Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wapumzisheni WaNato jamani wajipe faraja hata kidogo ....kila wakianzisha kauzi kao ka kujifariji bado mnawagonga spana🤣🤣🤣🤣
 
Urusi kupiga Mariupol ni sawa na kuendelea kupiga Mochwari kisha kujisifu umeua.

Ukraine wanakomboa mji mmoja baada ya mwingine na huko Mariupol itafika zamu yake ya kukombolewa.

Kharkiv imekombolewa tayari
Unaijua mipango yao au,vipi kama nikuwavuruga ili kuwapoteza maboya.Vipi kama ukishtuka wame rejea na kuichukua Kyiv🚶
 
[emoji91][emoji91][emoji91]Russia uses laser weapons in a special operation in Ukraine, in particular the Zadira laser system, capable of hitting a target at a distance of up to 5 km, - Deputy Prime Minister Yuri Borisov[emoji91][emoji91][emoji91]
No wonder Russia walisema ni operations na sio vita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uingereza wanalialia kuwa Russia imetumia majeshi ya Wachechen wakiongozwa na Ramzan Kadyrov na ndugu yake Adam Delimkhanov ktk kuyasulubu majeshi ya Ukraine huko Azovstal, Mariupol, na kuyazingira kwa miezi hadi yakalazimika kusalimu amri. Mpaka jana wapiganaji zaidi ya 950 wa upande wa Ukraine ambamo pia wamo wapiganaji toka nchi za magharibi wamejisalimisha kwa majeshi ya Russia.

Uingereza yadai kuwa Russia iliamua kumtumia mbabe wa kivita Kadyrov na wapiganaji wake wa Kichechen baada ya Russia kupata upinzani mkali toka kwa majeshi ya Ukraine waliokuwa wamejificha kama panya kwenye mahandaki huko Azovstal, Mariupol.

Mwambieni Boris Johnson wa Uingereza srikali yake iache kulialia. Inakuwaje hao wapiganaji wa kichechen wawashinde wapiganaji wa Ukraine + wapiganaji toka nchi za kimagharibi walioenda kuipambania Ukraine ukiongezea na misaada yoote ya silaha za kivita toka US, UK, Canada, Australia na Ulaya yoote?

========

 
Hao Mateka asilimia 80 ni Wa kutoka nchi za magharibi ndio maana mlisikia mlio mkubwa sana mpaka kutumia UN...HALAFU HAWA wajinga bbc, cnn wanasema eti wanahamishwa hawa wamejisalimisha baada ya kula kichapo cha mbwa koko wamenyanduliwa balaa....BBC ONENI aibu kidogo msitufanye mazuzu
 
Anataka biashara tu. Ndegevita ambazo Marekani walikataa hadi sasa (hakika hataki ndege kutoka Urusi zinazokosa tekinolojia), na vikwazo kwa Wakurdi huko Uswidi.
Kwa nini asitengeneze za kwake?
Yaani EU ni movie tosha hakuna anayemjali mwenzake wote wanaangalia kuwa juu na maslahi yake tuuu .....
Huyu si wa kumwamini saaana....kama anafkiri ata mplay Putin amechemsha bug time
 
Hao jamaa hata kama wamejisalimisha lakini hao jamaa ni wapambanaji wa ukweli. Na huenda hao jamaa watakuwa wamejisalimisha kwa sababu za msingi kwanza unakuta waliishiwa siraha pili chakula nk.
'Wapambanaji wa ukweli' wanaacha mji wa Mariupol unatekwa, wao wanakimbia na raia wa kawaida kujificha kwenye mashimo kama panya huku wakiwatumia raia hao kama ngao ya kivita ili wasipelekewe moto!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…