Hivi unaweza ukaidadavua pointi moja baada ya nyingine. Yaani ipige nyundo kuwa sio sahihi na kwanini?.🤣🤣🤣
Ila Pro Russia mnachekeshaga sana kwenye reasoning zenu...
Sasa kama vita sio unjustifiable unaitetea ya nini?
Guys kuwe mna argue kama bindamu wenye ubongo
Asipokuelewa tena, ni wakumuacha kwani atakua anafanya makusudiKufananisha US invasion in Afghanistan vs Russian operation in Ukraine kunaonesha jinsi gani ujuzi wako kwenye haya mambo ulivyo, no offense!
1. Us invasion of Afghanistan ilifanywa baada ya Afghanistan kudhaifishwa na vikwazo. 1999 UNSC walipitisha resolution no 1267 lililoitambua Alqaeda na Taliban kama makundi ya kigaidi na kuwawekea vikwazo kwenye funding, travel na silaha. Kitendo hiki kiliidhohofusha sana Afghanistan iliyokuwa chini ya taliban. Ukraine [emoji1255] kabla ya kuvamiwa haikuwekewa vikwazo kwanza walikuwa na ushirikiano mzuri na west na tangu 2014 Us/Nato wamekuwa wakiifadhili jeshi la ukr kwa hali na mali.
2. Us hakuivamia Afghanistan peke yake bali alikuwa na Uk ambaye baadaye alisaidiwa na Canada France Germany Australia wakati Urusi kaingia Ukraine mwenyewe. Kumbuka US walitangaza vita kbs dhidi ya /TalibanAlqaedaAfghanistan wakati urusi anafanya special operation tu. Learn the difference
3. Afghanistan baada ya kuvamiwa walikuwa isolated kbs na dunia nzima hakuna hata aliyewaonea huruma achilia mbali kuwasaidia kwa silaha na military infos wakati Ukraine anasaidiwa na majority ya dunia kuanzia silaha taarifa za kiitelijensia na hata solidarity kila mahali ss hv utaona #IstandwithUkraine
4. Us hakuwekewa vikwazo kufuatia uvamizi wake Afghanistan wakati urusi amewekewa vikwazo visivyoidadi mpk sasa
5. US hawakuwa na utaratibu wowote wa kuzingatia maisha na usalama wa raia wasio na hatia. Wengi waliuliwa wakati wa uvamizi huo hasa wanawake na watoto na hakukua na nafasi ya diplomasia. Urusi anachukua tahadhari kuruhusu raia waondoke maeneo hatarishi (humanitarian corridors) wakati huo mazungumzo yanaendelea na yanapopiga hatua mapigano anayapunguza ref. Kuretreat kiev baada ya kupiga hatua kidogo kwenye diplomasia, anatoa misaada ya kibinaadamu kwa raia wa ukr na wanajeshi waliojisalimisha na waliotekwa.
Ukiachilia hayo yote bado haikuwa rahisi kudefeat taliban wakati huo. Iliwachukua miezi miwili takriban mpaka kuwadefeat taliban na kuweka serikali ya muda (uvamizi ulianza oct 7 mpaka Taliban kukolapse dec 9). Mataifa makubwa kuungana na kuidefeat taliban dhaifu (vile) kwa muda wa miezi miwili sio jambo la kujifaharisha kwalo. They should have done better. Miaka 20 baadae mambo yamerudi kama zamani na hakuna kilichokuwa tofauti, what a waste!
Unaposema lengo lilikuwa kuhakikisha US soil haishambuliwi tena na magaidi unakosea kwa sababu huwezi kujua what the future holds. Tunaombea yasitokee lkn magaidi hawatabiriki miaka michache kuanzia ss hv huwezi kujua yepi yatatokea ndio kwanza muda mchache ss hv tangu us atoke afghan. Ugaidi ni swala la kukemewa duniani kote
Urusi amefanya operation yake hali ya kuwa ana vikwazo kwa maelfu. Anazingatia raia waso na hatia na kutoa nafasi kwa diplomasia, misaada ya kiutu, hajatumia silaha nzito sana (sio vita kamili), hajasaidiwa na taifa lolote lile, ukraine wanapata misaada kila uchwao, propaganda dhidi yake kila mahali duniani, mamluki kwa maelfu kuisaidia ukr, nk. Nk. Lkn bado anafanya progress kuelekea kukamilisha malengo yake.
