Mwendo wa single file tu.View attachment 2230672
MORE SURRENDER(EVACUATION)!!!
Another video of surrendering from "Azovstal"
Show this to anyone who follows western mainstream media,because they want to convince everyone that🇺🇦 is winning.
Yaani sie hatuna sovereignty ya kuamua kukaa kimya.Halafu wanakuja kukuhubiria habari za free world.
Kojoa ukalale huna ujuachoYaani Pro NATO na Pro Ukraine msichokijua ni kuwa USA wanataka hii vita ipiganwe at any cost ili kustabilize uchumi wa Dunia .Kwani yeye analikuwa na hali mbaya sana sasa amefanya na Eorope ,Africa nk ipatr anguko kama lao na sababau iwepo.Nyie bakini mkimshabikia Putin na Zelensky huku uchumi wa Tz unaangamia na hakuna mnachokifanya zaidi ya kuandika idadi ya wanajeshi waliokamatwa,makombora yaliyopogwa sijui nini Yaani wanajme wa Tz bure kabisa mtaongozwa na akina mama mpaka akili iwakae sawa.Na come 2035 50% ya wakuu wa nchi duniani watakuwa wanawake ili kuepusha mapogano maana wanaume wanachowaza ni nani kashinda na nini kamkomoa sijui nani.Wanaokufa watoto wa wenzenu natamani wanaume wangekuwa wanabeba mimba 9montjs na kuzaa ndio mgedhamini binadamu wenzenu nyie .
Duh umetufunga kamba mjuba, baada ya kuvunjika Soviet Union ndipo jina la Russia ama Russian Federation lilipozaliwa.Hahaha ukisema Russian Federation hawaelewi pia unapoitaja urusi hawaelewi wanadhani urusi ni nchi 2 au moja kama Tanzania. JAMANI,URUSI NI MUUNGANO WA NCHI 23 AMBAZO ZIKAUDA URUSI KAMA ILIVYO KWA USA. Na Ukraine ilikuwa miongoni mwa izo nchi kabla ya kujitenga.
Nadhani inatosha.
Una taarifa za uwanja wa mapambano leo.Vita ni kama imeisha leo Russia wanatembea tu jamaa wanakimbia hovyo wakitegemea nguvu ya wale wanazi ndio askari wao wakaliTaarifa za muda mchache uliopita zinaonyesha hali inazidi kuwa mbaya kwa jeshi la Urusi, kwa sasa ina upungufu mkubwa wa wapiganaji, kutokana na wanajeshi wengi wa Urusi kuuawa kwenye Vita ya Ukraine, hali hiyo imepelekea Bunge la Urusi kujadili mswada utakao waruhusu wazee na Raia wa Kigeni kujiunga na Jeshi kwa ajili ya Vita ya Ukraine. Hii ni fedhea kwa Jeshi la Urusi ambayo inajinasibu kuwa na Jeshi kubwa duniani.
Safari hii lazima Putin Afundishwe adabu na ndo kwaanza mapema kabisa hadi November nazani akili itakuwa imemkaa sawa.
________________________________________
Bunge la Russia linatarajiwa kujadili mswada utakaoruhusu raia wenye umri wa zaidi ya miaka 40 na raia wa kigeni wanaoishi nchini humo wenye umri wa kuanzia miaka 30 kujiunga na jeshi.
Hatua hii ni ya Russia kuimarisha mashambulizi yake dhidi ya Ukraine, baada ya kupoteza wanajeshi kadhaa katika vita vinavyoendelea.
Taarifa iliyoandikwa kwenye wavuti wa habari za serikali ya Russia, Duma, imesema kwamba hatua hiyo ni ya dharura, inayolenga kutumia ujuzi wa watu wazee wenye uwezo wa kivita.
Kwa sasa, wanajeshi wenye umri wa kati ya miaka 18 na 40 ndio wanaoruhusiwa kujiunga na jeshi la Russia.
