Ndio kushindwa kwenyewe kwani Urusi sasa hivi akiondoa majeshi yake Ukraine bila kuiteka Dombas na kuanzisha serikali siatahesabika ameshindwa vita?Swali lako lina dalili zote za mtu mwenye uvivu wa kufikiri hivo linaleta uvivu pia kulijibu ila kujibu kwa faida ya wengine ni kwamba Marekani walienda Vietnam kuzuia Vietnam ya Kusini isichukuliwe na Vietnam ya Kaskazini iliyokuwa ya Kikomunisti ambayo ndio ilikuwa muanzilishi wa vita. US walifanikiwa kuzuia hilo kwa muda wa miaka 8 ambayo majeshi yake yalikuwa huko na miaka mingine 2 baada ya majeshi yake kuondoka.
Hawakwenda Vietnam kuteka vijiji kama unavyojaribu kulisha watu hayo matangopori. Walienda kuzuia upande wa Vietnam Kusini usianguke dhidi ya majeshi ya Kikomunisti ya Kaskazini.
Vita vya Vietnam ni sawa na vita vya Korea Kusini na Kaskazini, tofauti ni kwamba US haikuwahi kuondoa Korea Kusini mpaka leo na iliendelea kuipa msaada. Vita ya Vietnam ilipoteza ushawashi kwenye siasa za Marekani na msaada kwa serikali ya Vietnam Kusini ukakatwa.
Tunalazimika kukujibu ilhali unajaribu kupotosha ukweli.
Yanukovch alipinduliwa 2014 kwa sababu ya mlengo wake kuelekea Kremlin, upo sahihi.
Je mapinduzi yale, yalifanywa kwa kutumia mgongo wa nani?
Unakataa kwamba yalifadhiliwa na Marekani pamoja na washirika wake?
Kama hapana naomba unielezee kwa nini Victoria Nuland ambaye ni undersecretary of political affair alikuwa anafanya nini maiden square wakati wakimlazimisha yanukovch ajiuzulu?
Je mashinikizo Yale ya waandamaji yalikuwa na baraka za nchi nzima??!!
Jibu ni hapana, ndio maana upande wa mashariki uliamua kujitenga na kuokutambua serikari iliyopo kiev na Kuanzishwa Jamhuri zao.
Kwa nini useme Urusi iliivamia Ukraine 2014 wakati wananchi wenyewe ndio waliotangaza kutoitambua serikari ya kiev?
Acha ubangalalaView attachment 2225348
pro RUSSO mnapoint sana aseeKama nchi imepigana zaidi ya miaka 8 na ikashindwa kuteka hata kijiji unategemea watu wasilalameke?
Kwani hata Urusi ukiisha huu mwaka ajaweza kuiteka Dombas unadhani atakuwa na kipi cha kufanya tofauti na kukubali kushindwa na kukimbia?
Kama ni hivyo Urusi amesha shinda vita sasa maana waukraine walio uawa ni zaidi ya Warusi.
aah wapi, putin ana sababu zake kuzivamia ukraine na georgia, anaplay NATO card kujustify mipango yake, amekuwa frustrated vile EU,US,TURKEY na CHINA zilivyoongeza sana ushawishi kwe maeneo ambayo yamekuwa backyard yake kwa miaka mingi, but as long wengine wana vingi vya kuoffer interms of trade, investments na mengneyo kiuchumi basi changamoto dhidi ya ushawishi wa urusi itazidi kuwa kubwa tu kadri siku znavyosongaFinland inataka kujiunga na NATO, nayo itavamiwa na Urusi kama Ukraine??
