Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
Shevchenko katika ubora wako!Maneuver warfare, hii mbinu moja wapo kwani supremacy ya vikosi vya urusi vitakuwa challenged, kukataa kusurrender kunamaanisha kitu probably wamehakikishiwa msaada na vikosi vya silaha za msaada. Inaonekana wazi askari waliogoma bado wake kwenye defence line na fighting unit zao zinaweza kujibu mapigo. Kama wangekuwa wamezingirwa it means wanakuwa kwenye killing zone haina haja ya kuwaambia wajisalimishe wao wenyewe wataweka silaha chini. Vita ina level tatu yaani physical level, psychological level na analytical level, under this section makamanda wao watakuwa wamefanya analysis na kuona kuwa wanaweza kuendeleza mapigo licha ya kuzidiwa wingi wa askari. Personally, nawasifu askari wa ukraine ni wanaume haswaa wenye pumbu za chuma sio mchezo kuhimili supremacy ya jeshi kubwa kama la urusi.
Hizi kwa Russia ni takataka. Watapewa mafioso wa America Kusini /drugs cartel wazitumie kwenye vita vyao vya makundi na ikiwezekana Marekani washambuliwe nazo kupitia Mafia CartelsHivi hizi Javelins zinatumikaje?
Inawezekana kweli Russians nao wakazitumia au zinaprogram ya tofauti.
Wajuzi tafadhari msaada.
U a wlcmeTunatuma mengine tena
Unahabari kila siku wanajisalimisha magaidi yenu huko, ndio ujue hizo habari hakuna, ni mwendo wa kipigo au unyoshe mikono juuRamani ya lini hiyo khakviy Isha kombolew bado ruhaski na donesk na mariopol
Mpuuzi sana Zelensiky, analetewa vyuma chakavu halafu yeye anawapa ngano na msimu huu hajalima chochote West wanakomba ngano!!! 2014 kipindi cha Euromaidani wakiwa na Poroshenko na Waziri Mkuu Asenyuky, Ukraine iliibwa na Ulaya magharibi lundo la dhahabu!!! Yaani hawatii akili hawa jamaa!Fala kweli huyu,nayeye arushe kwani Kuna mtu anamzuia!?si NATO na marekani walimletea mi missiles,au wamemuuza kwa mala ya pili kwa kufungashia vyuma chakavu ![emoji23]!Huyu ndo raisi kiazi dunia nzima .nashindwa kuamini Kama wa Ukraine walimchagua kwa kupenda!huyu ni rais wa michongo bila shaka!!
Unaniangusha rafiki angu....Nakukosoa kidogo mkuu hapo kwenye speed of light ni 300,000,000 m/s au kama tulivyokuwa tunaandika school 3×10^8 au 3E8.
Ila ni ukweli hakuna kitu kinachokaribia speed ya mwanga kwenye hii known universe.
Wacha weeeeeeh!
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyote mko sawa,kisiju pwani utakuwa hujaona vizuri Unit aliyotumia Galip Vrl , zero tatu kapunguza kwa neno 'Kilo'.Nakukosoa kidogo mkuu hapo kwenye speed of light ni 300,000,000 m/s au kama tulivyokuwa tunaandika school 3×10^8 au 3E8.
Ila ni ukweli hakuna kitu kinachokaribia speed ya mwanga kwenye hii known universe.
Hahahaha [emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787] oyaaa umenichekesha sana, eeeee na yeye si arushe kuelekea Moscow [emoji1787] kwani kuna shida gani[emoji16], asituzingue hapaFala kweli huyu,nayeye arushe kwani Kuna mtu anamzuia!?si NATO na marekani walimletea mi missiles,au wamemuuza kwa mala ya pili kwa kufungashia vyuma chakavu ![emoji23]!Huyu ndo raisi kiazi dunia nzima .nashindwa kuamini Kama wa Ukraine walimchagua kwa kupenda!huyu ni rais wa michongo bila shaka!!
[emoji23][emoji23][emoji23] brilliant tactical maneuver... Manyuva nyuuuva ha haView attachment 2229733
[emoji91][emoji91][emoji91]This is not a surrender, but a tactical maneuver“[emoji91][emoji91][emoji91]
Aisee...!!! Na waliambiwa mapema wajisalimishe wakaziba masikio!There are about 16,000 Ukrainian troops who are surrounded by Russians and the Luhansk militias in the Severodonetsk area.
It looks like Zelensky will have to organise another “evacuation”.
Yes jomba, tumepishana kidogo tu ila tumeelewana.Nyote mko sawa,kisiju pwani utakuwa hujaona vizuri Unit aliyotumia Galip Vrl , zero tatu kapunguza kwa neno 'Kilo'.
300,000,000Meter ni sawa sawa na 300,000Kilometer.
Husikii analialia kuwa atakayeisaidia Ukraine ni makosaHuyu naye haishi kulialia?Mbona mwenzake Yuko kimya anakimbiza mwizi kimya kimya?Vita ni mbinu,sasa unampangia mpigane Kwa kurushiana risasi na mabomu ya mkono wakati wewe umechimba mashimo na kujificha ukisubiri asogee ndio umshambulie Kwa kushtukiza!
Jamaa kwani huwa anafanyaje yaani wanashambulia bila makamanda wao kujua kuwa wanazungukwa?????🤣🤣🤣🤣🤣 Kama ni kweli basi ni pigo kubwa Kwa NATO, kuna kila dalili NATO na USA kuingia Ukraine mazima, maana kila wanavyomvuta urusi Kwa kumchokoza jamaa anawakwepa kusudi halafu anawaumiza pakubwaThere are about 16,000 Ukrainian troops who are surrounded by Russians and the Luhansk militias in the Severodonetsk area.
It looks like Zelensky will have to organise another “evacuation”.