LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Nusu saa iliyopita wawakilishi wa Ukraine wakiwasili BelarusView attachment 2133888
Belarus na Russia wapo na umoja wao wa kujilinda kijeshi
Kwahiyo Ukraine wametii maagizi ya mkubwa. Karibune Ukraine tunawasubiri hapa Belarus. Shart letu la kwanza vijana wenu walioko jeshini washirikiane na wenzao toka Russia.
Waweke silaha chini haraka iwezekanavyo na Ukraine kuanzia leo iwe chini ya Russia.
 
Putin ni muaji mkubwa.
yani wewe ni fala sana, kama unamchukia Putin kwa kuwasikiliza wamarekani lazima uwe na akili kama zako

libya,iran afghanstan, saiv wanamtuhumu urusi ili waonekane ni watu .

Saivi jamaaa anasema makachelo wametumwa ili wamuue hasa watu weusi wakati ni kweli kwamba wanawazuia wasiondoke kwa kuwabagua kama weusi.

Halafu anawachafua kwa kusema wametumwa.
 
Sasa wewe ndezi unaandika NATO + USA Huu ni undezi unaandika kitu usichokijua.
Stupid.
Wewe ni mjinga mkubwa,unatuletea hapa uongo wako ulitaka tukukubalie tu,peleka huko porojo zako kwenye vijiwe vya kahawa.
 
Wewe ni mjinga mkubwa,unatuletea hapa uongo wako ulitaka tukukubalie tu,peleka huko porojo zako kwenye vijiwe vya kahawa.
Nimesema wewe Nyamizi jina lako hilo lina sadifu IQ yako.
Nyamizi ni mtu aliyezaliwa kutokana na dawa za waganga wa kienyeji. Kwa kifupi Nyamizi ni uzao wa ibilisi.
 
war is not a good way to make decision.
dialogue ndio njia pekee ya kupata suluhu.
I urgue Russia to withdraw his troops from Ukrine.....inatosha sana. somo limeeleweka.
 
war is not a good way to make decision.
dialogue ndio njia pekee ya kupata suluhu.
I urgue Russia to withdraw his troops from Ukrine.....inatosha sana. somo limeeleweka.
Mwambie rais wa Ukraine aache comedy. Atiingiza nchi yake kwenye matatizo.

Makubaliano yalikiwepo miaka na miaka yeye anayavunja kirahisi tu. Russia will not withdraw troops in Ukraine, maana Ukraine kwa sasa haaminiki.
 
Tatizo wakenya hamna akili kichwani. Russia ilikuwepo miaka na miaka. Usiifananishe Russia na kibera [emoji23][emoji23][emoji23] Mpaka sasa kenya wanakunya kwenye flying toilet unakuja kubweka humu.

View attachment 2133880

Hata Trump amewashangaa wanampa mtu vikwazo ambaye kashazoea kuwa navyo miaka yote haha
 
Uyu Jana SI alisema ni shujaa kakataa kutoroshwa na marekani na Yuko tayari kufia kwenye nchi yake.

Analia Lia Nini Sasa, au mara hii hataki Tena kujengewa Sanamu Round about?[emoji2]
Kwahiyo ndiyo lengo lenu hilo lá kutaka kumuua?

Ndio maana mnakimbilia nuclear kwasababu kwanjia ya kawaida mmeshamshindwa.
 
Urusi vs Nato nayo hakuna vita?
 
Hichi kitu mimi nilisema kinatakiwa kifanyike law Putin na washauri wake. Huyu mtu ataisumbua dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…