Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Urusi ni wapi wamesema wanataka vita isitishwe?Taarifa ya mwisho kutoka Russia ni Ile inayosema kuwa Kremlin Haina mazungumzo yoyote na Ukraine,Tena Ina muda mrefu tu!
Msipende kupotosha potosha!
Hebu tupe link ya hiyo habari inayosema Russia wanataka vita iishe ila wayachukue majimbo ambayo wameyateka!!
 
Huyu jamaa ni mpotoshaji,na hilo ameshakiri kwenye Uzi mwingine!
 
Zuzu huyo hajui kitu
 
Shukran sana mkuu kwa utambulisho mujaarabu kabisa wa timu zote katika hii operation na umemaliza kwa kutoa nasaha nzuri sana ya kuwaomba PRO-NATO Kurejea kwajili ya mijadala ila chakusitikisha nikuwa hawataweza kurudi kwa kasi ile ya mwanzo kwasababu walichokuwa wanakifahamu au kufikiri kuhusu Westerners nitofauti kabisa na wanachokiona sasahivi.

Watu walio anza kuifuatilia Urusi baada ya hii operation kuanza ndo hawa PRO-NATO waliopotea kwa kasi maana walidhani USA&NATO+EU zinavyo ogopwa na kutetemekewa na nchi zao masikini basi itakuwa hivo hivo hata kwa Russia, na wakati wanaambiwa kuwa Russia siyo Zimbabwe nadhani hawakujipa muda wa kuutafakari vizuri huo usemi, kama wangeufanyanyia kazi huo usemi basi pengine wangeelewa uhalisia wa nguvu ya Russia na wangebadili akili zao nakuanza kuchambua operation hii kwa facts na siyo kwa mahaba ya USA&NATO kisa tu walisikia story za USA&NATO walivyozichapa Libya, Yugoslavia, Iraq na Vietnam(japo kwa Vietnam USA maji aliyaita Mma).

Wito wangu kwa PRO-NATO mliobaki mkitaka uchambuzi wenu uwe na mashiko na wenye nguvu basi naomba muelewe huu usemi wa RUSSIA SIYO ZIMBABWE WALA ESTONIA NI THE GREAT RUSSIA FEDERATION baada ya hapo naamini ndo tutaanza kwenda sawa hata kama mawazo nitofauti ila bado hayatoki sana kwenye uhalisia.
 
Russ Russia wanafanya propoganda,wenye tabia za WaNazi ,kina Hitler ni wao!
 
Marekani inaripoti kuwa Russia imetumia mashambulizi ya ndegevita na mizinga kupelekea moto mkali kwenye mikoa ya Donbas na Mykolaiv ambapo wamewachoma wanajeshi wa Ukraine, na kuunguza maghala ya silaha za Ukraine pamoja na vituo vya kutoa kamandi za kijeshi.

Marekani imeendelea kuripoti kuwa mpaka leo hii, majeshi ya Russia yameshachoma jumla ya droni 977 za Ukraine, ndege vita 174 na helikopta 125 vya Ukraine. Aidha Marekani imeripoti pia kuwa majeshi hayo ya Russia hadi leo May 22 yameshashambulia na kuchoma jumla ya mifumo 317 ya ulinzi wa anga ya Ukraine pamoja na vifaru/magarivita 3,198.

Habari hiyo imekuja sanjari na kauli ya Zelensky ya kukiri kwa moyo na kutamka kwa ulimi (video ya Zelensky naiweka hapo chini) kuwa Ukraine imepoteza marubani wengi mno huko Azovstal, Mariupol, walipokuwa wakijaribu kurusha ndege zao ili kupeleka chakula, maji, na madawa kwa maelfu ya wanajeshi wa Ukraine waliokuwa wamejificha kwenye mashimo kama panya huko Azovstal. La kusikitisha ni kuwa wanajeshi hao wote (zaidi ya 2400), pamoja na makamanda wao, wameishia kusalimu amri kwa wajeda wa Russia na kukamatwa kama makuku ya broiler.

=======



 
Jana Poda ilikua inafanya Kazi,slava ukraine Slava ukraine Slava ukraine
 
Your browser is not able to display this video.


🎥 People take to the streets in Japan to protest against Joe Biden's visit.


The protesters took to the streets against the US-Japan and later the Quadrilateral Security Dialogue (the Quad) summits. They believe that the White House's actions are aimed at pitting Japan against China and may disrupt peace in the region.
 
Wewe Mwanamke ni komandoo.aisee.
Umetisha .
Pro Russia mko gado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…