Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

... kwa kichapo alichokula leo lazima fashisti aweweseke vibaya.
Kichapo kipi Tena?! Maana naona Kuna watu wakubwa wanataka kuwe na ceasefire...au una maana ya kichapo Cha mitandaoni
 
Emerging kutoka wapi?wakati ilsha fall.
 
Ufafanuzi mzuri.
 
Ukraine Bado ana mafuta Ya kuwasogeza kwa siku 205 Mbeleni yaan mpaka Mwakani Mwezi wa january .

Wamesema hawataingiza mafuta yeyote Kutoka Urusi maana asilimia 30 Ya mafuta yake yalikuwa yakitoka Urusi.

Kwa sasa wameingia makubaliano na Hungary na Poland ku cover hiyo deficity husika itakayojitokeza,

Watapata takriban mafuta Ya kuwapeleka miaka miwili bila ku import tena !

Bei imesisitizwa na imeendelea kuwa 6€ kwa gallon .

Nchi zetu za Afrika ambako hakuna Vita nashangaa wanazidiwa na nchi ambazo zina Vita kwa mipango

Maelezo kwa kiingereza

With a normal business model of our operators, these stocks should be at least 205 days, "she said.
To solve this problem, the Ministry of Economy plans to significantly increase imports of petroleum products.

To this end, negotiations have been held with EU countries to receive oil tankers for Ukraine, it is also planned to increase river traffic on the Danube and there is an agreement with Hungary to increase the reverse by pipeline - up to 50 thousand tons per month. It is also planned to launch a separate green lane for oil carriers from Poland.

It is planned that in May the import of oil products by rail will increase to 180 thousand tons (in March - 35 thousand tons), by road - to at least 85 thousand tons (in March - 5 thousand tons).

“Thanks to the measures I have listed, by the end of the month we will receive 350-360 thousand tons of fuel from completely new logistics routes. That is, in May we increased the daily volume of imports from 4 thousand tons to 11-12 thousand tons. We look at the data of daily consumption, which today is 13 thousand tons, that we can almost completely direct the volume of imports to domestic consumption .

According to the updated forecast, in May is expected to consume 300 thousand tons of diesel and 120 thousand tons of gasoline. The same volume of imports is contracted by Ukrainian networks. Now the main issue is to logistically bring the entire volume to Ukraine, "Svyridenko said.

Britanicca
 
Sorry kama habari hii imeishafika humu. Uturuki hataki Finland na mwenzake wajiunge NATO.
====
Turkish President Recep Tayyip Erdoğan declared on Friday that Ankara opposes the possibility of Sweden and Finland’s accession to NATO because he believes the two Scandinavian nations harbor ‘terrorists’.

By ‘terrorists’, the Turkish leader meant militants of the Kurdistan Workers’ Party (PKK), a separatist movement operating in southeastern Turkey, and members of the Revolutionary People’s Liberation Front (DHKP/C), an outlawed Turkish communist party.

The statement came after Helsinki and Stockholm demonstrated their intention to join the US-led military alliance.

“We are currently following the developments regarding Sweden and Finland [joining NATO], but we are not favorable towards it. At this point, it is not possible for us to have a positive approach,” the Turkish president told journalists.

“Scandinavian countries are unfortunately almost like guesthouses for terrorist organizations. PKK and DHKP/C are nested in Sweden and the Netherlands. And I'm going even further, in their parliaments,” he added.
 

Anti-Government Protesters Block Armenian Streets Amid Two-Week Disobedience Campaign​


Thousands of protesters have blocked government buildings in the Armenian capital as nearly two weeks of opposition-led demonstrations continued in an effort to force Prime Minister Nikol Pashinian from office.

The protests and an ongoing disobedience campaign began after Pashinian suggested the international community wanted Armenia to "lower the bar" on its claims in the breakaway Azerbaijani territory of Nagorno-Karabakh.

They have also been fueled by public outrage over the death of a pregnant woman struck by Pashinian's motorcade as it traveled through Yerevan.

"With this we are showing that Nikol [Pashinian] has no power in the country," Ishkhan Saghatelian, deputy speaker of the National Assembly, was quoted as saying among flag-waving protesters.

