Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kama ni hivyo sawa, maana wasije wakaleta ugai gai huko wanakopelekwa, siwaamini kabisa hao watu.
Mkuu iamini Urusi kuliko unavyoiamini US, wakati Kamanda Putin anatangaza kuwa hao panya waliondani ya kiwanda waachwe ila wahakikishe hata inzi hatoroki watu wengi walitilia shaka kuwa huenda hao panya wakaendelea kuchimba mashimo chini kwa chini na kutokea mbali na kuweza kutoroka.

Leo kiko wapi, kuteka askari zaidi ya elfu na kuwatibu na kuishi nao wakiwa hai sio mchezo, kumbuka wengi ni Makamanda na wakufunzi wa kijeshi.

Zaidi ya nchi ya 30 zikiongozwa na Marekani wanavikosi hatari vya uvamizi na uokoaji umeona inchi yoyote iliyojaribu kutaja tu hata kikosi chake maalum...

Urusi,NATO/US wanafahamiana vyema kabisa, sema NATO wako mbele kwa propaganda.
 
Sasa huyu chifu mafii wetu kwanini asinunue mafuta ya russia bei ingeshuka hadi sh 1600 kwa lita
Anasubiri watalii walete pesa huko alikokwenda kuwatafuta. Akinunua hayo unayomhimiza watalii watagoma kuja!
 
Mungu n mwema terahamwe wameomdoka (peace keepers 🤣🤣🤣🤣)Amani na upendo wa kwelii umepatikana.
Pro NATO someni huku mmefungua macho ololooooo
 
Russia kisayansi iko juu ,mmalekani hatii mguu.sema Russia Hana show show za kujitangaza na kujitanua tanua Kama marekani .ISS warussia ndo waliianzisha na kuijenga marekani akaomba nae awe anaitumia wakamkubali .so kisayansi Russia ni mbabe Sana .
Russia pia ndo ilikuwa nchi ya kwanza kufika mwezini.. sio USA[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SAMSUNG-SM-J327A using JamiiForums mobile app
 
Na dogo Kim anaweza fanya kweli [emoji41] kichwa na nusu yule
 
Asante kwa jibu zuri kaka Lee, hali halisi ya uchumi wa Russia ikoje mpaka wakati huu? Je, uchumi wake unaelekea kufanana na uchumi wa Zimbabwe kama alivyotabili mwanadada Coco na wanauchumi wenzake wa mchongo hapa jukwaani?
Nimetumia lugha hiyo pia kama mzaha. Hali halisi haitakuwa kama Zimbabwe, lakini unaelekea kiasi. Maana walitegemea mno malighafi nyingi bila kuimarisha msingi wa tasnia kwa kutosha. Na kwa mbinu wa udikteta walidhoofisha matabaka ya wenye elimu nzuri wasio tayari kuishi chini ya utawala unaobana uhuru mwingi - wengi wao wameondoka tayari.
Uwingi wa malighafi ni laana kwa nchi nyingi (tazama Uarabunki, Nigeria) kwa sababu ni watu wachache wanaokamata utajiri huo na wananchi wengi hawashirikishwa. Nchi zisizo na malighafi lakini amani wa miaka mingi walifaulu sana angalia Denmark, Uholanzi, Luxemburg, Uswisi, Finland . . . .
 
nimeona huko twita wanasema wale wanajesh walokuwa mashimon wame toa ushuhuda nimesahau English yake kuwa kulikua na mipango miov kwa taifa la donbas.mim nikajiuliza ushuuda huo au walikua interogated balaa zile za kufungwa chupa ya bia au kuwekewa panya kweny boks na kichw kinatumbukizwa lazima uongee

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Huenda hawakuona ulazima wa kuitumia silaha hii hapo awali. Ila ukitaka majibu zaidi unaweza kuwatafuta ubalozi wa Russia popote ulipo, hao wanaweza kukupa majibu mazuri zaidi.
Kwanini niende ubalozini wakati Pro-Russia wamejaa humu?...au na wao hawajui kuhusu hili?
 
Wadau hawa ngungu marwa hawaeleweki wanataka nini 😂.

Finland PM says no nuclear arms or NATO bases on Finland's soil even after membership (Wanajua kitakachowapata 😂)

🔹Finland’s Prime Minister Sanna Marin has dismissed the possibility of deploying nuclear weapons or establishment of NATO military bases on her country's soil, saying the alliance itself has not expressed any interest in placing nuclear weapons or permanent bases in Finland.
 
ndo unavyodanganya wazee wenzako kwenye kahawa?
 
yan ni hiv ni lazima wakubal matakwa yake.na yy kajua pa kuwashika wamejaa kweny 18 zake

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…