Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
Unafiki wa hawa watu ni wa kiwango cha lamiNarudia sababu kubwa ya Urusi kuingia na kuishambulia Ukraine, bado ni Ile Ile.
Yaani kutaka Ukraine kujiunga na NATO hivyo mkuu Gharibu Vrl yupo sahihi.
Hao wananchi waliotaka yanukovch aondoke ni WA kutoka upande gani ndani ya Ukraine.
Halafu ulivyo wa ajabu unapongeza kwa Marekani kuingilia kati Mapinduzi yaliyompindua yanukovch kutoka Taifa jingine ila unapinga Urusi kusaidia waliojitenga na kutokuitambua Serikari ya kiev.
Upo sawa kweli kiongozi?
Mmmh..kwa hiyo Ukweli wako ni Russia ameshindwa?!?!KWA HALI INAVYOKWENDA KWASASA INAONYESHA DALILI ZOTE KUWA RUSSIA AMESHASHINDWA HII VITA. TENA KASHINDWA VIBAYA. KWASASA UKRAINE AMEANZA KU GAIN MOMENTUM NA AMESABABISHA CASUALTY KUBWA SANA KWA JESHI NA VIFAA VYA RUSSIA.
ILIFIKA WAKATI HAPAKUWA NA NDEGE HATA MOJA YA UKRAINE ILIYOWEZA KURUKA LAKINI KWASASA NDEGE VITA ZAO ZIMEANZA KUONEKANA ZIKIRUKA. PIA LENGO LA NATO/ USA KUIDHOOFISHA RUSSIA LINAFANIKIWA SANA.
KITENDO CHA FINLAND NA SWEDEN KUONYESHA NIA YA KUJIUNGA NATO KIMEZIDI KUMCHANGANYA RUSSIA AMBALO NI LENGO LA NATO/ US (psychological warfare) na RUSSIA KASHACHANGANYIKIWA SANA.
PENYE UKWELI TUUSEME TU
Sasa mkuu hapo umebisha nini?
Nipe tofauti ya kuwa deployed na wakifika?
Kati ya 2.7E6 na 5.5E5 unayoisema na hawakutimiza malengo Yao.
Na walikufa Wamarekani pekee ni 58,000 toa waveti wa kusini waliokuwa wanamsapoti Mmarekani.View attachment 2225587
Hiyo article itabidi nikaitafuteTsh
Mchumia janga hula na wakwao hii ama haya ndio maneno mazuri na pengine yawafaayo hao SWED na FINI
Majamaa ya NATO sio yakuyaamini hata robo na niwazi kabisa jamaa kwa 100% wanaliogopo DUBU kutokea huko RUSSIA hili limejidhihirisha leo
Jamaa wanasema wapo tayar nawatakua tayari kuwapokea wachumia janga FINI na SWED kujiunga NATO ila wakati huo huo wanawaambia yakwamba Article No5 (kama ntakua nimeipatia) haitatumika jamaa watakapojiunga mpaka baada ya mwaka mmoja kupita
Ikumbukwe yakwamba hio Article ipo maalum kwamba ikitokea mwanachama mmoja wapo wa NATO akashambuliwa nisawa sawa imeshambuliwa NATO nzima na majamaa watamuhami mwenzao pia watamtwanga alovamia mwenzao
Ila naona hii Article inaenda kua kinyume kwa hao wachumia janga sasa hapa sijajua kama hio Art hua inatumika baada ya mwaka kwa kila member mpya atakae amua kujoin NATO
Ama sijajua itatumika mara hii tuu kutokana na reaction inayotabiriwa kutokea kwa RUSSIA
Wajuvi mnisaidie hili la Article No5
Galip Vrl
@
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili jibu kama ni Mimi sirudii kusoma tena wala kureply msg zako... [emoji23] Jibu "takabifu" lililojaa utiifu.UPOPO liked your comment, I think she'z one of your level so you can talk to.
Unateseka sana mwamba, This is far beyond your thinking Capability. Learn to balance shobo sina haja wala mda wa kujadiliana na washabiki mliopo hapa kwenye huu uzi.
Mind you, if possible yahifadhi vizuri haya maneno yatakusaidia "To know that you do not know is the BEST, to think you know when you do not know is a DISEASE, recognizing this disease is to be free of it. The Ultimate of Ignorance (Probably the stage you are hivi sasa) is the rejection of something you know nothing about, yet refuse to investigate.
Kaitafte MKUU ishu ipo hvyo nlikua nawasikiliza DW mchana huuHiyo article itabidi nikaitafute
Ila kama ni kweli basi dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaweza kuishare hii pdf yote hapa mkuuUlichokiandika kinaleta jawabu la wazi kuwa hili sakata la Russia na mgogoro wa Ukraine umelijua baada ya kutokea vurumai inayoendelea sasa. Hii hali yote ilianzia 2008.
View attachment 2225353
Kisha rudi tena mwaka 1992 "German Reunification" makubaliano yao. Hii itakuongoza kuona unachokiamini hakiko sahihi. Na hakuna shaka hakipo sahihi. Kisha rudi tena kipindi US alipoweka makombora yake ya nuclear Ugiriki na Uturuki hali iliyomlazimu USSR kuweka makombora ya nuclear Cuba. Mataifa makubwa yapo serious na usalama wa nchi yao. Kwa mambo jinsi yalivyo ilibidi wawekeane mipaka ya kutokusogeleana ili kila mtu awe na amani na usalama wa Taifa lake.
Wala siyo uvamizi ni demilitarization.Akaivamie Finn na Swed
Narudia sababu kubwa ya Urusi kuingia na kuishambulia Ukraine, bado ni Ile Ile.
Yaani kutaka Ukraine kujiunga na NATO hivyo mkuu Gharibu Vrl yupo sahihi.
Hao wananchi waliotaka yanukovch aondoke ni WA kutoka upande gani ndani ya Ukraine.
Halafu ulivyo wa ajabu unapongeza kwa Marekani kuingilia kati Mapinduzi yaliyompindua yanukovch kutoka Taifa jingine ila unapinga Urusi kusaidia waliojitenga na kutokuitambua Serikari ya kiev.
Upo sawa kweli kiongozi?
Sio lami ni standard gaugeUnafiki wa hawa watu ni wa kiwango cha lami
La kuingia NATO
NATO kuwa Ukrain ilikuwa more strategic kuliko hao wengine. Assume adui yako anaweka kambi kwa nduguyo.Hiyo article itabidi nikaitafute
Ila kama ni kweli basi dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu nae pia ni mchambuzi!?NATO kuwa Ukrain ilikuwa more strategic kuliko hao wengine. Assume adui yako anaweka kambi kwa nduguyo.
Kifupi hao warusi waliopo Ukraine wangemsaidia sana NATO kuingia kremlin kama home.
Nitaichungulia mzee... Life liko kasi sana.Kaitafte MKUU ishu ipo hvyo nlikua nawasikiliza DW mchana huu
Sasa kama wamedanganya niwao wenyewe
FINI na SWED litawakuta jambo
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa keshaenda Offline huyo, but mie kanipa DMUnaweza kuishare hii pdf yote hapa mkuu
Natanguliza shukrani