Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
... bado jeshi la ardhini litabaki kuwa jeshi final no matter what. Nyambizi, marine, airforce, sijui nini hizo ni assist tu. Infantry ndio mpango mzima.Hizi air raid ni za kuwafanya muingie ndani kuliko Ku zagaa nje Kwa kifupi ni Kama curfew
Wewe kama hujui Kingereza kaa pembeni,sio audience yangu,wenzio wana nishukuru sana.Kwa mfano nimepata taarifa,tena very relevant nii-rewrite!Mawazo pungufu kabisa haya.Na hata nikii-rewrite what purpose does it serve,message si ile ile tu.Acha ujinga wewe.Elimu yenyewe uliyo nayo,kama unayo ni ya ku-copy na ku-paste.Tatizo huwa una copy na kuja ku paste vingereza toka wap cjui ndio maana hupat attention
Kabisa kwakuwa Accuracy ya kushambulia inakuwa 70-100% angani labda marekani anaye weza Ku zoom in hata Urusi wana zana ila operators ndo nawashangaa hawana b target... bado jeshi la ardhini litabaki kuwa jeshi final no matter what. Nyambizi, marine, airforce, sijui nini hizo ni assist tu. Infantry ndio mpango mzima.
Na sio kwamba ni bahati mbaya mkuu,it is organized.Na nikuambie nini bado, matumbo yatauma.Yaaani dunia inashuhudia watu wanavyouana wameangalia tu yaaani inauma kweli
Do you even take time to triangulate youe news's sourcesWewe kama hujui Kingereza kaa pembeni,sio audience yangu,wenzio wana nishukuru sana.Kwa mfano nimepata,tena very relevant nii-rewrite!Mawazo pungufu kabisa haya.Na hata nikii-rewrite what purpose does it serve,message si ile ile tu.Acha ujinga wewe.Elimu yenyewe uliyo nayo,kama unayo ni ya ku,-copy na ku-paste.
Unaupigwa mwingi,mitano tena kwakoKaskazini mwa mji wa Kharkiv vikosi vya Ukraine vimetangaza rasmi kuwaondoa Kabisa wapiganaji wa Urusi hapo majimbo ya Oleksandrivka, Fedorivka, Ukrainka, Shestakove na Peremoha. wanaendelea na mapambano kuukomboa kabisa mtaa wa Cherkas'ki Tyshky ambapo general mmoja wa Urusi bwana Shlatov Dmetry 59 amekamatwa mateka pamoja na askari 27 wa Urusi huku majibuzano kadhaa ya risasi na mabomu kidogo kidogo yakiendelea , wametelekeza zana za kupigania pamoja na vifaru 2
Na wamesogezwa mpakani Kabisa kuelekea Urusi,
Upande mwingine Urusi imeunda kamati maalumu kuchunguza Kama kuna hujuma inaendelea Au ni ajali tu za kawaida Kwa milipuko inayoendelea nchini hapa..
Asubuhi Hapa Vladivostok na Saratov, tulitangaziwa tukisikia alarm tukae tayari!
Chanzo kingine: mimi mwenyewe wakati tunatangaziwa nimesikia
Britanicca
It's not about the weapons but the men behind itKabisa kwakuwa Accuracy ya kushambulia inakuwa 70-100% angani labda marekani anaye weza Ku zoom in hata Urusi wana zana ila operators ndo nawashangaa hawana b target
Kaskazini mwa mji wa Kharkiv vikosi vya Ukraine vimetangaza rasmi kuwaondoa Kabisa wapiganaji wa Urusi hapo majimbo ya Oleksandrivka, Fedorivka, Ukrainka, Shestakove na Peremoha. wanaendelea na mapambano kuukomboa kabisa mtaa wa Cherkas'ki Tyshky ambapo general mmoja wa Urusi bwana Shlatov Dmetry 59 amekamatwa mateka pamoja na askari 27 wa Urusi huku majibuzano kadhaa ya risasi na mabomu kidogo kidogo yakiendelea , wametelekeza zana za kupigania pamoja na vifaru 2
Na wamesogezwa mpakani Kabisa kuelekea Urusi,
Upande mwingine Urusi imeunda kamati maalumu kuchunguza Kama kuna hujuma inaendelea Au ni ajali tu za kawaida Kwa milipuko inayoendelea nchini hapa..
Asubuhi Hapa Vladivostok na Saratov, tulitangaziwa tukisikia alarm tukae tayari!
Chanzo kingine: mimi mwenyewe wakati tunatangaziwa nimesikia
Britanicca
Huzuniii eeeUmekua mjinga siku hizi braza mpka huzuni!!!
Napendekeza serikali ianze kukupa mshahara Kila wiki.mitano Tena kwako.The Vicalina market in Vladikavkaz, Russia is on fire.
Soko kubwa Kwa Urusi maarufu kama Vicalina market huko Vladikavkaz linaungua na taratibu za uokoaji zinaendelea
Moto umeotea kwasababu ya shambulio ambalo wanasema linafanyiwa uchunguzi!!!
Warusi wa PICHA YA NDEGE TUNA HASIRA
Siku za hivi karibuni kunekuwapi na moto wa mara Kwa mara ndani ya Urusi kutokana na vyanzo mbali mbali ila vingi vikiwa kugoma kinachoendelea Ukraine
View attachment 2213845
HahahaNapendekeza serikali ianze kukupa mshahara Kila wiki.mitano Tena kwako.
Sasa hii zaidi ya 1500 inatokea wapi!? Kumbe inawezekana tukauziwa mafuta 2000-2500
Ukiona hauelewi means hayakuhusu unapita kushoto tu boss mbona information zipo nyingi tu humu.Do you even take time to triangulate youe news's sources
KabisaThe weak must get stronger... Ukraine komaa Hadi mrusi ateme bungo.