Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
@TshDunia ipo kimya as if hilo tukio limetokea mbinguni. Kuna watu wanadai hawana upande humu wanakemea uonevu haijalishi nani kafanya. Lakini hadi sasa sijamskia hata mmoja wao kukemea. Huo tunaita ni unafiki mkubwa.
So they want us to stand with Ukraine, je Palestine and other Victim duniani kote sio watu? Don't they need our attention? Ukiwa mbaguzi ukubali kubaguliwa.
For those who weren't aware why Middle east wote are standing with Russia hivi sasa we bet majibu mnayo.
Ukiona hizi picha zote na bado ukabisha basi utakuwa na matatizo[emoji16]Jamaa mi mtupu kabisa, Yani hapo ndio nimejionea[emoji16]
Chini ya haya maelezo kutakuwa na picha ahesabu vifaru, magari na temp base zilivyoharibiwa plus kila kitu kimewekwa number ahesabu vizuri.
Yani Hawa warusi wa bongo hawaamini kama zaidi ya wanajeshi 1000 wamekufa[emoji3]
Watu wanamipango,
Comment moja ya mdau inayo muelezea kijana alie wazidi akili warusi[emoji16]
[emoji116]
Hes the EOD (explosive ordnance disposal) Tech who surveyed the area and figured out where russian forces would set up the bridge, he then relayed that to the artillery which used the data to accurately target the area for a saturation of heavy fire.
Mtu alienda ku survey eneo before warusi na alijua lazima wajae na wamejaa..
Tunajua mna mapenzi na Russia but ukweli ni wamekutana na kichapo heavyweight kwa wakati mmoja.
Link ya video, kuona tukio[emoji116]
Picha kwa wale vichwa ngumu, [emoji116]View attachment 2223516View attachment 2223518View attachment 2223517View attachment 2223519View attachment 2223520View attachment 2223522View attachment 2223521View attachment 2223523
Unaangalia TBC. Inakutosha.Hakuna ubishi leta picha tuone
Nakila kifafu kilikua kinabeba wanajeshi kumiAliekwambia vifaru ni 14 ni nani?
Vifaru ni zaidi ya 70-100. Uzuri wa Ukraine wakipiga wanatoa picha kibao mpaka mwenyewe unaridhika.
View attachment 2223437View attachment 2223439View attachment 2223444View attachment 2223440View attachment 2223445
View attachment 2223442
Hio 1000 inaweza kua more or less juu ni estimates
Askari elf moja RUSSIA angetumia hata chemical weaponHakuna kinachoua askari wengi top down decision making. Kuna mokosa huwa ni common yanatokea kwenye utawala wa vikosi. Kamanda anaweza kujenga daraja bila kufanya reconnaissance ya kutosha mwisho wa siku mnapigwa counter attack.
Falkland IslandsTetesi za chini chini Argentina atakua member wa brics ngoja tusubiri muda ni mwalim mzuriView attachment 2222365
Hawajui HATA idadi Hawa PRONATOAMERICA .... Kuna mwehu Mmoja alikuja na habari eti Ili Urusi kushinda Kamanda kaomba jeshi la watu kati ya 600,000 mpaka 800,000 ., Na Hawa nao wanashupalia shambulio hilo kuua watu zaidi ya 1000 hivi wanafahami watu 1000?? Tena wanajeshi wajilunde sehemu Moja ....Hawa ni wajinga sana yaaani.....
SasaHio 1000 inaweza kua more or less juu ni estimates
Akili yako fupi.Zikaanza kuhesabu maiti mpaka za kwenye tanks....bolara wazazi wako wangetumia tu kondom kuliko kuleta hasara kama hiii duniani.
Umekosa cha kujitetea... Tulia mnyolewe wanadai akili nywele kila mtu anazake ila nyie mmejaza ukoka kichwani unafanana kasoro urefu.Utaelewa tu..
[emoji23][emoji23][emoji23] mjukuu kama mjukuuHeheee
Sijambo babuuu
Hii lugha utumiayo hawa viumbe ndio wanaielewa!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa
Mnaaminije habari ambazo hazina uhakika
Ila hongereni kwakuangamiza battalion nzima [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Miji kibao inajiunga na Russia karibu na ODESSA.Bwana Galip Vrl kazi ya drones ni reconnaissance na mashambulizi madogo. Kazi kubwa ya ushambulizi imefanywa na artillery teams.
Ni miji gani karibu na Odessa inayojiunga na Urusi ???Miji kibao inajiunga na Russia karibu na ODESSA.
Nato wanaomba kupewa mradi wa Bagamoyo. Nato yaani USA wameomba kuweka military base Zambia ambako mchina ana mkataba wa kijeshi na kambi. Nadhani Africa imeanza kuguswa .
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
We endelea kujifurahisha tu mdogo wangu so dhambi... Sema usifikie level za yule Babu yako mzee Mwana....wi ukajitoa mhanga tukakukosa [emoji23]Bwana Galip Vrl kazi ya drones ni reconnaissance na mashambulizi madogo. Kazi kubwa ya ushambulizi imefanywa na artillery teams.