Kwaiyo anaandikiwa chakuongea?.Akili wapi kwani waandshi wa habari wamekariri taarifa yote nzima [emoji23]... Unaniangusha jomba.
Anasoma kwenye teleprompter yule akiwa ana shoot video zake za masikitiko.
Kwa hiyo alitaka Nato waangalie tu ili avuruge nchi ya watu apendavyo? Halafu mwisho wa siku ajisifie ubabe? Huwa simwelewi huyu mwehu.Atashinda vipi ikiwa bado hapati mafanikio mara anaridishwa nyuma nk..
Saizi analaumu NATO kwa kutoa mafunzo na silaha kwa Ukraine
Naona propaganda zenu na BBC hamjaacha mpaka wayukraini waisheView attachment 2223133
Duh so wahisi is acting on his own? Kwamba kila analoongea na kufanya ni yeye [emoji23]...?Kwaiyo anaandikiwa chakuongea?.
Kamanihivyo basi vitaitachukua mudamrefu sana.
Bora umeongeza ushaid mkuu maana Ku amijitu ushabik tuu umewajaaIla hii ambush waliyofanya Ukraine ni hatari,siku mbili zilizopita drone za Ukraine ziligundua uwepo wa hilo pantoon bridge la Urusi wakijiandaa kupitisha vifaa vya kivita Kama vifaru,magari ya mizinga,na vifaa vingine vya kijeshi jamaa wakaacha warusi wajae waanze kuvuka wakashambulia Kwa artillery karibu vifaa vyote vimeharibiwa
Baada ya mashambulizi
Magari takribani 73 pamoja na vifaru vimeharibiwa vibaya na artillery za Ukraine.
Kweli Marekani hakukosea alovyosema sasa NI mwendo wa kupigana mizinga tu,hizi Howitzer alizotuma US kule Ukraine zitawatesa Sana warusi
Wakati Putin anaachana na Kiev na kwenda kusini mashariki,kuna watu walisema hajui anachotaka,hii ni kutoka Kiev penyewe,ndio maana Zelensky anapambana kufa kopna kuirudisha bandari, yaani Puti kawashika pabaya.
View attachment 2222507View attachment 2222508View attachment 2222509
Brimstone or not...[emoji471]NATO TROPHIES[emoji471]
THIS IS HOW WEST PEOPLE TAX MONEY ENDS[emoji116][emoji116][emoji116]
DPR AND LPR ARE THANKFUL TO NATO AND THE WEST[emoji120][emoji120][emoji120]
More than 1,000 Russian troops may have died
Hawezi kufanya hilo, maana itakuwa mwisho wake rasmi.Mwambieni atumie nuclear anazo tishia nazo watu.
Usimkasirishe Britannica ataacha kuleta habari za ukraine war. Sisi tukae kimya yetu masikio.Mwenye akili kashajua tayar hali halisi. Niliwaambia vijana wa US humu ndani kama mmempiga Russia snake island mbona hamtangazi kama mmekomboa snake island??
Kwa wanaofatilia habari vzr ukraine akikomboa mji au hata kijiji lazma atupashe fasta. Mara ya mwisho mmeskia lini??
Leo tena wanasema Putin asipoifungua blck sea kuna global hunger yaani wanajitekenya afu wanacheka wao[emoji28][emoji28][emoji28]
Kweli West mwaka huu wamekamatika Putin akili mingi sana huyu jamaa sio wa kitoto[emoji119][emoji119]
hi chai na tangawizi kwa mbaliKushinda anaweza kushinda ila kutamgharimu. Wanajeshi 8000 kama mercenaries wanaingia Ukraine na vifaa. From 19 may kutakuwa na hatari .
Shida iliyopo hii ni vita endelevu na mzee mzima USA ndani ya nyumba. Russia asipomal8zana nawale jamaa ndani ya handaki within this three days anaweza akapapoteza pale. Ana front zaidi ya tano anybody akave.
Kibaya toktok nyingi sana ambazo anaonyesha location aliyepo at any time t.
Wakati Putin anaachana na Kiev na kwenda kusini mashariki,kuna watu walisema hajui anachotaka,hii ni kutoka Kiev penyewe,ndio maana Zelensky anapambana kufa kopna kuirudisha bandari, yaani Puti kawashika pabaya.
Hivi battalion moja ni kubwa kiasi gani?
Sio 1,000 tena?Taarifa Zinasema Inakadiliwa Askari 500 Wamelala Usingizi Wa Milele
na Magari Muhimu Yameteketea