Very soft arguments.Putin hajafikia malengo na kamwe hatofikia. Ishakula kwake, vikwazo vinaua uchumi,vinasababisha watu kupoteza ajira. Matajiri wa Russia wanaikimbia nchi na kwenda kuwekeza kwingineko duniani. Putin moyoni ana huzuni sana,,,
Gaddafi alitangulia kuua watu wake alipanda mbegu wa chuki iliyomwua. Alijibu maandamano kwa nguvu ya kijeshi , kwa njia hii mamia waliuawa. Mawaziri kadhaa walijiuzulu na vikosi vya jeshi vilikataa kutekeleza amri badala yake vikajiunga na wapinzani. Majibu ya Gaddafi yalisaabisha vita ya wenyewe kwa wenyewe.Sio mtalaam sana wa siasa za huko dunia,ila we jamaa inawezekana ni mweupe kabisa kama sio ubishi tu.
Yaani hutaki kuamini pia kwenye kifo cha Gadafi kuwa ulikua ni mpango wa west..?
Gharama za vita Mkuu zinahuhusiano Gani na biashara binafsi. Gharama za vita ziko kwenye Serikali na si kwenye uchumi binafsi. Tumia akili mkuu upate fedha acha mkumbo .Unajua gharama ya vita wewe au unapayuka tuu hapa?
Hii justification ya kuona kuna nchi flani hazina akili za kutatua matatizo yake ni za ovyo sana. Tena USA aliyewamaliza red Indians tena katumia Atomic Japan. Anapata wapi ujasirI. Gaddafi was a threat to her interest in Africa. Kuna madikteta kibao anawaangalia tu as long as wapo upande wake. Gaddafi was bad to amer not Libyans. Hiyo gas wanayoililia Russia Gadaf alikuwa anaipeleka ulaya through Italy. Usd 100 billion UK waliipiga. Plan za African Bank ilikufa na pipeline za kupeleka oil West Africa zikafa.Gaddafi alitangulia kuua watu wake alipanda mbegu wa chuki iliyomwua. Alijibu maandamano kwa nguvu ya kijeshi , kwa njia hii mamia waliuawa. Mawaziri kadhaa walijiuzulu na vikosi vya jeshi vilikataa kutekeleza amri badala yake vikajiunga na wapinzani. Majibu ya Gaddafi yalisaabisha vita ya wenyewe kwa wenyewe.
Hatimaye waliomwua walikuwa watu wake.
Waasia kama zile nchi za Afghanistan na zile nchi kama China, Korea , nchi za Ulaya wapo waliozaliwa kabisa, Russia Federation ni kubwa sana inawezekana waasili wote wapo labda Africa sina uhakikaUrusi haina watu wenye asili ya India Wala waarabu hata kidogo
itakata kwenye nini,?NATO wanamkimbiza mdogo mdogo non stop wanajua pumzi itakata tuuu
Mwaka huu,Puti ataingiza $100bln dollars kwa kuuza gesi,sema nchi gani ya ulaya iraingiza kiasi hicho cha pesa,wanasuburi Putin achoke,Ila wapi.Russia has lost the war .it has lost international support and international business
Putin didn't expect this
He thought as he did to Crimea things will be the same.International communitywon't react or be involved for fearing him!!!.And he boasted that he invaded Crimea and nothing changed in his boasting speech before he invaded Ukraine !! He thought he is a demi god who is feared by international community !!
He forgot that this time he invaded a country that is ruled by a jew Zelensnkyy who has international support
His intelligence failed Putin and he misled himself !!
You can't invade another country without great support from international community and expect to be a winner in that war!!
Putin yes he regrets he has made Russia to be a closed economy nation due to sanctions imposed on Russia.
He didn't expect this!!
He just talks like a dying horse.Throwing legs here and there on air before dying
Hahaha ukisema Russian Federation hawaelewi pia unapoitaja urusi hawaelewi wanadhani urusi ni nchi 2 au moja kama Tanzania. JAMANI,URUSI NI MUUNGANO WA NCHI 23 AMBAZO ZIKAUDA URUSI KAMA ILIVYO KWA USA. Na Ukraine ilikuwa miongoni mwa izo nchi kabla ya kujitenga.Yaani Wewe umekaa mashenzini huko unakula kiti moto unadhani ni mwerevu kuliko Watu woote mil 144 pale Urusi hawaoni hatari inayoikabili nchi yao wala chochote..Let me tell you...Unajua kidogo sana kuhusu Urusi..wanazo Plan zote zingine ungejua utalia na kujamba...Ogopa sana hii Sio Zimbabwe....Hii Inaitwa Russia Federation....
Hao G7 ndo wanamwingizia pesa kuliko hizo, imagine,$100bln per year, nyingi kuliko mwanzo,hiyo sio misaada
Source ni radio unyanyembeView attachment 2232150
kamanda wa kikosi cha Azov akiwa dhoful hal.Wale makamanda wa awali walifanya njama na Urusi na kukimbia
Kamanda mkuu wa kuilinda Azovstal Denys Prokopenko ambaye alibaki kwenye mahandaki baada ya kundi kubwa la askari wake kujisalimisha nae ametoa tamko rasmi la kukataza upinzani wa aina yoyote dhidi ya jeshi la Urusi akitoa sababu ili kuokoa maisha na kulinda siha za waliobaki hai.Wakati huo huo amesema wamo katika juhudi za kuwatoa wenzao ambao ni maiti ili wakazikwe.
Kwa upande mwengine jeshi la Ukraine limetangaza kuwa jeshi la Urusi limesonga mbele kwa kasi katika mipaka yote ya jimbo la la mashariki la Donest.Kauli hiyo inaenda sambamba na msemaji wa jeshi la Urusi ambaye muda mfupi uliopita amesema jeshi lake liko karibu kabisa kulidhibiti eneo lote la Luhansk huko huko mashariki ya Ukraine ambalo kwa wiki mbili sasa limekuwa kitovu cha mapigano makali.
Aisee watu mnatumia mabando yenu kuandika pumba dah.Russia has lost the war .it has lost international support and international business
Putin didn't expect this
He thought as he did to Crimea things will be the same.International communitywon't react or be involved for fearing him!!!.And he boasted that he invaded Crimea and nothing changed in his boasting speech before he invaded Ukraine !! He thought he is a demi god who is feared by international community !!
He forgot that this time he invaded a country that is ruled by a jew Zelensnkyy who has international support
His intelligence failed Putin and he misled himself !!
You can't invade another country without great support from international community and expect to be a winner in that war!!
Putin yes he regrets he has made Russia to be a closed economy nation due to sanctions imposed on Russia.
He didn't expect this!!
He just talks like a dying horse.Throwing legs here and there on air before dying
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Waasia kama zile nchi za Afghanistan na zile nchi kama China, Korea , nchi za Ulaya wapo waliozaliwa kabisa, Russia Federation ni kubwa sana inawezekana waasili wote wapo labda Africa sina uhakika
Halafu wanakuja kukuhubiria habari za free world.Marekani anapendekeza sheria ya kuziadhibu nchi za Afrika zinazoshirikiana kijeshi na Urusi..
Huu ni uonevu wa wazi kabisa baada ya kumshindwa kidume Putin kukimbilia kwa sisi wanyonge huku.
Wanazi wameshindwa#Marioupol totally free from n@zi [emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1318][emoji1316]