Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Timu Putin Dunia nzima ni watu wenye akilia ,wastaarabu na waungwana sana.
Hongera kwa kua na baba muelewa.
 
Nimekua nikifatilia kwa karibu reports zinazotolewa kwenye vyombo vya habari vya magharibi kuhusu taarifa za hapo Azovstal.

Nilichokiona ni kua wamekua wakifanya juhudi kutumia maneno kama Exchange, extract, evacuate na transfer📝😂
 
 
Hola hola my people, all wonderful words to use when trying to avoid that one word ... surrender.
 
Soon Russia itafilisika na kule G8 alikuwa anabebwa Ili ajiimarishe kiuchumi na alikuwa anapewa mikopo bei nafuu.

Muda wowote atakuwa masikini
 
Tunashabikia vita inayotuathiri kiuchumi vibaya and in a long run tutaumia zaidi kwa msimamo wetu wa kujifanya neutral, nchi za Baltic zimetusaidia mno nasi tunajifanya neutral, vita hii ikiisha ndio tutaelewa na kujuta kwa kosa hili,ningekua no 1 vita hii ningewalaumu Russia kwa uvamizi na ningeungana na western countries to condemn Russia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wale panya
 
View attachment 2228373nakumbuka urusi alisema mwaka huu kombe la dunia linaweza lisifanyike baada ya timu ya urusi kutolewa na FIFA

Mimi naona Bora alivyoacha kushiriki maana naona kampeni ya mashoga tu
Hadi kichef chefu, hapa nasubir kuona solidarity ya waarabu kama kweli wana misimamo ya tamaduni zao.

Dah hii ndio Democracy inayolazimishwa duniani. Af nashangaa kwanini Recently hii mambo inapigiwa chapuo wazi wazi tena kwa nguvu mno... kuna nini?
 
Katika mtu ambaye duniani sio wa kumwamini ni mwanasiasa.leo kabadilisha kabisa maneno yake
zelensky alisema wataupambania mji wa mariupol hata kama itachukua miaka 10 lakini hawatojisalimisha kwa adui. wanasiasa wana akili za kuku, anachokipinga asubuhi ndicho atakachokifanya mchana
 
Ebu nipe namba za mdingi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…