Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hizi taarifa huwa mnazitoa wapi? Wakati watu hapa Odessa hatulali
Acha Uongo. Odessa hamna Vita. Tangu Vita ianze Odessa imekumbana na Makombora manne tu ya Urusi. Sehemu ambayo kuna Vita hadi watu hawalali ni Donbas.
 
Tuliwaambia Russia is the father of this planet. Wamekuwa dogo kama mbegu ya mchicha
Your browser is not able to display this video.

MORE SURRENDER(EVACUATION)!!!

Another video of surrendering from "Azovstal"

Show this to anyone who follows western mainstream media,because they want to convince everyone that🇺🇦 is winning.
 
Safi sana
 
😂

Mmeelewa nini hapa wadau.

🇬🇧🇷🇺The British government should withdraw from the shareholders of OneWeb in order to continue working with Roscosmos.

Such conditions were set by the head of the Russian corporation. Earlier, Rogozin instructed to cancel work on further rocket launches with British satellites.

OneWeb must provide high-speed Internet access. Some of the launches were made from Baikonur.
 
Zele wakati akipaza sauti kwa dunia kuwa anampokea yeyote aliyeko tayari kuipigania Ukraine alikuwa anatengeneza chaka la NATO kuingiza askari.
 
Ukisikia mifano hai ndo hii sasa wasipoelewa vichwa vyao vitakua na funza
 


The BRICS countries must work together to counteract hegemonism, power politics and block confrontation
said Xi Jinping.

The BRICS includes Brazil, Russia, India, China and South Africa.

Chini picha just for funny
 
sasa unataka aandike uongo wkt taarifa ukraine hana , mwache aandike anachoona ana uhakika nacho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ulikuwa kwny makubaliano maana wengine hatujayasikia hayo makubaliano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Superb Turkey 😂

Turkey informed the NATO countries that it would say "no" to the membership of Sweden and Finland, Erdogan said.

In addition, Turkey cannot abandon Russia and Russian gas, this is a strategic issue, the Turkish president pointed out.
 
Scholz apinga Ukraine kupatiwa uanachama wa Umoja wa Ulaya haraka

Hata hivyo mbali ya kulikingia kifua suala la Ukraine kupatiwa silaha, kansela Scholz amepinga nia ya kuikaribisha haraka Ukraine ndani ya Umoja wa Ulaya.
Amewaambia wabunge hakutakuwa na njia ya mkato kwa Ukraine kuwa mwanachama mpya wa kanda ya Ulaya licha ya uvamizi kutoka Urusi na badala yake viongozi mjini Brussels watafute njia nyingine ya kuisaidia Kyiv na siyo kupitia turufu ya ahadi ya uanachama.
"Ukweli kwamba hakuna njia ya mkato ya kuingia ndani ya Umoja wa Ulaya ni suala linalohusu kuyatendea haki pia mataifa sita ya Balkani magharibi. Kwa miaka mingi yamekuwa yakifanya mageuzi makubwa na kujitayarisha kwa uanachama" amesema Scholz.


Kwenye hoja hiyo Scholz alikuwa akiyatetea mataifa sita ya Montenegro, Serbia, Albania, Macedonia Kaskazini ,Bosnia/Herzegovina na Kosovo yaliyoomba siku nyingi kuwa wanachama wa Umoja wa Ulaya.
Hata hivyo msimamo huo wa Scholz ambao unafanana na ule uliotolewa na rais Emmanuel Macron wa Ufaransa, yumkini hautawafurahisha viongozi wa Ukraine.
Na muda mfupi tu baada ya hotuba ya kansela Scholz waziri wa mambo ya kigeni wa Ukraine Dmytro Kuleba ameukosoa vikali msimamo wa baadhi ya viongozi wa Ulaya akisema baadhi ya matiafa ya ulaya yanaizingatia nchi yake kuwa ya tabaka la pili.
Lakini mbali ya Scholz kupinga uanachama wa wa haraka wa Ukraine ndani ya umoja wa ulaya,ametangaza kuunga mkono msaada wowote wa ziada utakaohitajika kuisaidia nchi hiyo wakati wa vita na hata baada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…