Bado hunielewi. Namaanisha kila nchi itakayovamiwa na Urusi ili isijiunge NATO ni soko jipya la USA la silaha na mikopo na kwa sababu ni jirani na Urusi hivyo Urusi atajimegea kipande cha ardhi ya hiyo nchi, to me wanachofanya ts much more of a WIN WIN situation kuliko uadui maana raia wao wapo salama. Urusi kama kweli yeye na USA ni maadui basi Urusi apambane na tatizo halisi moja kwa moja.US soko lake kubwa la silaha ni EU na NATO members. Kwanini mturuki alinunua airdefense systerm kutoka Russia???
😄😄😄😄Hawa ni BBC, VOA, REUTERS,CNN, DW 🤣🤣
Hilo swali muulize erdoganUS soko lake kubwa la silaha ni EU na NATO members. Kwanini mturuki alinunua airdefense systerm kutoka Russia???
muda mwalimu mzuri wahenga walisemaRussia anaingia hapo Finland na hakuna hao UK watakachofanya. Tusubir tuone ni suala l muda tu kama hajajifunza ya ukraine asubir kichapo
Muda mwalimu mzuri sana we unasema ahadi za uingereza hazina lolote? yaani kuwa silaha anazopewa ukraine na uk na misaada mingine haina lolote kwa ukraine.? kweli una mahaba na urusi mahaba ya chongo kuita kengeza, urusi alisema atakayemsaidia ukraine yatamkuta haya mpaka sasa urusi kafanya nini? ndiyo kwanza Boris Johnson na viongozi wengine wa western wanaenda Kyiev kila uchwao, misaada kama yote inamiminika ukraine, na majeshi ya urusi yamefurumushwa Kyiev na meli za urusi zinalipuliwa, mioto inazuka tu huku urusi.Ahadi za Uingereza hazina lolote hizo ndo zime mponza Zelensky kupuuzia peacetalks na kuingia vita na baba ake mlezi, Uingereza kasha onywa kutoendelea kutuma silaha Ukuraini akapungyza kiherehere na kuufyata, baada ya independent daily news kufanya uchambuzi kwa ndani ya dakika 30 kombora la Urusi spersonic with nuclear war likitua mji wa London nusu ya jiji inateketezwa na kuisha kabisa, kwahiyo hawezi kumchezea tena iko kimya sasa anaanza kudaganya mwezie kwamba atawasaidia wakati, huo ubavu hana, hana kifa cha ku-detect kimbora la suposornic la Urusi so she is vulnerable.
Sasa hivi Nato wamesha gundua kwamba hawamuezi Mrusi kivita wakienda full-scale war, will be the losers wameanza kufanya diversion tricks kwa kutegeneza ma andui wapya wa Urusi ili hasiwashughurikie wao kwanza wajipange kwanza, hiyo inaitwa military political strategy.
Ukweli ni kwamba Ukuraini is agona case will never be the same ila suali muhimu kwasasa ni baada ya Ukurain whose next?
The West is ni total panic, wana weza kua legitimate target wa Urusi kwasbb wame expose all their weapons kwa kumpa Ukurain the losing side, Mrusi amewapima na kuwaona kama hawana jipya ku'counter attack his Russian military supremancy, wakati yeye kasema katumia 30% ya military capability
Nacho jua Finland au Sweden sio wajinga kama Zelensky ku mchokonoa Putin wakati jeshi lake tayari liko on move, militarily ni cheap kwa Russia kuendeleza vita kuliko kurudi nyumbani tena anza upya vita baada ya miazi sita au mwaka therefore yoyote atakae onekana a threat kwa existence ya Republic of Russia anaweza akawa next target.
kwenye victory day Putin hakuongelea malengo na mwisho wa hi special oparation aliseme jambo moja kwamba the West wanataka ku-destroye au kusabaratisha Urusi, kwahiyo iko tayari kuilinda Urusi kwa gharama zote warusi wakashangilia, ilo linamanisha oparation itakua endelevu sio mwaka ila miaka paka potential Russian threats ziishe zote.
Naam ila Mzee Champagnee hii ilikuwa before Special OP haijaanza. Now wanapiga pesa sio kitoto. Na ikumbukwe hawa jamaa sio Serikali bali ni Taasisi nyuma ya Serikali.Unalizungumzia soko lipi? Unajua US soko lake limeporomoka sana na operation hii ndo ametia aibu sana hizo javellina soko lake ndo bhs, kuna zile drones zake??
Angepeleka na zile ndege zake na airdefense pale ukraine Russia aendelee kumtia aibu. View attachment 2220896
Bado hunielewi. Namaanisha kila nchi itakayovamiwa na Urusi ili isijiunge NATO ni soko jipya la USA la silaha na mikopo na kwa sababu ni jirani na Urusi hivyo Urusi atajimegea kipande cha ardhi ya hiyo nchi, to me wanachofanya ts much more of a WIN WIN situation kuliko uadui maana raia wao wapo salama. Urusi kama kweli yeye na USA ni maadui basi Urusi apambane na tatizo halisi moja kwa moja.
Kama kwakuuza silaha sawa ila kama kwa mkopo pole yakeUnadhani UK ikikaa kimya ina cha kupoteza basi? Haina sababu haipigwi mabomu, Putin akiendelea kuvamia nchi baada ya nchi USA ataendelea kupata masoko yake ya silaha na mikopo inayotokana na vita. Hakuna wrong move anayofanya Putin kama kuvamia, nyinyi msifieni ila kwa maoni yangu angeachana na kutoa utando na amtafute huyo bui bui kama kweli yeye na USA ni maadui.
Hilo swali muulize erdogan
Wewe jiulize kwa nini oparation yao on snake Island failed miserably na kupoteza ndege helicopter na meri wakati ili ongonzwa na kuratibiwa na Wingereza with 50 elite highly trained military personalmuda mwalimu mzuri wahenga walisema
Muda mwalimu mzuri sana we unasema ahadi za uingereza hazina lolote? yaani kuwa silaha anazopewa ukraine na uk na misaada mingine haina lolote kwa ukraine.? kweli una mahaba na urusi mahaba ya chongo kuita kengeza, urusi alisema atakayemsaidia ukraine yatamkuta haya mpaka sasa urusi kafanya nini? ndiyo kwanza Boris Johnson na viongozi wengine wa western wanaenda Kyiev kila uchwao, misaada kama yote inamiminika ukraine, na majeshi ya urusi yamefurumushwa Kyiev na meli za urusi zinalipuliwa, mioto inazuka tu huku urusi.
Naam ila Mzee Champagnee hii ilikuwa before Special OP haijaanza. Now wanapiga pesa sio kitoto. Na ikumbukwe hawa jamaa sio Serikali bali ni Taasisi nyuma ya Serikali.
US government inawapa tenda tu, so hizo fedha zinaliwa na kikundi cha watu wala hazina manufaa kwa Raia wa kawaida hapo US.
Na hiki kikundi ni kile tulichokua tunakisema kua kazi yao kubwa ni kutengeneza ***** ***** maeneo tofauti duniani kisha wanafanya biashara maisha yanaendelea.
Kinachofurahisha walipomoroka baada ya wao kundoka pale afghanistan mwaka jana. Now it's booming again baada ya kujiingiza Rasmi Ukraine.
Zuzu huyo achana naeDada akili yako ipo sawa kweli??