Some of the protesters briefly blocked access to a medical university on May 13.

Armenians have been forced to recalibrate some of their security priorities since six weeks of intense fighting with Azerbaijan ended in defeat in 2020.

Pashinian has survived multiple opposition efforts to unseat him since then.

The region has also been rattled by the proximity and potential implications of Russia's recent invasion of another post-Soviet state, Ukraine.

Yerevan's battle against Azerbaijani forces over Nagorno-Karabakh and surrounding districts more than a year ago ended in a humbling cease-fire that acknowledged Azerbaijani control of swaths of territory held for decades by ethnic Armenians and left Russian troops there to monitor the peace.

Azerbaijani President Ilham Aliyev recently signaled a desire for peace talks but said Yerevan must renounce some territorial claims.

The Armenian Foreign Ministry said on May 3 that Yerevan and longtime foe and Azerbaijani ally Turkey had agreed to move forward with efforts to normalize relations "without conditions," a move that could lead to the reopening of their shared border.

With reporting by Reuters
 
Hahaha huyu Jamaa yeye shida yake hua Ni wakurdi tu.
 
😂 😂 basi anaakili nyingi, kwakipigo anachopata lakini bado anakariri maneno anayo andikiwa kamanikweli siamini.

Namuonea huruma sana.
Woiii anasoma kama Salimu Kikeke wa BeiBeiCiii 🤣🤣🤣🤣🤣yaaan jot wa Ukraine atoe nondo kichwani nafikiria hapa naishiwa nguvu NATO wenyewe wangeomba substitute 🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌
Urraaaaaa
 
Mbona husemi kuwa Urussi ndo nchi iliyo vuluga amani ya Afghanistan.
Kuinazification. Ukrain hao wanazi aliwelata Nan Wakati nch ilikuwa chini yake.
Kuzuia Ukrain isijiunge NATO. Kwa hoja hii Finland Jana amesha tuma maombi so aivamie.
Swali ni je Hao wanao ongea kirussi waanza kuteswa punde mafuta na Gesi yanapo gundulika au nchi inayopo shift polic zake?
 
 
Which democracy are yapping about? Those bitches who slaughtered Vietnamese,Syrians, Iraqis,Libyans and plundered their wealth? Or those stupid bloodmongers who support reckless killings of Palestinians on their own Soil? Huna akili ww.

Acha wongo Syria alipo aliye haribu mji si ni Mrusi anaye tumia kemikali si mrusi.kwenye swala Syrian Marekan anahusikaje?

Vietnam zilokuwa nchi mbili zilizo gawanyika kiitikad .lakin Usisahau Historia inaandikwa na mshindi.Wew pia bugira tu
 
Rais wa Ukraine anasema anaweza kuzungumzana Putin- ila sharti pasiwe na waamuzi,

Ameeleza Kwa kina kwamba

Rais wa Urusi Volodymyr Zelensky yuko tayari kuzungumza moja kwa moja na Rais wa Urusi Vradmir Putin, ila "pasiwepo na mtu mwingine yeyote wa kuwapatanisha", rai swa Ukraine ameiambia televisheni ya Italia , channel Rai 1.

Zelensky amesema anaweza kuzungumza tu na Putin, "kwa masharti ya mazungumzo, sio kwa kulazimishwa ".

Amesema "hatua ya kwanza ya wazi " ya kufanya mazungumzo inaweza kuwa wakati Urusi itakapoondoa vikosi vyake kutoka Ukraine.

Aliongeza kuwa ana kesi zaidi za '' ukatili wa wazi '' uliofanywa na warusi ambao ulionekana. kama ule uliofanyika katika Bucha , Borodyanka au Mariupol, jambo ambalo haliwezi kuvumiliwa katika mazungumzo yoyote na Warusi.

Ukraine na Urusi bado hazijafanya mazungumzo ya ana kwa ana tangu tarehe 29 machi na mpatanishi mkuu wa Moscow, Vladimir Medinsky, amekuwa akisema kuwa mazungumzo yalifanyika kwa njia isiyo ya ana kwa ana.

bbc chanzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…