Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,531
Nani, Putin au Lavlov makengeza?Leo kaibuka,analaani Finland kutaka kujiunga NATO
Hilo naweza nikakubaliana nawewe ila anachokifanya RUSSIA nikama alichotaka kukifanya US kwa CUBABwana Utam Urusi anatakiwa aondoke Ukraine, Ukraine anatakiwa kuwa na uwezo wa kujilinda na maadui zake na Urusi inapaswa kujilinda na maadui zake. Kama Urusi na Ukraine ni maadui na USA na Urusi ni maadui Ukraine ana haki ya kupokea silaha kutoka kwa adui wa adui yake.
Hata hivyo, mm nina wasiwasi na uadui wa Urusi na USA kwa sababu wote wana tabia ya kutumia nchi nyimgine kama battle ground huku nchi zao zikiwa salama na mwishowe kunakuwa na win win situation baina yao.
Na Putin kamuambia nini? sababu kuna mtu kaniuliza unajua Rais wa Finland alichoambiwa? Yaani leo Putin anapigiwa simu kupigwa biti? wonders will never end?Finland's president initiated phone call with Putin to tell him the country is applying to join NATO
President Sauli Niinist initiated a phone call with Russia's Vladimir Putin on Saturday, telling the Russian president that Finland will be seeking membership to join NATO.
Russia has previously warned against Finland joining NATO, threatening "retaliatory steps" against the country and claiming Finland's membership in NATO would be a national security threat.
The call between Niinist and Putin took place on Saturday, according to a press release from Niinist's office.
"The conversation was direct and straight-forward and it was conducted without aggravations. Avoiding tensions was considered important," Niinist said in the release.
According to the press release, Niinist reminded Putin that "every independent nation maximizes its security."
The release continued: "This is what is happening now, too. By joining NATO Finland strengthens its own security and assumes its responsibility. It is not away from anyone else."
Finland's president and prime minister issued a strong statement in favor of joining the military alliance on Thursday. The NATO Secretary-General Jens Stoltenberg responded by saying Finland would be "warmly welcomed into NATO."
In his call with Putin, the Finnish president also "repeated his deep concern over the human suffering caused by the war Russia wages in Ukraine," according to the press release.
Russia's invasion of Ukraine has raised public support for NATO membership to an all-time high in Finland and in neighboring Sweden.
Tukimuuliza hili swali kila mtu private kwamba walitaka PUT IN aongee dakika ngapi kila mtu atakuja na dakika zakeSasa victory day mtu anaongea DAKIKA NANE, DAKINA NANE, SIKU YA USHINDI NA HAPO HAP TAIFA LIKO VITANI LINASHAMBULIWA NA NATO ANAONGEA DAKIKA NANI?
si ndo ukoko wenyewe huo mkuu.
Kwa hiyo unakubaliana na hii tabia yake ya kujificha wakati nchi iko vitani?Tukimuuliza hili swali kila mtu private kwamba walitaka PUT IN aongee dakika ngapi kila mtu atakuja na dakika zake
Pengine wengine wangesema asiongee kabisaaa
Hilo lakuongea wala sio kipimo cha kupimia MKUU
Labda ungekuja na hoja nyengine pengine ningekuelewa pengine!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Medved na Shoigu ndio watu wanaotakiwa kusikika zaidi kipindi taifa lipo vitani pamoja na msemaji wa serikalindo nauliza Lav rov yuko wapi, toka aseme Wahudi ndio walikuwa wanauwa wayahudi siku ile kwenye TV sijamsikia tena, namsikia medvedev sijui na mambo yake ya Nukrea war.
Nilikuwa sijui hiiUnaandika kwa hisia kali sana huku ukiandika porojo tu.
Ni mahaba niue yanakufanya uandike haya.
Mwenzako nilimuuliza USA akishawahi kupambana na nani akashinda!? Mnabakk kutuketea ngojera mara ho!! Tubishane mara oh!! Sijui nini.
Mimi nataka ulete taarifa zako hizo kwa evidences. Mimi nakupiga kwa fimbo za knowledge siyo hisia.
Kwanza tunaanza na Wagriki. Hivi unajua boundaries za utawala wa ugriki!? Wale wakiishia mashariki ya kati tu mwanangu. Hata huku africa hatuna hata harufu ya wagriki.
Urusi ilikuwepo miaka na miaka. Na itaendelea kuwpo sana.
Kwanza unatakiwa ujue kuwa Russia ni nchi inayojitosheleza kwenye natural resources. Haihitajj kwenda kwenye nchi zingine dhaifu ili kuiba mali zao.
Unaongelea USSR ya juzi tu. Mwanangu nakusihi jifunze kuhusu urusi na upate kuijua.
