Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nikishaona tu hiyo kauli yenu ya MASAA 72 naona naongea na mpuuzi wa kiasi Gani ... Mkiambiwa mlete hapa ushahidi wa hiyo kauli na nani aliitoa ...mnakimbiana kama mbwa wa sokoni ...
 
Kuvunjika kwa USSR kumeacha funzo kubwa kwa Russia ambalo baadhi tunaamini hawatokaa warudie makosa
Ukweli mchungu huu ila mzee hua unatema sana FACT basi tuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikishaona tu hiyo kauli yenu ya MASAA 72 naona naongea na mpuuzi wa kiasi Gani ... Mkiambiwa mlete hapa ushahidi wa hiyo kauli na nani aliitoa ...mnakimbiana kama mbwa wa sokoni ...
Nani amjibu mdudu la maana....
 
Spertsnaz Nilisoma nao wawili hawa jamaa huwa wanakula misumari kama karanga
Some time wakichoka kubeba kichwa huwa wanakikata wanakiweka kwenye begi kisha wanaendelea na safari

Sema kuna watatu walijaribu kuingia anga zangu aaaah kichapo nilichowapa acha kabisa kwanza nilikuwa nawapa vifuti the nawarusha juu kama mpira wakiwa juu nawafata huko huko kwa tik tak

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Da ila wee jamaa kumbe ni mweupe sana ,ukweli Huwa sisomi komenti zako ila nimeona nijaribu kusoma hii nimegundua kumbe huijui Urusi vizuri.
Nikisema mweupe simaanishi wewe ni mjinga,namaanisha ni mtupu kwenye ufahamu juu ya Urusi.
Aaaah huyo jamaa wewe haumjui mm nilisoma nae aliwai kupiga hat-trick ya kushinda tuzo ya ujinga shuleni mara tatu mfurulizo jina lake halisi ni Rupia Amos

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kundi la Mataifa saba tajiri (G7) limeazimia kupiga marufuku na kukomesha uagizaji wa mafuta ya Urusi, hatua hiyo inakuja ikiwa ni shinikizo jipya zaidi la nchi za Magharibi kumtaka Rais wa Urusi Vladimir Putin kusitisha uvamizi wa nchi yake kwa Ukraine.
#MillardAyoUPDATES https://t.co/cTlDxmBq0y
 
Shinikizo pekee lililobaki ni wao wenyewe kuingia vitan na Urusi moja kwa moja ila kukataa kununua mafuta na gesi ni kuwaumiza wananchi wao.
 
Kaka unaleta namba bila kuonyesha msingi wowote kwa madai yako.
Kihusu vifaru naweza kuelewa makadirio yako maana ninajua pia idadi zinazotajwa; sijui labda tofauti na wewe nimejaribu kuelewa pia maana ya tarakimu hizo.
Idadi ya vifaru vya Urusi hutajwa baina 22,000 na 12,000. Wakati mwingine niliona pia idadi ya 45,000 lakini hizi ni pamoja na T-55 ambayo siamini ziko kweli. Linganisha chanzo hapa
Idadi kubwa ya vifaru iko kwenye ghala; kifaru iliyokaa miaka kwenye ghala hakiwezi kuwashwa na kutumwa vitani. KWa hiyo je wataweza kufufusha vingapi??
Kitu kingine ni askari waliojifunza kukitumia. Hapa hawana watu wa kutosha kwa idadi iliyopo kwenye ghala. Nasikia nchi nyingi wanakadiria angalau mwaka mmoja wa kufundisha timu hadi iko tayari.

Watazamaji wengi wanahisi Urusi ilipotea zaidi ya vifaru 400 tayari, pamoja na timu zake.

unachoandika kuhusu roketi, umechuka hewani tu. Lete data. Simjui anayejua idadi hiyo (nje ya Urusi) lakini imeonekana hawarushi roketi nyingi za kisasa, na sasa walianza kutumia hizi za kushambulia manowari, ambazo ni ghali mno kwa matumizi kwenye nchi kavu - kwa hiyo kuna dalili kabisa kwamba wana matatizo hapa.

Ukipinga, acha mahubiri kama juu,lete data na chanzo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…