Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji3544][emoji3518][emoji2407][emoji635]The Russian mission to the United Nations: We have nuclear weapons, and in the event of a danger to Russia, we will use them.[emoji3518][emoji3544]
Sasa nani ambaye Hana izo nyuklia?
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Katika hii vita hasara aliyo ipata Urusi kwa asilia 80 imesababishwa na jeshi la anga kutotimiza majukumu yake ipasavyo.

Sijui ndani ya jeshi la Urusi kuna mamruki
Wanafanya makusudi ili kuwakomoa wana siasa ?

Maana haiwezekani nchi yenye jeshi la anga lenye ndege zaidi 4000 na herkopita zaidi ya 1000 na ambayo ni muuzaji mkubwa wa mifumo ya ulinzi wa anga duniani eti ishindwe kulinda misafara yake.

Hata wanajeshi wa ardhini wa Urusi wamekuwa hawapati msaada wa kutosha angani hasa ndege za kudondosha mabomu ili kuyadidimiza mahandaki ambayo wanajeshi wa Ukraine wana kuwa wanajificha kitu kinacho wapa faida ya kufanya Ambush za kudhutukiza na kuyarudisha nyuma majeshi ya Urusi kirahisi.
Mm ningekuwa Putin mkuu wa jeshi la anga asingekuwa na kazi.
 
Putin anaumwa cancer na watu wanaotegemewa Kumrithi endapo lolote litatokea ama Kupinduliwa Au kujiuzuru atakuwa huyu chini



Putin is seriously ill with cancer, Russia is already preparing a coup - Budanov pravda.com.ua/news/2022/05/1
 
Sasa watateka vipi wakati hata boti ya patrol awana.kiujumla ukraine navy imebaki story
 
Vifaru 14 plus wanajeshi 1000 darajani.

An avarage of 72 personnel per Tank,

Duniani Nchi pekee yenye kifaru chenye uwezo wa kubeba wanajeshi 72 kinapatikana Russia according to Western media.

Wow! We are astonished with such an advancement. Ukraine is winning, hail to "Azov", Russia is loosing so much.

Ukiwa na mtindio wa Ubongo hizi taarifa zinafurahisha sana na Ni za kuaminika mno sio Propaganda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…