Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

⚡️Russia will be forced to take retaliatory steps - including military-technical - to eliminate any threats posed by the entry of Finland and Sweden to NATO (Russian Foreign Ministry)
Mikwara mbuzi tu hii. Watawauwa njaa wananchi wao.
 
Manazi wa RUSSIA wanamisimamo ya wastani
Manazi wa UKRAINE wanamisimamo mikali kifo pekee ndio kinawastahili waache waendelee kufa
 
Mikwara mbuzi tu hii. Watawauwa njaa wananchi wao.
kweli kabisa mkuu, wanajeshi wa Russia njaa sana wanashinda mno.Ukraine inapiga ndani ya Maeneo ya Urussi na wanakaribia kuteka eneo la Kremlin, Putin tangu juzi anamuomba Erdogan amuunganishe na Zelensky amuombe wayamalize.

Slava ukraine Slava ukraine Slava ukraine Slava ukraine
 
Wakati Putin anaachana na Kiev na kwenda kusini mashariki,kuna watu walisema hajui anachotaka,hii ni kutoka Kiev penyewe,ndio maana Zelensky anapambana kufa kopna kuirudisha bandari, yaani Puti kawashika pabaya.
Ngoja tutume wana Mgambo wa JKT, naona Ukraine wameshindwa kumfurusha Mrusi kuichukua hiyo Bandari [emoji848]

Ila issue zingine zinahitaji kuzimua kwanza uzielewe. Ukraine is winning, Russia is loosing. Bandari imeenda badala ya kuikomboa kama kweli wanaweza, UN nao wanakaza msuli wa makalio wanamuonya Putin...

Kwani Putin yuko hapo bandarini [emoji23]...

Wapeleke jeshi tu wakaikomboe bandari yao, kama silaha zimeisha tuna mishale na mikuki huku umasaini kama wakihitaji tutawapa shenzi kbs.

Propaganda haziko organized kbs ziko so open ku-spot urongo...
 
Mwambieni atumie nuclear anazo tishia nazo watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…