mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Ule msafara uliogopesha sana, Putin akachimba biti kuwa salama ya askari wa Ukraine ni kuweka chini au kumkamata raisi wao.Kumbe Putin alijazwa upepo ya machuma ila vitani hakuna kitu.
umeongea factAcheni kupersonalize issues...'vita ya Putin' kwa vipi?!?! Huo ni mtazamo wa USA na all Western countries in their efforts to demonize Putin....Russia ndiyo iko kwenye mapambano na siyo Putin...wakati NATO ilipoivamia Serbia, Libya, Iraq na hata Syria hatukusikia kuwa hivyo ni vita vya Bush, Blair, Obama au sijui Nani....
Binafsi huwa naghadhabika sure kukereka kuona watu wazima wanapumbazwa na propaganda za magharibi....jamani hivi Kuna nchi mbaya duniani kama USA? America imeua mamilioni ya watu huko Grenada, Japan, Korean Peninsula, Panama, Iraq, Libya, Vietnam, Serbia, etc...imewaua Wahindi wekundu kwa mamilioni ambao ndio watu wa asili wa America...duh...hivi inakuwaje sisi weusi hatuwezi hata kutambua watu wabaya?! Yaani bado tunawakumbatia na kuwafurahia wakoloni na wanyonyanyi wa raslimali zetu?! Ni lini tutajifunza na kuwa independent wa mawazo na fikra?! Watu wazima na akili zetu bado hatuoni ubaya wa West?!?!
🤣🤣🤣Vijana wengi hawajui beef la USA na Russia lilianzia wapi ilihali wote walikuwa wamoja katika vita ya pili ya Dunia wakasome wajueBebi joseph unahisi na wewe ni giriti sinka unaona umechangia bonge la point
😳😳😂😂Mie simoWaisrael walimpelekea Yesu mwezini biblia chombo kikaungua njiani[emoji3]
Sawa kama huamini siwezi kukuaminishaHii kuamini kila kizuri katengeneza Israel ni ugonjwa mwingine mkubwa
A number of Ukraine war observers have noted that there's yet to be visual proof or confirmation, including video, of Prokopenko's arrest by Russian forces. Additionally there's speculation he may still be in the plant, or seeking to escape past Russian lines.Pro-Kremlin telegram channels also released a video with Sergei Volynsky, the commander of the 36th Marine Brigade unit, in which he said that his unit has surrendered. The unit was one of the main forces defending the steelworks.
Bebii Joseph yawezekana hajui katika nchi za Ulaya Waisrael wengi wanapatikana Ukraine na ndiko wanakoshikishwa adabu.[emoji1]Hayo ndio mawazo ya bebi joseph
😂😂😂Hao walipo huko wapo strategy kwajili ya kufanya monitoring ya nn mnafanya, we hujiulizi kainchi kadogo kale lakini Kila taifa kubwa linawasujudia?Umejibu kiwepesi na kwa hoja dhaifu sana ila sio kosa lako ni ufahamu tu.
Hivi kuwepo raia wa Israeli sehemu ndio kigezo Cha nchi kuwa na maendeleo makubwa ya kitechnolojia? Kama ndivyo waisraeli hawapo Kenya na Burundi? Kama wapo, wameweza kuyafanya yanayofanywa na walioko USA au Russia? Je,uwezo wa waisraeli wote kiakili upo sawa?
1) hakuna Neo-NAzi azovstal. Ni wanajeshi wa Ukraine.All Ukraine NAZIS at Azovstal Have Now Surrendered and are in Custody
WORLD HAL TURNER 20 MAY 2022 HITS: 11028
The entire territory of the Azovstal steel mill and factory complex in Mariupol has been liberated, the Russian Defense Ministry announced on Friday.
More than 2,400 people hiding inside for almost a month, including Ukrainian servicemen and members of the neo-Nazi Azov unit, have laid down their arms and surrendered.
“The last group of 531 militants surrendered today,” the Russian military spokesman, Major-General Igor Konashenkov, said in a statement.
He added that a total of “2,439 Azov Nazis” and Ukrainian servicemen had laid down their arms since May 16, and that the entire Azovstal complex is now under control of Russian armed forces.
...Hii kuamini kila kizuri katengeneza Israel ni ugonjwa mwingine mkubwa
inashangaza sana western ndio wasemaji wa ukrain na russia. Wakati Putin anapiga kazi.Kawaulize Marekani, https://www.usnews.com/, walioripoti kuwa jumla ya droni 977 za Ukraine zimechomwa na majeshi ya Russia
Hii nadhani ndo imekuwa challenge kubwa sana kwa USA dhidi ya Russia....Marekani amemu undermine sana Urusi kwa miaka mingi. Hakuwahi kujua kabisa makali yake tangu baada ya kuanguka umoja wa kisovieti. Hivi sasa kila anachofanya Urusi ni surprise kwa Marekani, na bado.
Mathanzua tena!!! Juzi alituletea habari za jenerali kutoka Kanada aliyefika Azovstal kushauri Azov battalion. Yuko wapi?? Maana warusi wame"safisha" mapango yote.POLISH TROOPS HAVE ENTERED UKRAINE WAR
Staggering reports are coming in claiming two (2) battalions of Polish Army troops have entered Ukraine covertly. Overnight, 2 battalions of Polish infantry moved out from Kyiv the day before and have already reached Pavlograd.
Two or more companies make up a battalion, which has 400 to 1,200 troops and is commanded by a lieutenant colonel. The battalion is the smallest unit to have a staff of officers (in charge of personnel, operations, intelligence, and logistics) to assist the commander.
Each battalion inside Ukraine is said to have 4 Rapira anti-tank guns, armored personnel carriers, and American armored personnel carriers.
Currently, the Polish infantry is being prepared for the transfer to the Avdeevsky front.
Whether we are talking about regular troops or mercenaries, it is difficult to say now. Some reports are claiming the Poles are Mercenaries, who were waiting for the US $40 Billion in Ukrainian "aid" to be approved before moving into action. That was approved formally late this past week.
MORE:
Additional reports are openly saying The British SAS has been inside Ukraine carrying out special commando ops against the Russians as well.
WORSE, the reports now admit the US is on the ground inside eastern Ukraine doing targeting mapping and other things.
UPDATE 10:27 AM EDT --
U.S. SENATOR TELLS NATO "PREPARE FOR RUSSIAN NUCLEAR ACTION"
The US and its NATO allies should prepare a “devastating” response to potential Russian nuclear action, Sen. Mitt Romney said on Saturday.
The call to action comes on the heels of threats from the Kremlin and warnings from Russian diplomats that the country’s Ukraine invasion could lead to a nuclear strike, the Utah Republican wrote in an op-ed for The New York Times.
“Russia’s use of a nuclear weapon would unarguably be a redefining, reorienting geopolitical event,” Romney, 75, wrote.
“We should imagine the unimaginable, specifically how we would respond militarily and economically to such a seismic shift in the global geopolitical terrain.”
The former presidential candidate presented several options available to western allies in addition to a nuclear response if a “cornered and delusional” Russian President Vladimir Putin deployed a nuclear weapon.
(HT REMARK: Romney is in "The Club" if he is making this warning there is definitely something behind it. His now-public remarks are a signal - at least to me - they already KNOW what's coming. I think guys like Romney are going to get a slew of us KILLED. The voters of Utah would do well to get their Senator back under control before he causes a whole bunch of us to get nuked.)