Russia and Turkey have agreed to start accepting the Mir card in Turkish hotels and to increase its use in ATMs - Russian Deputy Prime Minister NovakView attachment 2229775
Hivi mna akili eti wamepewa order wamechezea kichapo wakaona isiwe shida wakashindwa wakatekwa hao ni mateka....Alafu anatokea pimbi mmoja anasema Russia anachapikaView attachment 2228344
Uchambuzi mujarab kabisa, wakati Urusi iliondoa wanajeshi wake Kyiv,nilidhani kashindwa,nimekuja kugundua kwamba,aliipiga Kyiv ili kuwafanya Ukraine wawe busy na kusahau maeneo mengine ya muhimu kwa uchumi wa Ukraine. Nacho ona mbeleni kwa Ukraine:Bado anatokea kilaza mmoja anakwambia Russia inachapika na hakuna lengo hata moja ililo achieve. mara putin hajui hata anachokipigania wala haelewi anataka nini.
Ngoja kwanza nieleze kwa ufupi juu ya hii Zaporozhye plant aliyoishikilia urusi mapema kabisa mwa operation.
Zaporozhye plant ndo nuclear plant kubwa zaidi bara la ulaya iliyo nchini Ukraine yenye jumla ya vinu 6 na kila kinu kinauwezo wa kuhifadhi units megawatts elf3 (3000MWs) Kwahiyo kwa vinu 6 ni 3000×6 = 18000MWs. Kwa lugha rais isiyo ya kimehesabu nikuwa, megawatts zilizopo kwenye hiyo Zaporozhye nuclear plant nisawa na mara tisa ya megawatts zinazotarajiwa kupatikana kwenye ule mradi wa Bwawa la nyerere, yani units 2000MWs. Ujenzi wa hii plant ulijengwa wakati wa usoviet kwa muda wa miaka 6 yani kutoka mwaka 1980 - 1986. na huu mradi ndo tegemeo kuu la chanzo cha nishati nchini Ukraine na nchi baadhi za ulaya. Naomba niishie hapo nisije nikajikuta naanzia uzi ndan ya uzi.
Turudi kwenye operation sasa: Russia kwa kulitambua hilo na umuhimu wa hii plant kwa uchumi na maisha ya Ukraine alianza kulithibiti eneo hilo mapema kabisa mwa operation wakati ambao majeshi ya Ukraine yalikuwa yamerundikana kyiv kulinda mji mkuu yakizani sijui putin anataka kuja kuhutibia Ikulu yao. Baada ya majeshi ya urusi kufanikiwa kuuthibiti mji wa Oblast na kufanikiwa kuratibu shughuli zote za hapo Zaporozhye plant, sasa umefika muda wa kumuonesha zelensky alivyo na akili ndogo juu ya akili kubwa ya putin kwa kumtaka anunue nishati iliyo ndani ya nchi yake tena kwa RUBLE nakama hataki basi aendelee kuishi maisha ya kijima.
Tukiwambia putin ni smart na mzee wa mipango ya muda mfupi na mrefu asie kurupuka wala kuwa na makelele muwe mnaelewa ila kwa akili zenu hizo ndogo nyie Pro-NATO mtahangaika sana kuwa mnamuelewa Putin mapema mpaka msubiri outputs zake ndo muelewe. Ila Pro-Russia wengi wanaelewa anachokifanya Putin na wanaona kabisa endapo The comedian Zelensky akiendelea kukaza fuvu basi Ukraine inaenda kuwa land locked na kugeuzwa kuwa Jimbo la Russia. Leo wataanza kulipia nishati ya vinu vyao kesho wataanza kulipia mafuta kutoka nchini mwao, ni suala la muda tu subirini operation ya Donbas na Odesa ikamilike Ukraine itageuka kuwa jimbo la Urusi na ndo mtakuja kuelewa tena kwanini Russia imeamua kurudisha majeshi yake Donbas.
Zelensky ni juha sana, yani kichwa kinachoogopwa na ma-bichwa zaidi ya 30+ ndo aliamua abattle nacho halafu anategemea kubaki salama, Sasa acha aisome namba ya kiatu mpaka aelewe kwanini shoga wake USA kapeleka vikosi Somalia kupigana na Alshabab nakuachwa yeye na manazi wake wakitembezewa kichapo na Warusi.
RUSSIA[emoji635] SIYO LITHUANIA [emoji1151]
TaarifaIlibidi waseme tu ukweli maana wa Ukraine walishaanza kuhisi wanauziwa drones feki kumbe wajanja wanaziunguza kwa kutumia remote control [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unamfahamu Kalina.Watajua hawajui eti "silaha ngeni" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii ni vita nyingine..
Katika takwimu Yako Kwa upande wa ukraine umechanganya silaha za mataifa 28 za beberu za ulaya na America?mbona bado Putin anawagaragaza🚶.Kwanza umeona alivyowanyofoa wale panya kwenye mapango yao,wakati huo mabeberu wa ulaya na America wakigonga cheers na kusema peleekeeni yule katuni wetu silaha,na huku way Ukraine wa buza mkitamani kuona mrusi akibabaishwa .🤔Weka taarifa Yako unayodai ya ukweli.Unajua Kwa hii imbalance ProPutin hawaamini wanavyoona UKRAINE wanaizalilisha Russia🤔View attachment 2230156
#RussiavsNATOKatika takwimu Yako Kwa upande wa ukraine umechanganya silaha za mataifa 28 za beberu za ulaya na America?mbona bado Putin anawagaragaza🚶.Kwanza umeona alivyowanyofoa wale panya kwenye mapango yao,wakati huo mabeberu wa ulaya na America wakigonga cheers na kusema peleekeeni yule katuni wetu silaha,na huku way Ukraine wa buza mkitamani kuona mrusi akibabaishwa .🤔
Kama panya wamekubali kutumiwa kuharibu nyumba ya mrusi unafikiri mrusi Hana paka wa kutoshaSisi wenyewe Miafrika hatujali wenzrtu wanakufa
Hapana hawajisalimisha mkuu,ila wamekua 'evacuated' kwa kujibu wa Zelensky.Hao jamaa hata kama wamejisalimisha lakini hao jamaa ni wapambanaji wa ukweli. Na huenda hao jamaa watakuwa wamejisalimisha kwa sababu za msingi kwanza unakuta waliishiwa siraha pili chakula nk.
Hapana hawajisalimisha mkuu,ila wamekua 'evacuated' kwa kujibu wa Zelensky.
Hakika Ukraine inazidi kushinda hii Vita,Slava ukraine Slava ukraine Slava ukraine
Weka taarifa Yako unayodai ya ukweli.Unajua Kwa hii imbalance ProPutin hawaamini wanavyoona UKRAINE wanaizalilisha Russia[emoji848]View attachment 2230156
Read btn the lines mkuu, SARCASM.