Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wapeleke silaha? Kwanini wasiende physically?? Hawataweza
 
Ukijibu Haya maswali upata muongozo wa kile Nina kufundisha
1.Amerika Ina wanajeshi wangapi??
2. Admission namba yako ya shule inalingana na idadi ya wanafunzi wenye wapo shuleni.

2700000 ni cumulative Total na sio exact figure
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] kama alivyosema mkuu kule juu.

Nafikiri tafuta watu wa level yako.

Kwa heri
 
Ile revolution ilikuwa ya amani.

Mariupol walipowauwa waliotaka kujitenga ilikuwa ni njia ya amani.

Brother acha kujitoa ufahamu
 
Hizi mambo tukizisema sie utawaoma wazee wa misaada ya ARV wanatuita wehu. Haya sasa Wanaliona leo siku ya ngaaaaaapi akati sie tulishalisema kitaaambo tu hapa [emoji23].

Ukikutana na lile kundi linalodai "Wazungu wana akili nyie acheni, Baada ya Mungu Mzungu"...

Hapo ndio utajua kuna kizazi product ya "Show time"... Kina exist without purpose. Kazi kubwa ni kusifu na kutukuza. Wakiwa na hii Slave's mindset in nature.

Hatuwaiti wazungu wehu au wapumbavu ila hawa wanasiasa wao kwa hili walilodhihrisha kwa dunia miezi hii mitatu tunachelea kuwasifu kua ni Morons.
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] kama alivyosema mkuu kule juu.

Nafikiri tafuta watu wa level yako.

Kwa heri
Bado haiondoi ukweli kwamba 2.7m ni idadi ya wanajeshi waliotumika kwa miaka 8.
 
Hiyo article itabidi nikaitafute

Ila kama ni kweli basi dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nadhani hili jambo laweza kuwa kweli kama nilivyopitia DW.com hapo chini.
====
German Foreign Minister Annalena Baerbock said Berlin wants to speed up the ratification process if both Sweden and Finland desire to join the defense alliance.

The ratification period can typically take as long as a year.


"If these two countries are deciding to join, they can join very quickly,'' Baerbock said.

Finland offers to discuss membership with Turkey​

At the same time, NATO member Turkey has expressed opposition to the two Nordic countries joining the bloc.

Turkey accuses Sweden in particular of leniency toward the Kurdistan Workers' Party (PKK), which is on the EU's list of terrorist organizations.

On Saturday, Turkey's Foreign Minister Mevlut Cavusoglu said it was "unacceptable and outrageous" that the prospective new NATO members supported the PKK.

A day later, Cavusoglu called on Sweden and Finland to stop supporting the PKK, provide security guarantees and lift export bans on Turkey.

Niinisto said he was "a bit confused" about what he said was a shift in Ankara's stance.

"What we need now is a very clear answer, I am prepared to have a new discussion with President Erdogan about the problems he has raised," Niinisto said.

NATO's deputy secretary-general said Sunday that the alliance is confident that it can form a consensus with Turkey on the issue.
 
Ile revolution ilikuwa ya amani.

Mariupol walipowauwa waliotaka kujitenga ilikuwa ni njia ya amani.

Brother acha kujitoa ufahamu

Half baked information as usual, Russia ndio ilianza ugomvi wa vita baada ya kuwapa silaha makundi ya kujitenga. Wakiuliwa mnalia kwamba walikua raia.

Hivi unajua historia ya Azov battalion??
 
Bado haiondoi ukweli kwamba 2.7m ni idadi ya wanajeshi waliotumika kwa miaka 8.
Coco kama *****... Oh sorry typing error.

Enhe Kwani huko alisema hao 2.7M walienda siku 1? Au jumla ya hao wanaodaiwa kufa walikufa siku 1? Idadi si ni accumulative siku zote? Mbona mnajitekenya na kucheka wenyewe? Tatizo nini [emoji1787][emoji23][emoji23].

Au hawajalipa bado tuwape advance msukume siku... Hii panic sio poa. Ushabiki sio dhambi ila isifike hii level ya kujitoa akili sasa [emoji119].

Hajakulazimisha kuamini anachokiamini na hakika hujamlazimisha kuamini unachokiamini.

Tuacheni kujitoa akili, hueda kwenye majadiliano na ushabiki kuna baadhi tunaenza kufunzana.
 
Half baked information as usual, Russia ndio ilianza ugomvi wa vita baada ya kuwapa silaha makundi ya kujitenga. Wakiuliwa mnalia kwamba walikua raia. Hivi unajua historia ya Azov battalion??
Unataka uanze wewe kuielezea Azov au nianze Mimi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Duh basi hatare, naona Turkey ashaanza kupigwa mkwara tena. Hii bloc inaweza kuja kusambaratika huko baadae. Ni mawazo yangu tu kutokana na huo mwendo wanao kwenda nao.
 
"Four enemy missiles hit one of the military infrastructure facilities of the Lviv region. The object is completely destroyed," Maxim Kozitsky,Gauleiter(Nazi title of governor) of the Lviv region.

An atypical statement, they usually talk about an "infrastructure facility".🤔

It maybe NATO shipment being hit, we will wait and see🧐...Unusual rhetoric used by him🤔
 
Duh basi hatare, naona Turkey ashaanza kupigwa mkwara tena. Hii bloc inaweza kuja kusambaratika huko baadae. Ni mawazo yangu tu kutokana na huo mwendo wanao kwenda nao.
Slovakia yeye naye anaangalia maslah yake. Hungary naye anaangalia maslah yake. Huku German naye anajivuta vuta. Yetu macho.
 
GERMAN wana hali mbaya sana sio maskhara MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…