Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Acha kuongopea watu wewe.iyo Kherson gani ambayo Uraine ameingia?.warusi wapo kwenye jimbo la Mykolayin
 
Ukirejea maoni yako humu JF kuhusu uislamu na waislamu,bila shaka utamjua aliyekuloga

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 

Wapendwa, tupunguze ushabiki kidogo. Habari za siku hizi ni hivi:
Kharkiv Warusi wanarudishwa nyuma, kuna dalili kwamba wanakusanya vikosi vipya upande mwingine wa mpakani ili wajaribu kurudi.

Kwa upande mwingine katika maeneo ya Donetsk wanasogea mbele polepole sana; bado wana mizinga mingi, wanasagasaga kijiji baada ya kijiji (hakuna dalili kwamba wanajaribu kutolenga watu raia), halafu wanasogea mbele, labda kilomita 1-2 kwa siku.

Wana matatizo kuvuka mito, hapo battle group moja iliangamizwa kabisa.
Ukraine ikifaulu kupeleka mizinga mipya kutoka Marekani hapa, hali inaweza kubadilika, kwa sababu M777 inapiga mbali kuliko mizinga ya kirusi, tena inakuja na grenedi za GPS tele. Vivyo hivyo kama ile Panzerhaubitze 2000 kutoka Ujerumani / Uholanzi inafika, hata kama si mizinga mingi.
Tuone.
 
ukijumlisha na ile 26350. unapata jumla ya askari 36350+ walio kufa.
kijeba vita vimemshinda. kaanza kuwaomba magharibi wamahinikize comedian aache vita.
comedian anasema next stop crimea.
mbilikimo anatafta shimo la kutokea halioni
Duuuuh 🤣🤣🤣🤣🤣 mkuu unapenda namba lakini hesabu hujui, nakushauri rudi shule
 
Yaani jamaa wanavyotoa hiyo taarifa ya kuua wanajeshi 1,000 ni kama vile kulikuwa na kundi la wanajeshi 5,000 likapigwa bomu katikati ya kundi likaua hao wanajeshi 1000, Kwa jinsi wanavyoelezea ni kama vile kifaru cha Kwanza kinapigwa bomu vifaru vingine vimekaa vinasubiria kupigwa yaani hata kukimbia haviwezi vipo hapo hapo, vimepigwa mpaka vinatimia vifaru 100 🤣🤣🤣🤣🤣, waache utani!!!!!!

Mimi wangeniambia walipiga daraja bomu halafu wanajeshi wa Ukraine wakawavamia wakawapiga risasi ikafika hiyo idadi ningekubali, lakini kupiga bomu Hadi kuua Askari 1000, hii watu wenye matatizo ya akili ndiyo wanaweza kuamini
 
Kwahio nawewe unaamini wamekufa majeshi elfu
Haya mambo haya dah[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Malengo lazma yafikiwe
Achana na PROPAGANDA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🔥🔥🔥The Investigative Committee of the Russian Federation will assess the legality of the decision of the Latvian authorities to demolish the monument to Soviet soldiers in Riga, such actions can be qualified under the article of the Criminal Code on the rehabilitation of Nazism and the desecration of symbols of military glory🔥🔥🔥
 
Russia keshadundwa huko kharkiv mpaka kaiachia kala kipigo cha mbwa koko yaan ni mwendo wa kutema viazi vya moto huku wanapigwa ambush za kufa mtu kweli urusi supachawa tena wa mchongo.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Hizi taarifa sijui mnaokotaga wapi kwakweli.
 
⚡️Briefing by Russian Defence Ministry

▫️The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation in Ukraine.

💥High-precision air-based missiles of the Russian Aerospace Forces have hit 5 command posts and 2 ammunition depots near Spornoe and Berestovoe in the Donetsk People''s Republic.

▫️The attacks have resulted in the elimination of more than 100 nationalists and up to 23 armoured and motor vehicles.

✈️💥Operational-tactical and army aviation have hit 43 areas of AFU manpower and military equipment concentration.

💥Missile troops and artillery have hit 18 command posts, 543 areas of manpower and military equipment concentration, 1 ammunition depot near Lubomirovka, Kherson Region, as well as 23 AFU artillery units at firing positions near Verkhnekamenskoe, Krasnyi Liman, Drobyshevo, Yarovaya, Korobochkino and Gusarovka throughout the night.

💥Russian air defence means overnight have shot down 13 Ukrainian unmanned aerial vehicles near Chkalovskoe, Demetievka, Klinsk, Glubokoe, Balakleya, Goptovka in Kharkov Region, Staromikhailovka, Spartak, Elenovka in Donetsk People's Republic, Petrovenki and Severodonetsk in Lugansk People's Republic, including 1 Bayraktar-TB2 over Mankovka in Kharkov Region.

▫️In addition, 3 rockets of Smerch multiple-launch rocket system have been intercepted Izyum, Semenovka and Snezhkovka in Kharkov Region.

📊In total, 165 Ukrainian aircraft and 125 helicopters, 858 unmanned aerial vehicles, 304 anti-aircraft missile systems, 3,051 tanks and other armored combat vehicles, 372 multiple launch rocket systems, 1,507 field artillery and mortars, as well as 2,898 units of special military vehicles were destroyed during the operation.

#MoD #Russia #Ukraine #Briefing
@mod_russia_en
 
Endeleeni kujifariji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…