwa masoko nchini Urusi, mbona sisi shule za sekondari zilikua zinaungua sana na hatukushangaa?[emoji28]
Nyie huko tz mna afazali sie huku marekani yanaungua mengi kuliko huko Tanzania.
 
Kama hili linakupa unafuu wa kile Russia anachokutana nacho Ukraine,ruksa Mkuu kufurahia.Sisi hapa tunachojua kuna meli na soko huko Russia vimelipuka kwa moto
Leta chanzo maana nimeitafuta hii habari kwenye vyanzo vyote mpaka sasa sijaona habari kama hiyo.

Lakini mm habari za shoga kuwa msemaji wa ikulu yenu pendwa chanzo ninacho kama unabisha.

Na hii ndio tofauti kati yetu na nyie maana habari zenu chanzo chenu cha habari ni huyo jamaa yenu anaye jifanya anaishi Urusi wakati yuko mbagala kwa tumbo maisha yanachapa.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…