MKUU unahisi UKRAINE haikujiandaa kwalolote!!!??Nafikiri Finland imejiandaa na lolote.
aah wapi, putin ana sababu zake kuzivamia ukraine na georgia, anaplay NATO card kujustify mipango yake, amekuwa frustrated vile EU,US,TURKEY na CHINA zilivyoongeza sana ushawishi kwe maeneo ambayo yamekuwa backyard yake kwa miaka mingi, but as long wengine wana vingi vya kuoffer interms of trade,investments na mengneyo kiuchumi basi changamoto dhidi ya ushawishi wa urusi itazidi kuwa kubwa tu kadri siku znavyosonga
Vipi kuhusiana na ASSAD !!!??Tofauti ni kwamba USA haikupigana moja kwa moja Vietnam kama Russia anavyopigana Ukraine. Katika vita vyote vya marekani alivyopigana direct, serikali zote zilianguka tena ndani ya muda mfupi.
Sidhani kama North Vietnam wangeweza kuhimili full war na Amerika ndani hata ya mwezi mmoja.
Hapo Ukraine, Russia kaingia mzima mzima na serikali bado imesimama. Ili wafaulu kumega ardhi inabidi kwanza waiondoe serikali ya zelensky.
Kabla ya kokement muwe munasoma nakuelewa vyema jamaniiiUnajua maisha mazuri Ulaya yalianza lini na lini Russia ilianza kuzalisha gesi na mafuta?
Hiyo gesi, mafuta na rasilimali za Russia wanazichukua bure?
Endelea kubaki na mawazo yako ya hovyo ya siasa za ujamaa. Nchi zinakuwa dola zenye nguvu kwa sababu ya teknolojia, mtaji na biashara huru.
Duuh mbna jamaa aliingiza majeshi wengi hv au wamekosea !!? Hii si 2.7M ama!!!??USA alipeleka askari 2,700,000 kwenye ardhi ya Vietnam kwa ajili ya kupigania vita,
Vita aliyopigwa na kushindwa vibaya.
Sijui unaposema hakupigana mwenyewe, una maana gani?
Mwanzoni alianza kusaidia Wafaransa na south Vietnam waliokuwa wanapigana na Vietcong ila kwenye battle ya BIEN DIEN PHU waviet Cong walishinda na mfaransa kupigwa, hivyo hakuwa na jinsi ikamlazimu aingie vitani Moja kwa Moja.
Ambapo alikutana na dhahama kubwa mpaka kutumia chemical weapons maarufu kama agent orange.
Na Bado alishindwa vita.View attachment 2225336View attachment 2225337
aah wapi, putin ana sababu zake kuzivamia ukraine na georgia, anaplay NATO card kujustify mipango yake, amekuwa frustrated vile EU,US,TURKEY na CHINA zilivyoongeza sana ushawishi kwe maeneo ambayo yamekuwa backyard yake kwa miaka mingi, but as long wengine wana vingi vya kuoffer interms of trade,investments na mengneyo kiuchumi basi changamoto dhidi ya ushawishi wa urusi itazidi kuwa kubwa tu kadri siku znavyosonga
Una backup ya ushahidi wwte ama umejiandikia tu kama kasuku!!?KWA HALI INAVYOKWENDA KWASASA INAONYESHA DALILI ZOTE KUWA RUSSIA AMESHASHINDWA HII VITA. TENA KASHINDWA VIBAYA. KWASASA UKRAINE AMEANZA KU GAIN MOMENTUM NA AMESABABISHA CASUALTY KUBWA SANA KWA JESHI NA VIFAA VYA RUSSIA.
ILIFIKA WAKATI HAPAKUWA NA NDEGE HATA MOJA YA UKRAINE ILIYOWEZA KURUKA LAKINI KWASASA NDEGE VITA ZAO ZIMEANZA KUONEKANA ZIKIRUKA. PIA LENGO LA NATO/ USA KUIDHOOFISHA RUSSIA LINAFANIKIWA SANA.
KITENDO CHA FINLAND NA SWEDEN KUONYESHA NIA YA KUJIUNGA NATO KIMEZIDI KUMCHANGANYA RUSSIA AMBALO NI LENGO LA NATO/ US (psychological warfare) na RUSSIA KASHACHANGANYIKIWA SANA.
PENYE UKWELI TUUSEME TU
Duuh mbna jamaa aliingiza majeshi wengi hv au wamekosea !!? Hii si 2.7M ama!!!??
Sent using Jamii Forums mobile app