Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Yaani wewe Ndugu yangu umeaminishwa na west kuwa Putin ni kila kitu huko Russia..duh..
Wewe umeaminishwa nini!? Hivi Kim Jong Un sio kila kitu Korea!? Russia haina tofauti na Tanzania.

Mwendawazimu mmoja akishakuwa Rais anaweza kufanya chochote na wote wakafyata mikia.
 
Hayo watajijua wenyewe watanzania MKUU
Sisi AFRIKA maskini tutasema nini!!?
US popote walipo walaaniwe wauaji
 
Wewe umeaminishwa nini!? Hivi Kim Jong Un sio kila kitu Korea!? Russia haina tofauti na Tanzania. Mwendawazimu mmoja akishakuwa Rais anaweza kufanya chochote na wote wakafyata mikia.
Wapo tu kama ukoo wa Chief wa kabila moja hivi uchagani huko... Hawana tofauti kabisa na Misukule, tulia mzee Biden aje awatembezee kichapo waache kula unga.

Zile silaha zipo zipo tu hata rungu lina nafuu ase. [emoji25]
 
Uzuri wa Ukraine akikupiga analeta na picha. Lakini hawa wengine wanasema wamelipua meli 3, ndege 4, helicopter 3, drones 30 za Ukraine pale snake island lakini hakuna picha hata moja.
Hahaha hivi Kuna watu wanajiaminisha kuwa Ukraine is winning?! If so labda mitandaoni lakini siyo kwenye battlefield...
 
Wewe umeaminishwa nini!? Hivi Kim Jong Un sio kila kitu Korea!? Russia haina tofauti na Tanzania. Mwendawazimu mmoja akishakuwa Rais anaweza kufanya chochote na wote wakafyata mikia.
😂 😂 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…