Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Subiri waje wale kama Urusi mbabe ingie ndani ya hicho kiwanda[emoji23][emoji1787][emoji1787], hii mijamaa haitaki kusikia habari kama hiziBaada ya majeshi ya Urusi kuamua kutowaingilia kwenye mahandaki yao ila kuwazuia wasitoke, hatimaye baada ya kuona wameishiwa na silaha na chakula serikali yao imewaamru wasalimu amri. Hapo wametoka kama wafungwa wa kivita. Wagonjwa wamepelekwa kutibiwea.
Azam tv haijasajiliwa Tanzani.Wakubwa zake [emoji23]
Bongo kuna matajiri vivuli wengi sana.
Hakuna sababu ya kuingia huko!! Urusi ndio waliohusika kujenga ngome ya ajabu chini ya kiwanda hicho. Wanajua mtu akiwa huko huwezi kumwingilia ukabaki salama!! Kinachofanyika ni kuwazuia wasitoke mwisho wa siku wameishiwa na chakula! watakaokaidi kusalimu amri watajifia humo! Huyo ngome iliyojengwa wakati wa USSR inauwezo wa kuhimili hata bomu la nyuklia!! Huko urusi ngome za hivyo ni nyingi sana!Subiri waje wale kama Urusi mbabe ingie ndani ya hicho kiwanda[emoji23][emoji1787][emoji1787], hii mijamaa haitaki kusikia habari kama hizi
Yeah majeshi ya Urusi yaliamrishwa yasiingie yawaache wapuuzi hawa wajifie humoHakuna sababu ya kuingia huko!! Urusi ndio waliohusika kujenga ngome ya ajabu chini ya kiwanda hicho. Wanajua mtu akiwa huko huwezi kumwingilia ukabaki salama!! Kinachofanyika ni kuwazuia wasitoke mwisho wa siku wameishiwa na chakula! watakaokaidi kusalimu amri watajifia humo! Huyo ngome iliyojengwa wakati wa USSR inauwezo wa kuhimili hata bomu la nyuklia!! Huko urusi ngome za hivyo ni nyingi sana!
😂😂😂‼️nataka nibadilishe username yangu, nitumie username ya javelin. slava ukraine.
Na sio kutumia tuu,bali hata kuyazuia anaweza. Sasa huyo baba wa ushoga akimaliza majaribio,aanze utafiti wa kujikinga huenda ikamchukua miaka mingiWakati wao wanafanya testing, Russia yeye anayo mengi tu na ameshayatumia sana Kwenye battlefield
Mkaza fuvuVikosi vya Urusi Donbas vyarudi nyuma baada ya kuripotiwa askari Moja kati ya watu wafariki vitani ukraine 💪
Vladimir Putin's battered troops scale back offensive on Donbas
VLADIMIR PUTIN's troops have scaled back their offensive in the Donbas after Russia reportedly lost one in three soldiers.www.express.co.uk
Kama angekuwa hajakariri si angepata ajira huko Lockheed Martin?🤔Hola hola @Galip Vrl tunaambiwa umekariri vya Form 2 hapa