Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298]️Dissatisfaction with participation in combat operations is growing among the Russian troops.

The Russian militaries are increasingly refusing to carry out orders to conduct combat operations in Ukraine.

According to Ukraine's military Intelligence, despite covert sabotage, several units have already openly refused to take part in the war and demanded to be returned to their places of permanent deployment. The most active servicemen demanding return to Russian territory were sent to the most dangerous sector of the front.
 
Halafu baadaye utasikia wanalia wanaomba UN na Red Cross wawasaidie watoke salama!
Ukraine siwaelewielewi na hizi propaganda za kitoto!
 
Na waliopotea Ukraine ni kiasi gani?Mbona hizo takwimu hazitoki?
Ukraine Kuna idadi ya vifo vya wanajeshi inapunguzwa na kuwekwa kwenye kundi la Civilians!😂
 
Ila TURKEY [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Propaganda isiyo na maana kabisa...
 
Ila hadi exchange ifanyike mengi yatatokea, na inaonekana kuna Warusi wengi wako kifungoni, maana Ukraine isingekubali exchange kama haina wajeda wengi wa Urusi
Ile sio exchange ni surrender. Jamaa kawatwanga na cluster bombs na wakajua hawaponi. Na mwisho wangepigwa na phosphorus bomb hilo joto wasingehimili.
Mwisho failure to capture snake Island imewatisha kuwa wasingeweza kuwaokoa jamaa zao kwenye mahandaki.
Kwa taarifa yako Ukraine alikuwa akipata mateka hawaachi hai. Muulize anao wangapi mpaka sasa.
 
Nenda kwenye hoja kwanini putini ni mdhaifu sasa mwezi wa 3 anaogopa vita vya ardhini anarusha makombora kutoka urusi tu ama akiwa black sea?? tuliaminishwa putini ni mkali sana wa vita
 
Hii Kali nimeipenda zaidi
 
Nenda kwenye hoja kwanini putini ni mdhaifu sasa mwezi wa 3 anaogopa vita vya ardhini anarusha makombora kutoka urusi tu ama akiwa black sea?? tuliaminishwa putini ni mkali sana wa vita
Hii ni operation,wewe hayo ya vita umetoa wapi?
Pili,hivi kilikuwa na makubaliano kwamba operation hii zitatumika risasi tu?
Ingekuwa hivyo,US angekuwa anachapika kila anakokwenda!Military battle Kwa Sasa ni machines,mwenye nazo ndio mwenye nguvu!
 
Pro NATO wanashida sanaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka sasa Ukraine imepoteza majimbo ya uzalishaji kwa ukubwa na bandari na wanajeshi wengi sana,Hilo unalisemeaje mkuu?😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…