Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Je Russia itabidi aivamie na Beralus ikijakuwa Democratic?
Au Itabidi aivamie Finland?, other Central Asia countries?
 
Waonekana hujui lolote wewe, wanaotengeneza bomu wenyewe wanasema lina uwezo mkubwa zaidi wa kupenya na pia uwezo mkubwa zaidi wa kusababisha uharibifu ukilinganisha na bomu mfano wake ktk uzito ila spidi tofauti...

Yaonekana hufahamu hata effect ya Mass*Velocity, ndio tatizo la kujadiliana maswala ya silaha na watu waliosoma ungwini (HGL)

Kwa hiyo tuache maelezo ya watengeneza silaha tuchukue porojo zako wewe?!

Akili zingine bwana!
 
Hahahaha and how many ukrainian' soldiers died?!?! Stupid Western media zinajenga ajenda ya mauaji ya raia just to demonize Russians...sijui Mara hospitali imebomolewa Mara shule Mara kindergarten Mara sijui theatre...hiyo ni agenda building ya media hizo na pia agenda setting...huwezi kusikia Askari wangapi wa Ukraine wamekufa au vifaru vingapi vya Ukraine vimeteketea...media hizo za west zinataka kuiaminisha dunia kuwa majeshi ya Russia yanalenga raia tu...stupid media..
 
Umefafanua vizuri sana kwenye kujibu hili. Mimi mvivu wa kuandika ningejibu kwa sentensi fupi tu, "Wanaona aibu kusarenda, wanaamua kufa na tai shingoni"
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa kama wanaongopeana wenyewe tena kwenye mlango wa kifo kama hivo je huku washabiki tunaofatilia huu mtanange itakuaje [emoji41]
 
Kwahio unataka kuniambia kulikua na nchi inayoitwa Ukraine?? Kwakweli angalia tena history vizuri kaka
 
Tunaanza tukipoishia.....

🔥🔥🔥🇺🇦🇵🇹 Portugal will send five M114 towed howitzers from World War II to Ukraine!

The 155mm Howitzer M114 is an American field howitzer during World War II. It was developed in 1939-1941🔥🔥🔥
 
🔥🔥🔥 NATO Secretary General Stoltenberg today announced that Russia's general offensive in Donbass has not yet begun, and the Russian army is using a limited number of available troops.
According to him, in the coming weeks, Ukraine should be ready for a major Russian offensive and an increase in the intensity of hostilities and new destruction of critical infrastructure🔥🔥🔥
 
heri ujifunze Warusi wa Ukraine ni Waukraine hawana hamu ya kuwa raia wa Rossiya (Россия - Urusi wa Putin). Walithibitisha hiyo katika kila uchaguzi. tena kura za Ukraine ni huru.
Warusi wa Ukraine ni wengi zaidi katika mashariki, ona jinsi walivyompigia kura Zelensky mwaka 2019! (na Zelenski mwenyewe ni "Mrusi" wa Ukraine - kirusi ni lugha yake ya kwanza).
Uchaguzi wa rais Ukraine 2019: Kijani - Zelensky, dhambarau: Poroshenko

Kumbuka: tofauti na uchaguzi huko katika Rossiya ya Putin, hapa Ukraine ni huru.
 
Yaani MKUU ila basi maana au basi MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PROPAGANDA
hawa waliwapata wazee wetu huko wamiaka 60s
Ila sisi vijana tunaojitambua hawatupati na hizo PROPAGANDA zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…