T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Nikikuita mpumbavu nitakosea? Wapi nilisema Russia hana mji hata mmoja@T14 Armata anasema kwamba RUSSIA hajatwaa hata mji mmoja huko UKRAINE toka aanzishe OP
Ama kweli mapenzi yakizidi chongo huitwa kengeza!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Spidi ya mwanga unaijua lakini?US Yajaribu kombora la Hypersonic lenye speed mara 5 zaidi ya speed ya mwanga[emoji848]
US tests hypersonic weapon with speeds 'five times greater than the speed of sound'
The test, which was conducted in the Pacific off the coast of California, comes just weeks after the UK, US, and Australia agreed to work together on hypersonic and anti-hypersonic weaponry.news.sky.com
Malizia kabisa uwaite masters of urban warfare against Russia. Huo umaster waliupata walipopigana na Russia
Nani kasema?......Malizia kabisa uwaite masters of urban warfare against Russia. Huo umaster waliupata walipopigana na Russia
Yaani Wewe umekaa mashenzini huko unakula kiti moto unadhani ni mwerevu kuliko Watu woote mil 144 pale Urusi hawaoni hatari inayoikabili nchi yao wala chochote..Let me tell you...Unajua kidogo sana kuhusu Urusi..wanazo Plan zote zingine ungejua utalia na kujamba...Ogopa sana hii Sio Zimbabwe....Hii Inaitwa Russia Federation....Nato ipigane vita vya muda mrefu tu mpaka mrusi achoke ndio dawa yake wazidi tu kupeleka silaha Ukraine bila kuchoka hii itaathiri maisha ya watu wa Russia watachoka tu siku moja nato isikate tamaa AT NO LONGER A GIANT RUSSIA WILL SURRENDER...! And at that time it shall be a good time to divides Russia and collapse it totally, no good chance the western had than this time"
Aliyesema ni mimi.Nani kasema?......
First chenchen war ni lini na Second ilitokea lini?
Rafiki zetu tunawakumbusha mahaba yakizidi yanawafanya mnakuwa wapumbafu.US Yajaribu kombora la Hypersonic lenye speed mara 5 zaidi ya speed ya mwanga[emoji848]
US tests hypersonic weapon with speeds 'five times greater than the speed of sound'
The test, which was conducted in the Pacific off the coast of California, comes just weeks after the UK, US, and Australia agreed to work together on hypersonic and anti-hypersonic weaponry.news.sky.com
UK is disintegrating. UK imekua irrelevant kabisa.View attachment 2227980
Scotland's First Minister Nicola Sturgeon announced tentative plans to hold an independence vote in 2023 as residents remain displeased about the U.K. leaving the EU, the Associated Press reported.
She also spelled out her firm belief that Scotland must join NATO and the EU if the country votes for independence.
Nani aliwafanya kuamini hadithi hizo??? Putin alijarubu kumaliza haraka hivyo aliagiza kiwanja cha ndege Hostomel kushambuliwa siku ya kwanza ila waliandaahovyo hivyo kikosi cha Speznaz walikufa bure.... Alijaribu kumkamata Zelenski siku ya pili waliandaa hovyo, Zelenski alichukuliwa na walinzi wake akawa salama. Alijaribu kukamata mji mkuu wa Kyiv waliandaa hovyo hivyo walipoteza vifaru na askari kibao . . . Hakupunguza chochote, mji wa Mariupol alisagasaga kwa mizinga yake hadi kuua watu raia 30,000 wengi kuliko Wajerumani wakati wa vita kuu ya pili.I will fight slowly and calmly to earn slow but steady advances and reduce casualty.
Putin anataka vita iende taratibu kama Nato walivyotaka ili kuonyeshana makali . Hapo anataka miezi ya baridi ifike maadui wafe wenyewe kwa bàridi KGB HUYO
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
SorrySpidi ya mwanga unaijua lakini?
Kitu kidogo kurekebisha unaandika hotuba ndefu hivyo.Yaelekea wewe ni mzaramo mswahili wa mwanaromango😡Rafiki zetu tunawakumbusha mahaba yakizidi yanawafanya mnakuwa wapumbafu.
Unaelewa maana ya Sonic kweli? Sonic ni Sound sio mwanga kijana, sehem ya kwanza hiyo ushafail. Ila ngoja tukuelimishe, Hypersonic Missile ni Kombora lenye speed kubwa kuliko speed ya sauti.
Hilo mosi, Pili Em tueleze Sound ina speed kuliko mwanga? Unaijua speed ya light' wewe? Ukubwa wa Speed ya mwanga uizidishe mara 5 kweli? Mna akili gani nyie wenzetu [emoji23]
Speed ya mwanga ni 300,000KM per Second, ukisema Mara 5 zaidi ya hiyo speed maana ake ni 1,500,000KM per second, Umesoma Physics wewe?
Boy Hakuna known object hadi leo hii inaeza safiri kwa speed ya mwanga ya 300,000KM per second seuze mara 5 yake [emoji23]... ile ukisikia ati "Faster than light" elewa kua ni msemo kama misemo mingine.
Unajua the longest distance between two pint kwenye hii dunia ni kiasi gani? Bila shaka ungeijua usingetuletea hizi pumba ulizozileta.
Ngoja nikupe mfano, kutoka Moscow to Washington ni 7,816KM... kwa hiyo speed unayotudanganya kwayo maana ake hilo kombora likipigwa linaweza tembea toka point of detonation umbali wa Washington hadi Moscow Mara 192 ndani ya sekunde 1. Ata chizi fresh ukimwambia hakubali.
Eeeeh huyo ndio Pro NATO kama Pro NATO...
