Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Pale kuna makubaliano yaliyokwisha fikiwa kati ya Urusi na Ukraine kwa kuratibiwa na UN.
Kutakuwa na kubadilishana hao askari na mateka wa askari wa Urusi walioko mikononi mwa Ukraine
Ukraine alikuwa anawapoteza mateka wa kirusi atabadilishana na nani?
Mbili wale majenerali watabadilishana na nini.
Wale wanapelekwa Arctic kujenga mahandaki
 
Sasa Shoga anapofumuliwa marinda unategemea anyamaze?
 
Inavyoonekana mjamaa alikuwa amejipanga za chini, sasa kabadilishiwa za juu na hawezi kukinga ngumi nzito. Anafundishwa adabu ipasavho
 
Ila hadi exchange ifanyike mengi yatatokea, na inaonekana kuna Warusi wengi wako kifungoni, maana Ukraine isingekubali exchange kama haina wajeda wengi wa Urusi
Hao mateka wamepewa status ya militia / terrorist's. Sio POW. Hawana hadhi ya Geneva convention. Mashtaka dhidi yao yanaandaliwa Yataandaliwa Donestic kwenye sheria ya kuaaa

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Mkaza fuvu kazini!
 
Mmekama mtoto wa ki Russia mmemvalisha gwanda mathako nyie!
alafu mmemlisha maneno?
 
Nikikuita mpumbavu nitakosea? Wapi nilisema Russia hana mji hata mmoja
Utakosea sana tena zaidi ya sana sababu huo uloniita utakurejelea mwenyewe MKUU tena utakua umejikosea mwenyewe
Tokea juzi sijatulia ila nikitulia nitautafta ule uzi nikuletee huo unaouita UPUMBAVU wako MKUU
Jamaa umekuaje wewe[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pale kuna makubaliano yaliyokwisha fikiwa kati ya Urusi na Ukraine kwa kuratibiwa na UN.
Kutakuwa na kubadilishana hao askari na mateka wa askari wa Urusi walioko mikononi mwa Ukraine
Unajidanganya mwenyewe...hakuna makubaliano Kama hayo...Hao ni Askari waliokuwa wamezingirwa Tena basi basi Askari wenyewe ni Azov ambao itikadi yao ni Nazism...Bunge la Russia litapitisha sheria kuwa hao ni magaidi ambao watashitakiwa na adhabu yao ni kifo...
Pro-NATO msipende kupotosha issues kwenye vita au opresheni hii...Watu wengi duniani wanajua what is going on in Ukraine...They know Western media is on disinformation campaign and propaganda in favour of Ukraine and the Western interests...the west are murderers...Now it is known fact..
 
Ila hadi exchange ifanyike mengi yatatokea, na inaonekana kuna Warusi wengi wako kifungoni, maana Ukraine isingekubali exchange kama haina wajeda wengi wa Urusi
Ni jambo LA kawaida sana kwenye vita,ila Putin ameteka waukrain wengi sana,pia wapo mataifa mbalimbali walio tekwa na mrusi,hao ndio shida ilipo mfano Wa us.
 
kwa nini hawaharibu miundombinu yote ya kwenda Poland maana ndiko siraha zinakopokelewa
 
Ungempa na kibao kwakumpa elimu ya bure huyo kijana
NATO wanakurupuka sana aseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa mafukara wanapata wapi hizi pesa!!!??
Au hizi pesa wanakopa[emoji4][emoji4][emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taifa teule[emoji4][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pale kuna makubaliano yaliyokwisha fikiwa kati ya Urusi na Ukraine kwa kuratibiwa na UN.
Kutakuwa na kubadilishana hao askari na mateka wa askari wa Urusi walioko mikononi mwa Ukraine
Waache waamini hivo
 
Video gani MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…