Russia imepata pigo kubwa sana kwa kupoteza wanajeshi na silaha katika vita vya siku 86 sasa, ambapo Ukraine umefanikiwa kuwashawishi raia wake kupigana na kupinga uvamizi wa Russia.
Japo Russia imedhibithi Mariupol, imeshindwa kufikia malengo yake katika vita hivyo pamoja na kushindwa kudhibithi Donbas, mashariki mwa Ukraine.
Wakati huo huo, waziri wa ulinzi wa Russia Sergei Shoigu amesema kwamba Russia imeanda kuunda vikosi 12 vya jeshi katika sehemu za magharibi, kwa matayarisho ya kile ametaja kama vitisho vinavyoongezeka katika sehemu hiyo, akisema vinatokana na Finland na Sweden kuomba kuwa wanachama wa NATO.
Chanzo VOA
View attachment 2232267
Huyo hakuwa na Jeshi kubwa lazima aombe misaada. Vipi Putin aliyejitambaa kuanza kuwasajili hadi wazee, anazidi kuwavua nguo Warusi wa Tz.Tupe update za uwanja wa vita.sio kutuletea ngonjela.unashangaa vipi kwa WARUSI wakati yule bwana yeye alitangaza kuwa mtu yoyote yule akitaji kushika silaha kwa ajili ya jeshi la UKRAINE anapewa nauli ya kufika UKRAINE na uraia juu
Hao hawana jipya. Anayeleta matusi nashuka naye jumla jumla humu hatujuani kwhy hakuna kumheshimu mtu asiye jiheshimu. Tusi linajibiwa na Tusi ndo dawa yaoNgoja warusi wa kisiju waje wakutukane wakiongozwa na sheikh bwana utam maana urusi ni supa pawa
Wanasema Putin atashindwa vita. Vp una swali lingineEeh Kumbe VOA... BIBISIIII wanasemaje
Yeah lazima yeye afanye hivyo kwa sababu alikuwa weak Kijeshi ukilinganisha na dikteta Putin, ambaye anajitamba kuwa na Jeshi kubwa sana na imaraSio hivyo tu,wamezuia wanaume chini ya miaka 60 kutoka nchini Ili wapambane,Sasa wakishushiwa moto wanalialia kuwa ni Civilians!!!!
Hiyo ilikuwa lazima walikuwa hawana namna. Lakini bado mapigano yanaendelea hakuna kurudi nyuma ndo maana Putin hawezi kutangaza kumalizika kwa Vita.Azovstal is done!
All militants have surrendered.
After seeing the amount of militants who were sitting inside Azovstal I‘d like to point out Putin‘s decision not to storm the plant.
It was the right decision!
Vita ndo kwanza imeanza. Kwahiyo ww kaa kwa kutulia nunua bundle ili uendelee kumshabikia Putin hadi mwisho wakeUna taarifa za uwanja wa mapambano leo.Vita ni kama imeisha leo Russia wanatembea tu jamaa wanakimbia hovyo wakitegemea nguvu ya wale wanazi ndio askari wao wakali
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Umemsikia Generali wa Ujerumani we pro NATO wa Buza?Yeah lazima yeye afanye hivyo kwa sababu alikuwa weak Kijeshi ukilinganisha na dikteta Putin, ambaye anajitamba kuwa na Jeshi kubwa sana na imara
Haya sijamsikia. Anasemaje ewe Murusi wa kwa MpalangeUmemsikia Generali wa Ujerumani we pro NATO wa Buza?
Nenda katafute!Haya sijamsikia. Anasemaje ewe Murusi wa kwa Mpalange
Tuanze na TBSiii.. wanasemaje?Eeh Kumbe VOA... BIBISIIII wanasemaje
Mkuu unahisi wanapeleka PESA (CASH)??? Hiyo wameiconvert katika pesa, ila kinachopelekwa hasa ni Vifaa vya kijeshi, Madawa, na kiasi kidogo katika kununua chakula, sio kwamba inaenda ndege inashusha box za fedha mzee.
Uchumi umebana nakunywaje sasaKunywa apple punch utulie mrembo, haya mambo ya kiume tuachie wenyewe