Kudanganya danganyeni lakini walau muongope karibu kiasi kwenye uhalisia. Mnaboa sana m@7ae...
makelele hiyo kuhusu "hyper/supersonic missiles" ni bure. Nimeuliza mara kadhaa mtu anitajie kombora kubwa ambayo SI hypersonic 8ufafanuzi ni angalau mara tano kasi ya sauti hewani). Sijui kombora inagonga shabaha chini ya kasi hiyo. Hata bibi wa roketi V2 ya Ujerumani ya mwaka 1944 ilifikia kasi hiyo.Rafiki zetu tunawakumbusha mahaba yakizidi yanawafanya mnakuwa wapumbafu.
Unaelewa maana ya Sonic kweli? Sonic ni Sound sio mwanga kijana, sehem ya kwanza hiyo ushafail. Ila ngoja tukuelimishe, Hypersonic Missile ni Kombora lenye speed kubwa kuliko speed ya sauti.
Hilo mosi, Pili Em tueleze Sound ina speed kuliko mwanga? Unaijua speed ya light' wewe? Ukubwa wa Speed ya mwanga uizidishe mara 5 kweli? Mna akili gani nyie wenzetu [emoji23]
Speed ya mwanga ni 300,000KM per Second, ukisema Mara 5 zaidi ya hiyo speed maana ake ni 1,500,000KM per second, Umesoma Physics wewe?
Boy Hakuna known object hadi leo hii inaeza safiri kwa speed ya mwanga ya 300,000KM per second seuze mara 5 yake [emoji23]... ile ukisikia ati "Faster than light" elewa kua ni msemo kama misemo mingine.
Unajua the longest distance between two pint kwenye hii dunia ni kiasi gani? Bila shaka ungeijua usingetuletea hizi pumba ulizozileta.
Ngoja nikupe mfano, kutoka Moscow to Washington ni 7,816KM... kwa hiyo speed unayotudanganya kwayo maana ake hilo kombora likipigwa linaweza tembea toka point of detonation umbali wa Washington hadi Moscow Mara 192 ndani ya sekunde 1. Ata chizi fresh ukimwambia hakubali.
Eeeeh huyo ndio Pro NATO kama Pro NATO...
Kudanganya danganyeni lakini walau muongope karibu kiasi kwenye uhalisia. Mnaboa sana m@7ae...
Kama humjui wewe umejuaje unamzidi akili?Kwa akili nina kuzidi mbali sana sana, ni bahati hatujuani ndugu
sio mbaya mnawagonga facts huku mnawapa na elimu kidogoRafiki zetu tunawakumbusha mahaba yakizidi yanawafanya mnakuwa wapumbafu.
Unaelewa maana ya Sonic kweli? Sonic ni Sound sio mwanga kijana, sehem ya kwanza hiyo ushafail. Ila ngoja tukuelimishe, Hypersonic Missile ni Kombora lenye speed kubwa kuliko speed ya sauti.
Hilo mosi, Pili Em tueleze Sound ina speed kuliko mwanga? Unaijua speed ya light' wewe? Ukubwa wa Speed ya mwanga uizidishe mara 5 kweli? Mna akili gani nyie wenzetu [emoji23]
Speed ya mwanga ni 300,000KM per Second, ukisema Mara 5 zaidi ya hiyo speed maana ake ni 1,500,000KM per second, Umesoma Physics wewe?
Boy Hakuna known object hadi leo hii inaeza safiri kwa speed ya mwanga ya 300,000KM per second seuze mara 5 yake [emoji23]... ile ukisikia ati "Faster than light" elewa kua ni msemo kama misemo mingine.
Unajua the longest distance between two pint kwenye hii dunia ni kiasi gani? Bila shaka ungeijua usingetuletea hizi pumba ulizozileta.
Ngoja nikupe mfano, kutoka Moscow to Washington ni 7,816KM... kwa hiyo speed unayotudanganya kwayo maana ake hilo kombora likipigwa linaweza tembea toka point of detonation umbali wa Washington hadi Moscow Mara 192 ndani ya sekunde 1. Ata chizi fresh ukimwambia hakubali.
Eeeeh huyo ndio Pro NATO kama Pro NATO...
Kudanganya danganyeni lakini walau muongope karibu kiasi kwenye uhalisia. Mnaboa sana m@7ae...
inabidi umlipe kwa elimu aliyokupa bureAprry
Sorry
Speed ya sauti
Kitu kidogo kurekebisha unaandika hotuba ndefu hivyo.Yaelekea wewe ni mzaramo mswahili wa mwanaromango😡
Wakati wao wanafanya testing, Russia yeye anayo mengi tu na ameshayatumia sana Kwenye battlefieldUS Yajaribu kombora la Hypersonic lenye speed mara 5 zaidi ya speed ya sauti [emoji848]
US tests hypersonic weapon with speeds 'five times greater than the speed of sound'
The test, which was conducted in the Pacific off the coast of California, comes just weeks after the UK, US, and Australia agreed to work together on hypersonic and anti-hypersonic weaponry.news.sky.com
US Yajaribu kombora la Hypersonic lenye speed mara 5 zaidi ya speed ya sauti [emoji848]
US tests hypersonic weapon with speeds 'five times greater than the speed of sound'
The test, which was conducted in the Pacific off the coast of California, comes just weeks after the UK, US, and Australia agreed to work together on hypersonic and anti-hypersonic weaponry.news.sky.com
Most of Chenchen forces leo hii kama bado wapo ni wale waliopigana dhidi ya magaidi kwenye Second war.....Aliyesema ni mimi.
Hayo maswali yako yanabisha kwamba Chechens hawakupigana na Russia kwenye urban warfare?