Dunia tayari ishaanza kutafuta njia mbadala.... Wazungu wengi viazi mbatata Russia amekuja kutusibitishia.. Germany anaangamia kutokana na muungano wa Kindezi.If, only if, you know what it means [emoji1787]
[emoji635][emoji631] The US really doesn't like the Sarmat missile, they want to ban its use as part of future arms control agreements, - Ambassador Antonov.
Nyie jipeni moyo na rusia yenu something is loading keep your eyes openDunia tayari ishaanza kutafuta njia mbadala.... Wazungu wengi viazi mbatata Russia amekuja kutusibitishia.. Germany anaangamia kutokana na muungano wa Kindezi.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
hapo unabet tuNyie jipeni moyo na rusia yenu something is loading keep your eyes open
Na kooote huko hawajafanikiwa kupunguza chochote katika advancement za Russia. So pathetic [emoji1]If, only if, you know what it means [emoji23]
View attachment 2224689
In the United States and Canada, they started talking (so far very cautiously) that the supply of weapons to Ukraine has devastated the warehouses of their own armies, and it will be very difficult to replenish them in the near future.
Wewe umekiona ila URUSI hajakiona, UJINGA mzigo kweli.Nyie jipeni moyo na rusia yenu something is loading keep your eyes open
Pigen block, mbona Ni simple tu.Mimi nimeyapiga block mashoger Kama 70 hivi.Nyinyi ndio mnaufanya huu uzi upoteze maana ,maana mmejaa utoto wakati ni mamtu mazima wenye familia.
Mpishi bora haitaji kiwanda cha vyombo na mashamba makubwa ya chakula aweze kupika chakula kitamu.Na kooote huko hawajafanikiwa kupunguza chochote katika advancement za Russia. So pathetic [emoji1]
Unafahamu kama kuna mkataba kati ya Finland na Russia?Putin alimwambia Finland haina haja ya kujiunga sababu hakuna kitisho chochote ambacho kinatishia usalama wa Finland.
Lakini tukumbuke ni Putin huyuhuyu alisema hatoivamia Ukraine na akaja ivamia.
But umesahau kuandika kuwa sababu ya Finland kuruhusu NAZI Germany kuitumia Finland kuishambulia Russia, inatokana Russian Empire mwaka 1917 kuivamia FinlandUnafahamu kama kuna mkataba kati ya Finland na Russia?
Finland ilimruhusu Hitler kumpiga Russia kupitia kwake. Pambano ambalo lilisababisha maafa makubwa sana na ndiyo lililochukua taswira ya pambano la umwagaji wa damu mkubwa sana uliofanywa na Hitler kwa Russia.
Baada ya Red Army kuwa jeshi la kwanza kuingia Berlin na kusimika bendera yao ya victory, Stalin aligeukia kutaka kuichapa Finland. Finland iliomba radhi na kutoa ahadi ya kimkataba kwa alichokifanya kwa Russia kuwa kuanzia hapo itakuwa neutral.
Haya mambo yana historia. Inachokifanya Russia ni kuwakumbusha tu.
-Ikiwa Finland itakiuka huo mkataba ina maana kuwa Russia itamuweka kwenye list ya walioshirikiana na NAZI kuwaua raia wake kipindi cha ww2. Hiyo mosi, pili itamuweka anahatarisha tena usalama wa Russia: Yaani; kosa lilelile alilolifanya Finland ww2 analirudia tena 2022.
-Somo ambalo walilojifunza Russia kilichowatokea ww2 ni kwamba ikiwa kuna hatari ya aina yoyote ya kiusalama wa nchi hawasubiri tena wavamiwe wamsubiri adui alete athari ya moja kwa moja ndani ili i-justify wao kujibu mapigo. Wanachokifanya ni kumshambulia wao kwanza ili kuzuia moja kwa moja hiyo athari isiwafikie.
Tupo kipindi kibaya sana.
Dah!..Kuna haja ya kulifanya jeshi letu kuwa la kisasa kwa kuendana na hali ya dunia ya sasa.Jeshi za kijamaa huwa zimejaa ufisadi
Angalia jeshi la Tz la kipindi hiki ni kama sehemu ya ajira tu
Kuna mzee mtaa naoishi nyumba yake ni kama kambi ya jeshi ana watoto 6 watano ni wanajeshi
Kajaza pia jeshini mashemeji zake kama wote nadhani ikitokea vita atawandikia watoto wake UN-FIT ili wasiingie mstari wa mbele
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kuniambia wale wote wanaoshabikia russia ni wapinga demokrasia kwa maana hiyo wote ni mashabiki wa jiwe?Wayahudi ni watu hatari sana, Yaani zelensky ameforce mpaka vita imekuwa sio kati ya Rusia na Ukraine, bali ni kati ya na democratic world.
Ukraine is fighting for the interests of all democratic Nations, including Tanzania.
"Thank you for your leadership in helping us in our struggle not only for our country, but also for democratic values and freedoms,"
Gadaffi huyu huyu aliyekuwa upande wa Iddi Amini dhidi yetu?nijuavyo intentionally Nyerere,Kwame Nkrumah...ndio wana halisi wa Africa others are just pretenders.Issue hiyo nimeiongelea long time. Au unataka tuendelee kuongelea kitu hicho hicho!?
Nimekueleza:-
1. USA wanaleta demokrasia kwa matakwa yao na mambo ya ushoga. Na Ukraine ndiyo ilikuwa kituo cha kutengeneza uovu wa kila aina hapa dunia kwa kufadhiliwa na USA.
2. USA walimuua Gadaffi ambaye alikuwa akipgania umoja wa africa. Waliharibu Libya, kwa sababu hakuna wa kuwakemea. Lakini kukiwepo na bipolar, security duniani na Africs itakuwa imara.
3. Marekani anatengeneza biological decease. Majaribio ya magonjwa hayo ni Africa. Au mwenzagu unaona sawa!?
4. Ni wao wanaopanga uchumi uweje. Kwasababu ya petrodollar. Lakini kukiwa na balance of power africa na dunia tutapumua.
Sasa hapa wewe unakuja na ngonjera. Unataka tuongelee suala hilo hilo kila wakati.
Ndio maana ninasema you are slow learner. Activity your Brain.
Vyovyote itakavyokuwa ama itakavyoandikwa ila bado maana itabaki palepale kuwa Finland ana mkataba na Russia.But umesahau kuandika kuwa sababu ya Finland kuruhusu NAZI Germany kuitumia Finland kuishambulia Russia, inatokana Russian Empire mwaka 1917 kuivamia Finland
π π π π π π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£Kikosi cha ukraine kimeshambuliwa na daraja walilolitengeneza kuvunjwa na vikosi vya Urusi baada ya kutaka kuvuka mto kwenye mkoa wa izyum.