Ingekuwa hao ni Urusi wamedakwa,hizo kelele huko BBC ingekuwa balaaa!View attachment 2228388View attachment 2228389View attachment 2228390
NO,THIS IS NOT A SCHOOL BUS,BUT WESTERN MEDIA WILL SHOW THEM AS SCHOOL BUSES...
EXPECT WESTERN MEDIA TITLE "STUDENTS ARE BEING EVACUATED FROM AZOVSTAL TO CONTINUE THE STUDIES IN SIBERIA WINTER CAMPS"
picha namba 1 medvedev anamwambia putin: muheshimiwa yale mafuta ya nazi kutoka zanzibar yameshafika#Caption Challenge to Pro Russia,
Wadau karibuni tufurahi, tushindane kutoa Caption ya hizi picha mbili, kesho tutangaza mshindi kutokana na wingi wa reactions kwenye Caption yake.
Picha ya kwanza
View attachment 2228449
Picha ya pili
View attachment 2228451
Hint: Caption ziwe sentence 2.. First one iwe kama kwenye picha, Putin akimwambia jambo Medvedev, then on the second Caption iwe kama ilivo picha ya pili, a "Medvedev reply" to Vladimir Putin.
This is for funny, Taarifa bila wadhamini haipendezi. Ok karibuni π€
picha namba 2 putin anamjibu kiutani: hayo mambo unayoyawaza anafanyiwa biden, hayo mafuta yangu nitayatumia kwa massage#Caption Challenge to Pro Russia,
Wadau karibuni tufurahi, tushindane kutoa Caption ya hizi picha mbili, kesho tutangaza mshindi kutokana na wingi wa reactions kwenye Caption yake.
Picha ya kwanza
View attachment 2228449
Picha ya pili
View attachment 2228451
Hint: Caption ziwe sentence 2.. First one iwe kama kwenye picha, Putin akimwambia jambo Medvedev, then on the second Caption iwe kama ilivo picha ya pili, a "Medvedev reply" to Vladimir Putin.
This is for funny, Taarifa bila wadhamini haipendezi. Ok karibuni π€
Umejuaje hayo?Au wewe ni mtu wa Karibu wa Putin?Kwa hivyo Mr Tyang whatever ,word/ opinion is gospel truth? Putin has miscalculated big the worlds reaction to his unprovoked invasion of Ukraine. Leo yupo Kremlin anajuta uvamizi.
Duniani kuna vituko sana.
Hapa bongo tuna matatizo kama ya Urusi na Ukraine. Wacha tumelize kwanza yetu. Hao wameshiba.Haikubaliki kama kweli ukraine inapewa misaada na USA na UK ya silaha halafu silaha hizo zinapiga miji ya Russia basi Russia anapigana vita ya haki. Ana haki ya kuipiga ukraine yote na kuiteka nzima nzima kwasababu tayari rafiki wa adui yako ni adui yako pia. Imagine ingekuwaje kama russia anatoa misaada kwa Cuba au venezuela ili vinchi hivi viipige miji ya hawaii nebraska iowa atlanta alabama michigani milwaukee nk je USA angekubali? Nahalalisha kusema hii ni vita ya haki kwa russia.
Trophy hizoWaziri mkuu wa uingereza akagua silaha zinazopelekwa ukraine....
Weapons continue being sent to Ukraine in support of their defence.
https://www.facebook.com/
Kwahiyo wewe hauamini kwamba βUkraine is a sovereign nationβ?Haikubaliki kama kweli ukraine inapewa misaada na USA na UK ya silaha halafu silaha hizo zinapiga miji ya Russia basi Russia anapigana vita ya haki. Ana haki ya kuipiga ukraine yote na kuiteka nzima nzima kwasababu tayari rafiki wa adui yako ni adui yako pia. Imagine ingekuwaje kama russia anatoa misaada kwa Cuba au venezuela ili vinchi hivi viipige miji ya hawaii nebraska iowa atlanta alabama michigani milwaukee nk je USA angekubali? Nahalalisha kusema hii ni vita ya haki kwa russia.
[emoji23][emoji23][emoji23] Ngoja nijaribu#Caption Challenge to Pro Russia,
Wadau karibuni tufurahi, tushindane kutoa Caption ya hizi picha mbili, kesho tutangaza mshindi kutokana na wingi wa reactions kwenye Caption yake.
