Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

  1. Russian battalion lost almost all of its armoured vehicles in a failed attempt to cross a river near Severodonetsk in eastern Ukraine, the UK says
  2. Images from the scene show dozens of burnt-out tanks after Ukrainian forces shelled pontoon bridges across the Siversky Donets in Luhansk region
  3. The UK's Ministry of Defence says the incident reveals the pressure Russian commanders are under to make progress
  4. It isn't clear how many soldiers were killed in the battle, but Moscow's forces appear to be making gains elsewhere in the area
Urusi imepoteza magar na vifaru vyote vilivyokua vikiingia Donetsk, hali ni mbaya haijabainika ni wanajeshi wangap wa Russia wamepoteza maisha ,ila lilikua shabulio baya
Inakadiriwa Zaid ya wanajeshi 1000 wa Russia wameuwawa kwenye shabulio hilo

Source BBC,aljezer
 

 
Mnapata muda wapi wakuzitafuta hizo. Mwanakijiji yaani hata weweee kweli unashabikia haya mambo
sasa mkidanganya hamtaki kueleweshwa kuwa unajidanya namna unavyoichukulia Urusi ni tofauti
 
... Mkuu figganigga kwenye ule uzi wake wa hii vita anaweka regular updates na tukio hili picha zake zipo - mnato na video.

Russia wamepigwa ambush isiyo na mfano! Wamepoteza vifaa na askari wengi sana kwa mpigo! Show moja matata sana ya kijeshi!
 
Bila Shaka mambo yanayoendelea ukraine ni proxy war since the westerners have been arming ukraine. Under this situation am curious with Russia's military superiority on her complain over western aggression. Does the victor complain?


tunakupuuza tu
 
Mtazamo wangu kuhusu Finland na Sweden kujiunga NATO

Nina Imani kabisa urusi hataingiza majeshi au kuipiga kijeshi Finland, maana lengo la marekani na nato ni kutaka kuifanya urusi ionekane ni nchi korofi wakati Siyo kweli bali wanamchokoza

Kwa hiyo kikubwa atakachofanya ni kufunga gas na Oil, huku akiacha muda uwe mwamuzi, unajua Kwa nini nasema muda uwe mwamuzi??, Ni Kwa sababu

Mpaka sasa urusi kawakamata sehemu nyeti NATO na USA, Kwa sababu ya oil, gas, chakula na vikwazo walivyoweka EU
Juzi Kati Joe Biden alisema kuwa wanafanya juu chini kutoa nafaka Tani 20milioni kutoka Ukraine ili isambazwe ulimwenguni kupunguza baa la njaa, Kwa maneno mangine ni kuwa janga la njaa ni real ipo njiani inakuja, ndiyo sababu ya lile tukio la kuteka kisiwa ambapo Ukraine imeangukia pua Kwa kupigwa vibaya Sana, lengo la operation hiyo ni kutaka kufungua bandari ili kumsafirisha nafaka

Kwa hiyo kipindi cha baridi ulaya watahitaji gas Sana, viwanda vingi kufungwa Kwa kukosa malighafi hii itasababisha raia ambao hawana kazi inaongezeka, hapo hapo njaa itapiga na chakula bei kupanda Sana kufikia raia kushindwa kumudu, hapa ndipo chanzo cha machafuko utakapoanza, hakuna jeshi litakalozuia raia mwenye njaa, Kwa hiyo ndiyo sababu ya ulaya na marekani kuangaika kila Leo ili kufikia kipindi hicho wawe wamepata suluhisho au nchi hizo ziwe vitani wapate sababu ya kukosekana chakula, nataka niione Finland kipindi cha baridi kama raia hayo mateso

Hapa ndipo mrusi atatumia chakula na gas kama bargain chip, kwamba ili mpate chakula,gas na oil basi ondoeni vikwazo na zile nchi zote zilizokuwa Balkan zijiondoe au ziondolewe NATO, Kwa hiyo hizi nchi zitaondolewa au kujiondoa zenyewe

Hapa ndipo ninapohisi sababu ya kufanya operation hii kuchukua muda mrefu ili ukifika muda sahihi EU na NATO watalazimika waje mezani kupata suluhisho
 
Ni kweli kabisa.
Hata mwanangu wa kuzaa akileta majambazi nyumbani kwangu ambao wanaweza kunidhuru aisee ntampiga kishenzi.
mwanao kapeleka dem ghetto kwake (kodi humlipii wala humlishi ) unatoka race unaenda kumuandamana kwann analala na demu wkt hujawai jishugulisha kumtafutia mke , ndicho anachofanya Putin
 
Mkuu Kuna watu humu unaweza kuchemka kichwa kwa sbabu ya kuwajibu au kuwaelimisha,hawajui vitu lakini wanajifanya wanajua.
Kwa hiyo unaanza kuwapa historia ndipo unawapa majibu.
all in all , Urusi kakosea kuvamia Ukraine kuanzia kisheria hadi kimipango yake , mnaoshabikia huo uvamiz mna stress za maisha
 
NATO huwa inamfata US akionesha njia wanafata, maana US ana uwezo hata wa kutoa ndege zake 100 kuwasaidia.

EU ndo kikwazo cha US, siku akifanikiwa ivunjilia mbali atafurahi sana
Urusi ilivyo Kwa sasa haihitaji nchi za NATO zote kuishambulia.Uingereza yenyewe ikitia timu kuisaidia UKRAINE, Urusi bila nukes itaomba poo🤔
 
Haya yako ya kumpinga Putin ndio yenye msingi?
Yaani aseme Putin. Waliotuhumiwa hawajakanusha. Halafu mtu mmoja toka Buza kashiba chapati maharage aje yeye kupinga!!!!

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Putin huyo huyo aliwai kukataa kuwa hana malengo ya kuvamia Ukraine , eti ni mazoezi tu ya kijeshi then atawarudisha wanajeshi makambini mwao , leo hii mnamwamini anaposema NATO wanataka kumvamia
 
Urusi ilivyo Kwa sasa haihitaji nchi za NATO zote kuishambulia.Uingereza yenyewe ikitia timu kuisaidia UKRAINE, Urusi bila nukes itaomba poo[emoji848]
US bila nuke ilifanywa nn kule VIETNAM[emoji23][emoji23][emoji23]
Hayo majeshi yote hayo ma nyuk ndio yanawapa upekee no more.

JAPAN mpaka leo ingekua mwanaume kwel kama sio COWARD US kutumia NYUKLIA
 
umesoma jibu la jamaa kwanz , mkiitwa mazombie mnalaumu , Waliongeza privacy tu ya hivyo vitu ila bado wanaruhusiwa .
 
mratibu alikuwa Urusi akiwameza wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…