Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Meanwhile Kharkiv liberated. UKRANIANS back to the city .

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Shukran MKUU
 
Yani we ni wakumwambia Putin hajui anachopigania!!?we mjinga mmoja wa huko Mbwinde ambae hata la7 hukufika unajibabadua hapa......
Aisee kuna maajabu humu jf
 
Mrusi zaidi wewe ,ulaya wameanza kutafuta altenative. Unafikiri ulaya ni Tz .Mnasubiri akili za waziri wenu which has no long term solution. Mafuta yakipanda nao wanalialia kama mimi
Mie nlijua washapata kumbe ndio mwanzo wanatafuta
Kweli ulaya wanaakili kama mnavyowasemea
Ila kwa hiki kinachoendelea huko UKRAINE wameonesha Upumbavu wao ulipojifichia
Tena kama GER sikuwahi kudhania kama wana phd ya UPUUMBAVU
 
Russia leo kachezea kichapo heavy hana hamu,vyombo vya Kimataifa vimeripoti ushindi na ku advance kwa jeshi la Ukr leo 👇



 
Tell em hawa mashabiki wa Putin, kitu kidogo matusi Kama yote wakihisi watu watakubaliana nao kwa matusi..[emoji706]

Huwezi kuonekana smart na mwenye hoja kwa kutukana instead of kudefend kile unacho kiamini.
Sio Pro Putin pekee, but baadhi katika makundi yote mawili. Wekeni hoja tuwasikie. I can take example from 1954 and babu na mjukuu hawa wote ni Pro Russia lakini hawatukani. The same to this Guy Tsh, He don't Support Russia na hatukani.

Let's argue with fact na tukubali kushinda au kushindwa kwani asiyekubali kushindwa sio mshindani.
 
goals of the special operation will be achieved Hii kauli yakibabe sana yaani
 
Mkuu nakubaliana na ww kuwa makampuni ya silaha ya marekani yana faidika hii vita na ndio maana Marekani anafanya kila aina ya hila ili visiishe.
Uwezekano huu ni mkubwa sana mkuu
 
Asante kwa kurejea hii info kutoka maktaba.😃
 
Naunga mkono hoja.
 
Huh ila kutukanana huku JF ishakuwa kama sehem ya tamaduni tu. Kama una roho ndogo kutukanwa basi hapa ni Pagum tena pagum haswa.
 
Tayari bomba la mrusi kupitia baharini kwenda ujerumani lilishakamilika, hapo wanaokomolewa ni ulaya sio mrusi
Na Mrusi ameshawaambia Germany hana Muda wa kuwasubiri,Hilo bomba amelisha-divert linaenda kusambaza gas humo humo nchini kwake(Russia),wakitaka gas watapata Ila sio at full capacity,kwa full capacity wameambiwa wasubiri mpk 2028(Germany wananyooshwa hapa, maana kabla ya OP ya Ukraine bomba lilikua tayari ku-supply at full capacity).
 
Angalia data , fanya comparison nani yuko hoi alafu endelea kusherehekea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…