Picha ya kwanza
View attachment 2228449
Picha ya pili
View attachment 2228451
Hint: Caption ziwe sentence 2.. First one iwe kama kwenye picha, Putin akimwambia jambo Medvedev, then on the second Caption iwe kama ilivo picha ya pili, a "Medvedev reply" to Vladimir Putin.
This is for funny, Taarifa bila wadhamini haipendezi. Ok karibuni [emoji847]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Turkey wanajua kutumia Fursa
[emoji779]οΈBloomberg published Turkey's demands for approval of Sweden and Finland joining NATO:
[emoji835] Declaration by Sweden and Finland of the Kurdistan Workers' Party and its derivatives as terrorist organizations;
[emoji835] Approval of a new package of purchases of F-16 fighters;
[emoji835] Re-entry into the F-35 fighter program;
[emoji835] Lifting of the arms embargo;
[emoji835] Lifting of sanctions against the S-400 air defense system.
Alafu anatokea pimbi mmoja anasema Russia anachapikaView attachment 2228344
Putin : Oyaa ! Nisikilize basi na nmimi si wale panya wameshaanza kufufuka kutoka shimoni.#Caption Challenge to Pro Russia,
Wadau karibuni tufurahi, tushindane kutoa Caption ya hizi picha mbili, kesho tutangaza mshindi kutokana na wingi wa reactions kwenye Caption yake.
Picha ya kwanza
View attachment 2228449
Picha ya pili
View attachment 2228451
Hint: Caption ziwe sentence 2.. First one iwe kama kwenye picha, Putin akimwambia jambo Medvedev, then on the second Caption iwe kama ilivo picha ya pili, a "Medvedev reply" to Vladimir Putin.
This is for funny, Taarifa bila wadhamini haipendezi. Ok karibuni π€
Labda wewe na familia yako ,usitu semee tusio yataka binafsi Mimi siungi mkono ,na nipo nyuma ya jemedari Putin ,Afrika tuko na Ukraine hata kama hatujatangaza hadharani..
Namhakikishia bwana Zelensky uungwaji mkono kwa Niaba ya Waafrika wapenda amani na tulaani vikali uvamizi wa Mtoto wa Shetani bwa.Putini π
View attachment 2227840
Urraaaah,panya rodi wanyofolewa shimoni na π·πΊπ·πΊπ·πΊπͺππMambo magumu kwa wanajeshi walio 'hoi' wa Ukraine huko Azovstal https://bbc.in/3PrV98W
Ma inzi yamepewa status ya terrorist's sio POWA ( Prisoners of War) Wana hali ngumu hawa waliwaua sana Russian speakers Wana kesi ngumuLabda wewe na familia yako ,usitu semee tusio yataka binafsi Mimi siungi mkono ,na nipo nyuma ya jemedari Putin ,
Ni swali la kujiuliza sana,kuna nini nyuma ya pazia?, Hii inawezekana zile hadithi za us kutumia mashetani wakuu katika majukumu yao ya future moja ya maagano walio wekeana ni haya.Kwa maana haingii akilini kinyume na hapo.Hadi kichef chefu, hapa nasubir kuona solidarity ya waarabu kama kweli wana misimamo ya tamaduni zao.
Dah hii ndio Democracy inayolazimishwa duniani. Af nashangaa kwanini Recently hii mambo inapigiwa chapuo wazi wazi tena kwa nguvu mno... kuna nini?
1 Mkuu unaupiga mwingi mapaka panyarodi wamesarenda wenyewe#Caption Challenge to Pro Russia,
Wadau karibuni tufurahi, tushindane kutoa Caption ya hizi picha mbili, kesho tutangaza mshindi kutokana na wingi wa reactions kwenye Caption yake.
Picha ya kwanza
View attachment 2228449
Picha ya pili
View attachment 2228451
Hint: Caption ziwe sentence 2.. First one iwe kama kwenye picha, Putin akimwambia jambo Medvedev, then on the second Caption iwe kama ilivo picha ya pili, a "Medvedev reply" to Vladimir Putin.
This is for funny, Taarifa bila wadhamini haipendezi. Ok karibuni