Mwanamkiwi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 2,023
- 2,402
Haitatokea kitu, Putin hana jeshi kwa vita nyingine.Iskanders zaonekana zikielekea Vyborg, mpaka wa Urusi na Finland. https://t.co/hodMCSNdlH
NB I don't what gonna happen
Sema umechukua side ila hauna chembe ya ustaarabu au ubinadamu. Baada ya kupigwa ndio mmeanza kulia. Wacha Russia achapwe sasaSadam alinyongwa na Wairaq, Ghadaffi aliuawa na Walibya wenzake..
Sasa wewe mwizi akuvamie bila sababu alafu useme unazungumza nae kabla ya kumdhibiti?
Na kichapo kinaendelea 👇Sema umechukua side ila hauna chembe ya ustaarabu au ubinadamu. Baada ya kupigwa ndio mmeanza kulia. Wacha Russia achapwe sasa
Uko timamu kichwani????Russia ni Taifa maskini mbele ya Ulaya... Hadi Sasa hakuna objective yoyote aliyofanikiwa tangu aanze vita Donbas.
Pili hakuna direct confrontation kati ya Russia na NATO Hadi Sasa... Na ungesaidia kumsema Putin lini atashambulia Silaha za mataifa ya Ulaya Zikiwa Poland au German.
Tatu Russia mwenyewe anajua hawezi kuhimili vita conventional na West Ndio Maana anatishia Nuclear deterrence, hii situation ni sawa na jambazi amteke raia alafu awe anatishia Police kuwa wakisogea anamuua
Unajua kinachoeldelea Mali ', Congo na Ethiopoa mpenda amaniAfrika tuko na Ukraine hata kama hatujatangaza hadharani..
Namhakikishia bwana Zelensky uungwaji mkono kwa Niaba ya Waafrika wapenda amani na tulaani vikali uvamizi wa Mtoto wa Shetani bwa.Putini 👇
View attachment 2227840
Tuko na UkraineUnajua kinacjoeldelea Mali Congo na Ethiopoa mpenda amani
Afrika ipi inayounga mkono Ukraine?Afrika tuko na Ukraine hata kama hatujatangaza hadharani..
Namhakikishia bwana Zelensky uungwaji mkono kwa Niaba ya Waafrika wapenda amani na tulaani vikali uvamizi wa Mtoto wa Shetani bwa.Putini [emoji116]
View attachment 2227840
Jifariji mkuu the end of Ukraine is near.Afrika tuko na Ukraine hata kama hatujatangaza hadharani..
Namhakikishia bwana Zelensky uungwaji mkono kwa Niaba ya Waafrika wapenda amani na tulaani vikali uvamizi wa Mtoto wa Shetani bwa.Putini 👇
View attachment 2227840
I will fight slowly and calmly to earn slow but steady advances and reduce casualty.Katika watu ambao sina iman nao pro NATO. Nyinyi ndo mlikua mnasema Russia hawez akahimili vita zaid ya week?? Mkaja week2?? Mkaja mwezi?? Sahv naona kimya huu wimbo mmeacha. Mkaja na propaganda ya Russia hana chakula cha kuwapa askari wake mara mafuta. Sahivi mmekuja na wimbo hana uwezo wa kupigana na nchi za ulaya.
Nyie Pro NATO mmeshajazwa propaganda za west nyie ndo mlikua mnasema Russia taifa maskini. Acheni kuichukulia poa Russia, hili taifa kubwa sana. Russia ndo ameshikilia uchumi wa Ulaya na dunia.
Bila shaka dunia imeona Ukubwa na umuhim wa Taifa la Russia duniani. Dunia imeona EU wanamtegemea mrussi, dunia inashuhudia Russia anagawa dozi ukraine changanya na NATO.
Bila kusahau Dunia imeona US ni takataka kwa Russia [emoji635] [emoji38][emoji38][emoji38]
GOD BLESS RUSSIA [emoji635]
Hiyo near toka imenza imeshapita miezi sasa..Jifariji mkuu the end of Ukraine is near.
Tena vitu vizito mnoo.[emoji23][emoji23][emoji23]Pro Russia kama Pro Russia...
Mtu akisoma post zenu anaweza kuhisi kikundi cha watu kimealikana kushauriana nini cha kuzungumza kumbe ni kichwa cha mtu mmoja tu kinashusha vitu. [emoji847]
RUSSIA sio ZIMBABWE [emoji23][emoji3][emoji16]Now hali ngumu wanaanza kulegeza vikwazo wenyewe.
UN Secretary General Guterres proposes to ease restrictions on the export of potash fertilizers from the Russian Federation and Belarus in exchange for the passage of ships with grain from Ukraine.
Bosi hanuniwi [emoji23]
waturuki waliwahi kutawala sehemu kubwa ya ulaya, mpaka sasa bado wana ndoto hizo.Haeleweki ni mnyama au ni ndege😁🤣☝️
Hahah we subiri tu mkuu,Muda si mrefu warussi tutakuja tunasikitika hapa kwa atakachofanya Turkey.Haeleweki ni mnyama au ni ndege😁🤣☝️
[emoji23][emoji16][emoji3][emoji23][emoji23]Tuwe tunaweka akiba ya Maneno, huyu Commander alikuwa na mdomo sana leo hii kiko wapi.
Kakonda kachoka, ndevu uso mzima. Wanatia huruma kwa kweli.
View attachment 2227404View attachment 2227406
Achana nae huyo hamtafikia muafaka!!!!!Hapana. Russia uwezo wa kupigana na NATO anao, hii ameionesha dhahiri kwenye vita yake na Ukraine. Kama kweli NATO hawamuogopi Putin kwa nini hawatoi support 100/% kwa Ukraine?
RUSSIA sio ZIMBABWEKatika watu ambao sina iman nao pro NATO. Nyinyi ndo mlikua mnasema Russia hawez akahimili vita zaid ya week?? Mkaja week2?? Mkaja mwezi?? Sahv naona kimya huu wimbo mmeacha. Mkaja na propaganda ya Russia hana chakula cha kuwapa askari wake mara mafuta. Sahivi mmekuja na wimbo hana uwezo wa kupigana na nchi za ulaya.
Nyie Pro NATO mmeshajazwa propaganda za west nyie ndo mlikua mnasema Russia taifa maskini. Acheni kuichukulia poa Russia, hili taifa kubwa sana. Russia ndo ameshikilia uchumi wa Ulaya na dunia.
Bila shaka dunia imeona Ukubwa na umuhim wa Taifa la Russia duniani. Dunia imeona EU wanamtegemea mrussi, dunia inashuhudia Russia anagawa dozi ukraine changanya na NATO.
Bila kusahau Dunia imeona US ni takataka kwa Russia [emoji635] [emoji38][emoji38][emoji38]
GOD BLESS RUSSIA [emoji635]