Nakupatia mfano wa hivi karibuni tu. Mgogoro wa Syria, USA na wenzake walitaka kuleta mapinduzi. Lakini mzee Russia alipoingia pale wote waliufyata mkia. Sijajua kama wewe ni mfuatiliaji wa Geopolitics.
Basi ngoja tuachane na Syria. Tuongekee Venezuela. Hawa hawa USA walitaka kuleta mapinduzi. Lakini mzee wa siku Russia akatia timu tena wazi wazi hao USA wakaufyata mkia wakabaki kubwekea tu kwenye CNN, BBC na Aljazeera.
Sehemu yoyote Russia akitia timu USA lazima akimbie.
Nakushangaa unaongelea B2 Bomber. Mwanangu nadhani hufuatilii issue za international weapons. Russia anakudungua akiwa amekaa home. Anakupiga huko huko kwako bila kutumia ndege.
Nikutoe tongotongo tena. Unajua Arctic Ocean!? Mzee huko Russia kapakana na USA, Canada na wengine. Huko Russia anatumia ubabe kuchukua maeneo ya USA na Canada. Hakuna yoyote anayeweza kukoroma. Maana Russia is the father of this planet.
Nakusubiri ulete hoja ya nguvu ili tuweze jadiliana.
Kwan yeye akionekana ndio itasaidia nn!!?Kwa hiyo unakubaliana na hii tabia yake ya kujificha wakati nchi iko vitani?
Hii vita ya ajabu sana, aliyevamiwa, Zelensky sijui hata analala saa ngapi muda wote yuko active, mara anapokea wageni, mara anakagua madhara ya mashambulizi, mara sijui anaongea na senet, mara anaongea na house of commons, mara anashauri nini sijui, yaani as if nothing is happening,
Anayeshambulia sasa, yaani kawa kama mbwa koko, KaPutin kamekuwa ka mtu kakujificha ficha na kuji isolate.
hivi hawa waliishatoka Belarus walikokimbilia baada ya kufurushwa kyiv? hawa wanaenda kuliwa na mamba kwenye kale ka mto ka donbas.Naona Leo wanaume wa chenchen wanapelekewa Ukraine,
View attachment 2224501
Tubaki kwenye tekinolojia. Urusi inafahamika ni nchi iliyobaki nyuma lakini iliwekeza asilimia kubwa ya mapato yake kwenye jeshi kushinda nchi yoyote nyingine (tukiacha kibete kabisa kama Korea Kaskazini kando).Kwanza nakushukuru sana kwa kutambua kuwa mimi ni kaka yako. Maana hizi nondo ninazozitoa hapa inakubidi uwe umekula kitabu haswaaaaa.
Mdogo wangu tunapoongelea Technology unajua maana yake. Unadhani kuongelea dron peke yake tayari utakuwa umeongelea Technology!?
Technology is the application of science.
Sasa basi kuna mambo mengi sana tunapoongelea suala la technology. Kwa sababu tunaongelea Military technology tunasema Russia ipo juu sana kwenye technology ya kijeshi. Tunasema hivyo kwanini!?
1. Mpaka hivi leo tunavyoongea ni urusi pekee mwenye hypersonic missile.
2. Russia pekee mwenye nuclear weapon combine all countries in this planet.
3. Russia kautangazia ulimwengu kuhusu RS-28 Sarmat. Sijui ulikuwa wapi wakati inaweka hadharani.
4. Russia ndiyo nchi pekee yenye ICBM nyingi duniani kuliko nchi yoyote.
Hayo machache tu yanakutosha kwa sasa kuhusu Technology.
Back to Uchumi.
Tatizo unapoongelea uchumi unajikita kwenye eneo moja tu la GDP. Unashindwa kabisa kuingia ndani na kuona yaliyomo je, yamo!?.
1. Unatakiwa uanze kwa kuongelea Assets kwanza ndio uendelee upande mwingine. Mzee kwenye suala la asset sitaki hata kuliongelea zaidi maana unajua ninakoelekea.
2. Unatakia ujua literacy rate ya warusi ukilinganisha na USA na china. Nikwambie kitu tu. Literacy rate ya warusi ni 9.9% yaani kwa kifupi ni 100% Huko urusi hakuta jitu lenye elimu ya kuunga unga.
3. Unatakiwa tena uje na maelezo hapa utuambie population ndogo ardhi na resources kubwa ipo na effect ipi kwenye uchumi.
4. Unatakiwa ujue USA serikali yake inaishi kwa liabilities. Yaani serikali ipo na madeni zaidi ya 159% ya GDP. Je, kwa upande wa uchumi tunaposema Utajili ni Liabilities au Assets. Hiyo nakuachia wewe utueleze.
