Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Msaidie ufaransa wana lugha yao, uk, hispania, urusi kwa uchache atutajie lugha ya us kwa kifupi ni taifa lisilo na utamaduni
 
Kabla ya vita:
[emoji635]Operesheni maalum haitozidi masaa 72
[emoji635]Tutaiteka Kyiv
[emoji635]Tutamwondoa Madarakani Zelensky
[emoji635]Yeyote atakayeingilia atakiona cha mtema kuni.

Miezi 2 Baada ya uvamizi:
[emoji635]Kipaumbele ni Donbas na nguvu yote inahamia huko.

[emoji2379][emoji2379][emoji2379]
 
Russia alikuwa na mkataba wa kuilinda Ukraine pia, ila ndiye aliyeanza kuimega taratibu taratibu.

Nchi neutral zimepoeza imani waliyokuwa nayo kwa Urusi na wanaona wajiunge NATO kwani usalama wao utakuwepo huko. Wakifanikiwa kujiunga ni wazi watakuwa wameondokana na vitisho vya kushambuliwa na Urusi.
 
Naomba references ya masaa 72 tafadhali
 
Baada ya mapinduzi ya mwaka 2014 basi taifa la UKRAINE lilipoteza hio status yakutokua upande wowote wakataka kujiunga nawauaji wa NATO
kinachoendelea hapo UKRAINE nikama baba anamkanya mwanawe nakumkumbusha kwamba wewe nimtoto nautaendelea kua mtoto
UKRAINE kupitia RAHISI wao wameharibu wenyewe nchi yao naubaya zaidi nilazima watakaa chini na RUSSIA wataongea (yaani hili nilazima sijajua lini ila lazma wakae chini na RUSSIA) wataongea halaf muafaka utafikiwa najamaa hawatajiunga na NATO naimeshaongezeka pia wasijiunge na EU halaf hapa ndio mtajua kulikua na maana gani ya COMEDIAN kuiingiza UKRAINE matatizoni
Mwisho:-hao Nodric hakuna atakaejiunga na NATO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
These politicians mind is totally wrecked, so those 90k civil servants wataishije kwenye hali ngumu hiyo walionayo.

πŸ“ "Perhaps the golden era is over. We have never spent less on groceries before than we do now, and the decline has been long and gradual. So I suspect food costs will go up in the long run. In historical terms, this will not be very much, but it will still require adjustments to the family budget...” King said.

As reported, Prime Minister Johnson ordered the British government to lay off more than 90,000 civil servants in order to cut public spending.

Mind you, sanctions against Russia is "working", Russia is "Collapsing" 🀣.
 
Ahahaha

Mtego wa panya huwanasa wote
 
Tupe source vinginevyo ni propaganda za RT na Tass.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…