Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Malizia tu. Usiseme au basi tu, unamalizia ili na mm nikupe jibu kamili linalofanana na nia yako.
 
Okey. Huenda hilo neno neutral lina ukakasi. Tufanye mm sina mahaba na Ulaya na pia sikubaliani na maamuzi ya Putin. Tuachane na neno neutral.

Mwalimu wangu hakupata tabu kote nilipopita.
😃😃😃😃😃hii I feel like baba Putin in Frida amani voice umekaa.
Wenzio wanakuja kwa kuchungulia ww unatanguliza kichwa kwa kigezo cha unyutral hatutumiii juvelina RUSSIA n missile tuu hata kama uko alone.
 

[emoji23][emoji23][emoji23] two world powers...

Pro NATO mko wapi nyie... njooni basiiii
 
Mkuu, mbona kama maelezo yatakuwa marefu sana. Anyways, mm naona URUSI ana nafasi kubwa ya kiushawishi pale Ukraine kuliko USA na hapo ndipo ujinga unapoanzia.
Uko na ushahidi wa madai yako au waongea kulingana na mtazamo wako, before going further upo tayari kuoneshwa mtizamo tofauti na wako ujifunze au unataka kushikilia huo huo ulionao mdau?

If am not mistaken, kipindi cha nyuma mliwahi kuwekeana huu mjadala na Galip Vrl

Alikupa maelezo mengi, ambayo we all think hukuyatilia maanani kwasababu ya kile ulichonacho moyoni au akilini mwako as he Say.

So, Swali upo huru tuingie kwenye majadiliano, (naiga maswali ya wadau)... Will you commit yourself to facts instead of emotions? Na mjadala ukianza hatuitaji double standards.

Nyeusi iitwe Nyeusi na Blue iitwe Blue tujadiliane kisomi mdau wangu wa nguvu.
 
Vipi kamsafara kamefika Kiev au wamepumzika maporini kukojoa na kuchimba dawa.....yaani Urusi kwenye huu ugomvi yaani tu full commedy.
 
😃😃😃😃😃hii I feel like baba Putin in Frida amani voice umekaa.
Wenzio wanakuja kwa kuchungulia ww unatanguliza kichwa kwa kigezo cha unyutral hatutumiii juvelina RUSSIA n missile tuu hata kama uko alone.
Kwa hiyo hapa imekuaje sasa. Hahahaha ngaboru bana.
 
Rais Zelensky anafikiria kuomba kusitishwa kwa vita japo anaogopa ikitokea ceasefire Russia atatumia hiyo nafasi kutoa kipigo kikali kuliko wanachopokea sasa

Taarifa ni kwamba Russia has intensified her attacks in the Donbass hasa huko soveredonetsk na wanajeshi wa Ukraine wapatao 2000 wapo hatarini kutokewa na yale ya Mauripol.

Niseme tu Ukraine anajisifu kwa kushinda ka battle kamojakamoja tena baada ya kuviziavizia. Kwa sasa Russia anavamia kambi na maficho ya adui baada ya upelelezi makini na mashambulizi ya anga. Hapo modern artillery machines zinaingia mzigoni wanamaliza na kusafisha kwa askari wa miguu. Kwa siku Russia anapiga vituo vingi vyenye roles tofautitofauti vilivyomo mstari wa mbele na vile vinavyo support na supply links

Hii ndio tafsri ya I am fighting calmly to earn steady advancements and minimize casualties. .

Wale msiolewa role ya makombora ni

Kuvunja kambi ama maficho ya adui bila kudhuru askari wako

Kuwajengea maadui woga. Fikiria upo Morogoro unakoswakoswa na upo safarini kuelekea Kibaha frontline.

Hawa jamaa wameishiwa silaha. Mfano wamepewa vifaru vya kale 200 na Poland. Ndio wanavitegemea. Havitafua dafu

Hii vita Zelensky kakubali mziki sema keshapokea fedha za Watu. Kitachofuata atoroke ama auawe na Watu wake mambo yaende. .

Vijana wengi hawafahamu mziki wa Russia na namna anavyovuruga mipango ya USA.

Kama unafahamu Russia utaelewa ukisikia kafurushwa Kharkiv hao wanaosema kafurushwa wakupe casualties.
Huwezi kumfurusha Russia eneo la mpakani mwake . Hapo ni strategic withdrawal.

Tajiri Musk ameonywa kwa satelite zake kutumiwa na Ukraine .Kaambiwa ataziokota huku duniani kwani Russia haitakuwa mara ya kwanza kuangusha satelite iliyo nje ya dunia.



Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
“We are facing two world powers, Russia and China, each of which has significant military capabilities and is serious about changing the current rules based on order,” he said.
😂
This was stated by the head of the Joint Chiefs of Staff of the US Armed Forces to the graduates of the West Point Military Academy, Fox News reports.
😂

Head of Joint Chief wa Pro NATO in JF: KUNA POWER MMOJA TU DUNIANI WENGINE WANAFYATA

Wadau wangu wa nguvu be like:
 
Ukishajua jina lake hupati shida kuliita... hakuna "wewe" wala "oyaa"... kwa kifupi hupati taabu kabisa.
 
Hapana. Sitatilia maanani. Si umesema mwenyewe kuwa Galip Vrl alisha zungumza na sikutilia maanani and here we are. Kwann unataka kurudia tena zoezi ambalo lilishafanyika? Tuache tu, NAAMINI MWISHO TUTAPEANA MIKONO UNLESS LIFANYWE TOO PERSONAL ila kwa sasa PUTIN ANATAKIWA ARUDI URUSI, IBAKI KWANZA HIVYO.
 
View attachment 2234104
Spana ...watu wanapiga spana sanaaa mkuu..... Hiyo ndio hofu
[emoji3][emoji3][emoji3]

Sasa si bora wale wanaweza kua mashujaa...

Kua Neutral ni kuto react upande wowote Tsh note hiyo.

Mfano atom iko na Proton Neutron na Eletron...
Proton + Neutron unabaki na Postive charge
Electron + Neutron wabaki na Negative charge

Hio ndio maana halisi ya Neutral.

Mwenzetu sasa [emoji41]
Pro NATO + Tsh utanisaidia majibu...
Pro Russia + Tsh mtanisaidia majibu pia...

Nawakumbusha tu niko Neutral ha ha ha... hizi issue zinapatikana JF tu [emoji28]
 
Ha ha haa aloo watuna vituko.
Hakuna kusahau,wakumbushwe Kila walichosema.
Kabisa lee van cliff inabidi kuwakumbusha hawa wadau mitazamo yao ilivyokua na sasa hali ilivyo maana huwa tunatumia history + current situation ili tuweze kupredict future itakuaje.

Mara moja moja napitia post za nyuma kuangalia ilivyokua na ilivyo sasa.

Russian block bado iko stable toka operation ianze ikiongozwa na wazee wa surgical operation "surgeons" kama Galip Vrl Bwana Utam green rajab Sikirimimimasikini RTI wa kupuliza Champagnee bila kusahau mzee wa "hot news" NYUNDO YA MOTO kuna specialists wakutosha kama DeepPond Extrovert TUJITEGEMEE George Betram Ask HQ Jesus Mlokozi ngaboru desayi Mr Tyang Nkuba25 Carlos The Jackal Katunge World Wide lee van cliff Kizibo Mtoto wa nzi na wadau wengine wengi sana

Kwa upande wa Ukr/NATO block, surgeons wengi wamekimbia uzi ila wamekua wanapita mara moja moja kuangalia maendeleo kama Nyamizi Frank Wanjiru MK254 wakabaki wachache kama Omary - Msamalia Mwanamkiwi Tsh britanicca baadhi ya specialists wao bado wanapambana ila wanakutana na pingamizi kali kutoka russian block CHAMASON-MORISON-SAKHOSON Proved Jackal bila kumsahau general practitioner YEHODAYA na wengine wengi.


Hapa katikati wamepotea wadau wachache ambao tulitamani kuona michango yao mfano T14 Armata aliyekua mchambuzi wa masuala ya kivita japo alionekana kuwa na imani sana na silaha za nchi za NATO/ulaya kama Javelin, stingers, manpads, howtizers bila kusahau drones pendwa aina ya Bayraktar TB2 kutoka uturuki ambazo zimeonekana kudhibitiwa na Russian army.

Operation hii imekuja na mambo mengi mfano kuna watu walikua na uhasama kwenye siasa za ndani ila kwenye siasa za nje wakaungana wakawa block moja mfano Salary Slip na johnthebaptist

Nawasihi Ukr/Nato block warejee tuendelee na mijadala maana hii vita imetufungua macho vitu vingi kuhusu hizi siasa za kimataifa.
 
Nilichogundua pro Russia wana reserve kubwa ya watu wenye kutambua na kupambanua mambo kwa weledi wa Hali ya juu, saiz naona kuna vichwa vipya vimeibuka na wako very Smart, na hii inawafanya pro NATO wajifiche kwenye mahandaki kama huko Mariupol, wameishia kuchungulia tu🙄 maana kila wakitoa vichwa vyao kwenye mahandaki wanakutana na facts 🔥🔥, mbarikiwe sana👏 Pro RUSSIA endeleeni kutujuza maana tunawafatilia kimya kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…