Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huyo jamaa anataka kumrithi putin au
 
Hicho kifaru au basi [emoji23]
 
Aliekwambia vifaru ni 14 ni nani?
Vifaru ni zaidi ya 70-100. Uzuri wa Ukraine wakipiga wanatoa picha kibao mpaka mwenyewe unaridhika.


 
Wenyewe kwenye habari yenu mnawalakiniana
Mkajipange muje na PROPAGANDA zenye kueleweka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu saidia iwe hivyo.
 
Inashangaza sana. Kikosi cha askari 1000 wote walikuwa darajani na vifaru 14.
Yaani batallian moja ilikuwepo darajani. Ujinga
 
Taarifa inasema darajani mnaleta picha za msituni [emoji23], Ok so kwa taarifa yako unadai BBC ni waongo waliosema ni 1000, media kubwa kama hiyo inashindwa kuchuja taarifa sahihi na fake ni ipi [emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…