1. Demilitarization
2. Denazification
3. Russian speaking UKRnians
4. Ukr not to join Nato*
Kuna Channel ya Ukraine wanadai Azov Plant is being shelling every minute [emoji23]...Jamani naomba updates za Azov kwenye bunkers kule Mariupol kwenye kiwanda Cha chuma...vyanzo vyangu naona havijazungumzia Hilo...
[emoji1][emoji1]View attachment 2221780
Inahuzunisha sanaHawa ndio wale wanaokesha Twitter wakiimba Slava Ukraine huku nyuma maajabu wanayoyafanya ni ya Sayari ya Jupiter. Kila Crisis huwa ni Manufaa kwa baadhi ya walio in power.
View attachment 2221871
During the 2 months of the war, the Kyiv elites took out of the country jewelry and currency in the amount of 2.6 billion euros.
The main backbone of those who save assets are members of the government and Ze-administration, as well as people's deputies.
Such data are contained in a classified report of the State Bureau of Investigation. According to the Bureau, the "servants of the people" carry mostly gold, diamonds and currency (dollars, pounds sterling and euros). In rare cases - works of art and antiques.
And these are official (that is, included in the declarations) data, and there are also “gray schemes” that are not included in the statistics.
In addition, over the past month and a half, Ukrainian elites have withdrawn 2.6 billion euros from banks. The National Bank of Ukraine was even forced to impose restrictions on cross-border transactions of citizens in order to prevent the outflow of capital from the country under martial law.
At the same time, SBI analysts note that huge funds are withdrawn through bitcoins, and the movement of this money cannot be tracked.
Mliipoona malengo yenu yamefeli mnaanza kusema mipango ya urussi hamyajui. Labda niwakumbushe si ni juzi tu hapa mlikua mnaimba kuhusu denazification na demilitarization nini kimetokea.
Kilichotokea ni kwamba malengo yenu yameshindikana na hayatekelezeki pale Ukraine. Dollar itabakia kua de facto world currency. Amerika itabakia the only super power. Zama za rasilimali kama mafuta ziko mwisho wake. Ushoga utaendelea kukua Russia.
Shooting yourself on the foot and reinstating my claim. Kutoka kwa screen shot yako the main opposing sides ni Anti Gaddafi forces na Libya armed forces.Again, maelezo mengi full of balderdash. So that's how you wish ingekuwa right [emoji848]?...
1. Invalid question, NATO wasn't the main belligerent, otherwise Russia inge veto hiyo UN resolution. Instead rephrase swali lako liwe 'How long did Libyan Rebels took to overthrow Gaddafi'
View attachment 2221890
Coco like Coco, enough is enough.
Good luck... [emoji119]
DahWakongwe tumetukiaaa.
Ila watu kama kina Mshahara Sky Eclat Mzigua90 Shunie Liverpool VPN Bujibuji Simba Nyamaume Zee Korofi mama D Ushimen ni vibabu na vibibi vya jf maana kitambo sana na si ajabu hiz ndo id zao mpya😂😂
Mashoga wengi Russia kuliko kenyaWe endeleza ushoga wako Kenya huko
Ndugu, kwenye swali lako la 2,
Kuna sehemu nimeonesha hadi no of troops zilizotolewa na nchi nyingine mbali na US, najua hakuwa US pekee.
Na najua Russia anapitia vikwazo vingi sn tofauti na US kwa Afghanistan ndio maana inaniwia vigumu kusema Russia atashinda hii Vita.
Nchi nyingi ziko nyuma ya Ukraine hata wale marafik wa Russia hawako pamoja na Russia, Kama ulivyokuwa kwa US na washirika wake...
Na kuna watu wanapata kabisa nguvu ya kusema Russia anaweza ku fight na NATO kwa ujumla, seriously! Ni ngumu sana
Mashoga wengi Russia kuliko kenya
Hebu kawashauri we mgambo wa NamtumboHawa Warusi wanakuwa wajinga, wanavukaje bila air cover hata ya recon drone?
🤣🤣🤣Kaka unateseka Bure ...... Huyo jamaaaa ni mgumu Kuelewa na akielewa tu mwepesi kusahau unaanza tena kuelimisha kilekile.
Na Mimi naongeza wamekaa Afghanistan miaka 20 na walipoondoka TU ,Taliban wakarudi madarakani.
[/QUOTE mkuu waliondolewa ndo wakalazimika kuondoka
Da aisee,ila nimekubali Pro NATO wengi ni vichwa vigumu sana.[emoji1][emoji1]View attachment 2221780
Aisee!!Mimi ni demu wa mtuu,, nina bwana kutoka Kenya