Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298]️ EU lawmaker threatens Turkey with isolation in NATO if it blocks Finland, Sweden alliance bids
Katika jambo ambalo NATO hawawezi kulifanya ni hili lakuitoa TURKEY huko NATO

Nahawa kenge walivyokua hawana akili wanatumia fosi kwa EDO baada watumie diplomasia

Ila TURKEY hawez akakubali FINI na SWED kujiunga NATO ila acha tuone
Kuna taasisi hapa tunaenda kuzipoteza nasema ila PUT IN kawashika naniliu hawa wajinga wajinga

Ila narejelea tena kupitia hii OP kuna taasisi tunaenda kuzizika rasmi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MKUU unahisi UKRAINE haikujiandaa kwalolote!!!??
Kipigo kikianza kutembea msije anza kusema jamaa wanaonewa
Wanasiasa watu waajabu ajabu sana hapa DUNIANI

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha, kwani kujiandaa na lolote umekutafsiri kwenye kushinda tu? Hata kushindwa ni sehemu ya lolote. Kwa tafsiri nyingine wapo tayari na vita.
 
Sijui yale mazoezi ya Poland na Norway yaliishia wapi.
Nasikia baada ya ndege zao kuanza kuanguka tu bila sababu huko Norway, waliamua kusitisha. Sasa hivi wana hamia huku

In Estonia, from May 16 to June 3, large-scale exercises "Ezh-2022" will be held with the participation of 15 thousand military personnel from NATO countries and partners. Officially, the goals are "combat readiness check" and "assessment of international cooperation." The maneuvers involve the US Navy's Wasp Kearsarge-class landing craft.
 
Amka kuu usiendelee kuota
 
Your browser is not able to display this video.


Entrepreneurs of the agricultural sector in the Kherson region will soon complete the necessary documents in the tax service and banks of Crimea, which will allow them to fully implement trade, Eduard Repilevsky, general director of the large agro-industrial company Agrobusiness, told RIA Novosti
 
Ulaya mwaka huu wanalo. Huku USA anawakazia huku Russia anawakazia.

All NATO members are committed to maintaining sanctions against Russia for "as long as it takes," US Secretary of State Anthony Blinken said.
 
Umeingia kwa ule mtego niliutaka. Wadogo zangu kisiju pwani na Galip Vrl bado mnashikilia NATO ndio sababu ya Ukraine kuvamiwa. Mwezenu akili zimemjia.
Coooco kama *****... Shakwambia kujichetua sio kuzuri. Ukirejea kwe utimamu tuite tuzungumze. Hiz bla bla zako za kila day binafs nimezichoka.

Whatever you think is true, amini hivo hivo tupunguziane majukum ya kuongelea jambo moja kila kukicha...

Kama una lipya leta mezani. If not basi utulie tu.
 
CSTO and NATO cannot be compared, Belarusian Defense Minister says

These organizations cannot even be put on the same level, Viktor Khrenin said in an interview with the Belarusian military newspaper.

"Established 73 years ago, NATO has not become defensive, and we see it. It is a truly aggressive organization, which is a kind of club in the hands of the United States, which imposes its policy, its views around the world. And we have repeatedly seen how many military conflicts NATO has participated in ' Khrenin said.

Over the 20 years of its existence, the CSTO has not taken part in any conflict, it was created to ensure the security of the countries that are part of it, the head of the Defense Ministry emphasized.
 
Kakishabomoka Yugoslavia inarejea. Cosovo inakufa natural death.
Kabisa Mzee, hata kama Yugoslavia isiporejea. Kikubwa amani itatawala... Hawa punguani hawaishi kuanzisha migogoro, kutengeneza Crisis kisha kupiga pesa.

Watafute kazi zingine za kufanya ase.
 
Nadhani Uturuki atajiunga huku. Wakiendelea kumuwekea kiwingu.
Serbia naye ninauhakika ataingia huku.

The CSTO will expand.

In a few years it will no longer be six countries, the head of the Belarusian Defense Ministry believes.

"These will be dozens of states that value peace and stability, and not aggressiveness and changes in the political system of other states," Khrenin said.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…