Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mpaka sasa hivi kachanganyikiwa, kasha tumia hypersonic missile zaidi ya kumi lakini wapi ndo kwnz kumekucha
 
Hizo mtaweka nyinyi pro Russia


Haya na mimi naweka takwimu:--

Wanajeshi wa Ukraine waliouawa ni ×4 ya hao wa Russia na vifaa vya Ukraine vilivyoangamizwa ni mara 10 ya hivyo vya Russia.

Hapo vipi??!!🤣

Source: pravda.
 
Kukata bomba la gas ni mbinu ya kivita?? Afu unajiita mchambuzi. Hawana kiburi cha kukata coz hiyo gas inakwenda kwa mashoga zake hawawezi mruhusu kufanya huo ujinga bado wanaihitaji gas ya mrussi. Hizo ni kelele tu hana hicho kiburi.
na bado anachkua service fee yake kila mwez yan wanapigana ila anachkua malipo ya hiro mbomba kupita hapo.
yaan nimekaa zang ngamu huku dongobesh ila naendelea kupata zang kodi
 
Naona sasa wanato wenzako humu wemechoka kukusapoti[emoji23][emoji1787][emoji1787], baada ya kuwashauri waingie wenyewe kwenye mitandao wajionee hali halisi wameanza kuchoka ma story zenu za kutunga[emoji16][emoji16], ila usiwajejee sana wenzako watakuchoka mapema
 
Leo nimeona reporter mmoja anaonesha mili ya askari wa urusi ikiwa imeoza, inaumiza sana kama askari umetumwa kwenye operation mbovi kama hii askari wanapigana bila morale. " Without a fighting morale the battle field become diserster’'
 
Kwani hiyo gesi inaenda nchi gani,kama ni nchi zinazompa msaada,wataanzaje?
 
Haya na mimi naweka takwimu:--

Wanajeshi wa Ukraine waliouawa ni ×4 ya hao wa Russia na vifaa vya Ukraine vilivyoangamizwa ni mara 10 ya hivyo vya Russia.

Hapo vipi??!![emoji1787]

Source: pravda.
Hapo safi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…