5. Umeongelea magari ya umeme. Hapa mwanangu tulikuwa tunaongelea USA na China. Nakutaka kabisa usihamishe mada. Maana umekubali kuwa mimi ni kaka yako. Nilisema kwamba huko USA demokrasi imewaponza. Siku hizi mambo yanaongewa tu utekelezaji ni zero. Ndiposa nikaongelea suala la magari madogo kutumia umeme. Sasa kama wewe hujanielewa tatizo litakuwa langu au wewe!?
Nimekuachia hiyo home work. Njoo na majibu ya uhakika. Na nitaendelea kutoa nondo maana leo nipo free.
Raisi wa Ukraine huenda alifanya kosa kutaka kujiunga NATO na kuleta huu mzozo, nasema huenda sababu sijajua ni nn kilimsukuma kutaka hilo na kwann raia wake hawakumzuia. Huenda walimuona Urusi kama adui zaidi ya mshirika na jirani maana ni mzozo wa muda mrefu.Hata hivyo, mm nina wasiwasi na uadui wa Urusi na USA kwa sababu wote wana tabia ya kutumia nchi nyimgine kama battle ground huku nchi zao zikiwa salama na mwishowe kunakuwa na win win situation baina yao.Hilo naweza nikakubaliana nawewe ila anachokifanya RUSSIA nikama alichotaka kukifanya US kwa CUBA
Ishu nikwamba CUBA alikua smart kujali kuheshimu na kutaka amani kwenye taifa lale nandio maana akaepushia mbali
Huyu kenge wa UKRAINE hajali kuhusu watu wanaokufa wala nn
UKRAINE angeamua kuwa nyutro kingemgharimu kipi!!?
Tupime hasara na faida ya UKRAINE kuingia kwenye huu mgogoro nakama angeamua kua kama CUBA
Nna wasi wasi ELENSKY cjui hata kama anajali watu wanaokufa
MKUU ndio maana kukawa na diplomasia JAPAN alipopigwa BOMU na US angesema azidi kaza shingo pengine tungeongea zaidi ya haya ya HIROSHIMA
tunatakiwa tukubali tu kwamba DUNIA haitakua kama tunavyogaka milele yaani uwe na akili yakula namwenye nguvu unadhani WAJAPAN wanapendelea waliofanyiwa na US !!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kombora gani limefanya ukalitilii huu kwenye vifaru vyote hivyo?Aisee jana jamaa wamechakazwa vibaya mno, hebu cheki hapa vifaru kibao nyaka nyaka
View attachment 2223004
Lavrov wiki hii inayoisha alikuja afrika baadae akaenda arabunPutin needs to come out and explain about this war, haiwezekani awaachie hii kazi wapambe.
hivi yule waziri wake wa mambo ya nje kaenda wapi? Lavlov sijui toka atoe uharo wa Mayudi na Manazi sijamsikia wala kumuona tena.
Hapo umesema.Hizi ndio diplomasia katikati ya matatizo,Kitu kimoja tu hutakiwi kurudi nyuma nacho ni iwapo kuna mwanamume anamnyatia mkeo halafu anafanya hivyo mbele yako na mbele ya wanaume wenzako.Hata hivyo, mm nina wasiwasi na uadui wa Urusi na USA kwa sababu wote wana tabia ya kutumia nchi nyimgine kama battle ground huku nchi zao zikiwa salama na mwishowe kunakuwa na win win situation baina yao.Hilo naweza nikakubaliana nawewe ila anachokifanya RUSSIA nikama alichotaka kukifanya US kwa CUBA
Ishu nikwamba CUBA alikua smart kujali kuheshimu na kutaka amani kwenye taifa lale nandio maana akaepushia mbali
Huyu kenge wa UKRAINE hajali kuhusu watu wanaokufa wala nn
UKRAINE angeamua kuwa nyutro kingemgharimu kipi!!?
Tupime hasara na faida ya UKRAINE kuingia kwenye huu mgogoro nakama angeamua kua kama CUBA
Nna wasi wasi ELENSKY cjui hata kama anajali watu wanaokufa
MKUU ndio maana kukawa na diplomasia JAPAN alipopigwa BOMU na US angesema azidi kaza shingo pengine tungeongea zaidi ya haya ya HIROSHIMA
tunatakiwa tukubali tu kwamba DUNIA haitakua kama tunavyogaka milele yaani uwe na akili yakula namwenye nguvu unadhani WAJAPAN wanapendelea waliofanyiwa na US !!!??
Sent using Jamii Forums mobile app